Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZOEZI YA KUAPISHWA KUWA RAIS DK MAGUFULI YAPAMBA MOTO JIJINI DAR

 Kibanda cha kitakachotumika wakati wa kuapishwa kwa Rais Mteule, Dk John Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kesho  kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Askari wa Jeshi la Wananchi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DORIS MOLLEL FOUNDATION (DMF) YAANDAA TAMASHA KUBWA LA KUSAIDIA WATOTO NJITI...

Mwenyekiti wa Mfuko wa Doris Mollel Foundation, Bi. Doris Mollel akiwakaribisha wageni mbalimbali na wanahabari wakati wa utambulisho maalum juu ya tamasha linalotarajiwa kufanyika siku ya Jumapili...

View Article


RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAALIM SHARIFF SEIF HAMAD

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MV.MAGOGONI YAPATA HITILAFU YA KIUFUNDI

 Wananchi wakipigana vikumbo wakati walipokuwa wakishuka katika MV. Kigamboni na huku wengine wakiingia kwa kuhofia kubaki baada kwa wingi wa watu Wakishuka wananchi  Wananchi waliokuwa wakisubiri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AFUNGUA MKUTANO WA MAJAJI AFRIKA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Jaji Mkuu, Mstaafu Augustino Ramadhani na Jaji Mkuu wa Tanzania  Othman Chande (kushoto) baaa ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro  ambako...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWS ALERT: KESHO ALHAMISI NI SIKUKUU NA SIKU YA MAPUMZIKO

     Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameamua na ameitangaza kesho, Alhamisi, Novemba 5, mwaka huu, 2015, kuwa Sikukuu na siku ya mapumziko.      Rais...

View Article

DK. MAGUFULI ALIVYOAPISHWA LEO (VIDEO)

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. JOHN POMBE MAGUFULI AAPISHWA UWANJA WA UHURU NA KUWA RAIS WA TANZANIA...

Rais Mh. Dk. John Pombe Magufuli akila kiapo mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Mohamed Chande kwenye uwanja wa Uhuru  jijini Dar es salaa leo kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  mara baada...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YASAINI MKATABA WA JUMLA YA EURO...

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile (kulia) akifurahia jambo na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Bw. Egon Kochanke (kushoto) wakati wa maandalizi ya...

View Article


Rais Magufuli Akila Kiapo

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKU YA KWANZA YA DK. MAGUFULI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na wanausalama alipowasili Ikulu mara baada ya Kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaRais wa Jamhuri ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MULTICHOICE TANZANIA WAMTANGAZA RASMI DIAMOND PLATNUMZ KUWA ‘OFFICIAL DSTV...

Mwanamuiki nyota nchini Tanzania, Nassib Abdul ama Diamond Platnumz akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani). (Picha na Andrew Chale, Modewjiblog).KAMPUNI ya MultiChoice Tanzania mapema jana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO MKUU WA WANACHAMA WA MUUNGANO WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI...

Hapa ni katika ukumbi wa Flomi Hotel mjini Morogoro ambako leo Ijumaa Novemba 06,2015 kunafanyika mkutano mkuu wa wanachama wa Muungano wa Klabu za waandishi wa habari Tanzania-UTPC wanakutana kujadili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAFLA YA MCHAPALO (COCKTAIL PARTY) WA KUSHEREHEHEA KUAPISHWA KWA RAIS DKT...

 Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi usiku kwa ajili ya mchapalo maalum ulioandaliwa na Rais wa awamu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YATOA PICHA RASMI YA RAIS WA AWAMU YA TANO.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji wa Serikali Bw. Assah Mwambene akiwaonesha waandishi wa Habari picha rasmi ya Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUNGE VITI MAALUM CCM YAPATA 64, CHADEMA -36, NA CUF- 10

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo imetangaza idadi ya wabunge wa viti maalumu ambao vyama vya CCM, CHADEMA na CUF vimepata baada ya kupata angalau asilimia 5 ya kura zote halali za wabunge nchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HAZINA.

Rais Dkt.John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha wageni muda mfupi baada ya kuwasili katika makao makuu ya Wizara ya Fedha(HAZINA) kwa ziara ya kushtukiza leo mchana.Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TNRF WAMTAKA MAGUFULI ADHIBITI UPOTEVU WA MALIASILI NCHINI

 Mwenyekiti wa Jumuiko la Maliasili nchini (TNRF) ,Dr.Suma Kaare akizungumza katika mkutano wa 7 wa jumuiko hilo uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AONDOKA RASMI IKULU NA KUELEKEA KIJIJINI MSOGA LEO

 Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiagana na watumishi wa Ofisi ya Rais Ikulu wakati wakiondoka rasmi katika jumba hilo waliloishi akiwa Rais wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali yasitisha matumizi ya Picha Rasmi ya Rais Magufuli

Serikali inapenda kuzitaarifu ofisi za umma  na  wananchi  kwa ujumla  kwamba  imesitisha    matumizi  ya  picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  wa Serikali ya Awamu ya Tano, Mhe.Dkt. John...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live