MAGUFULI AKABIDHIWA HATI YA USHINDI NAFASI YA URAIS
Rais mteule wa Tanzania John Pombe Magufuli akionesha cheti chake cha ushindi alichokabidhiwa muda huu katika ukumbi wa Diamond JubileeNa Anitha Jonas na Beatrice Lyimo- MAELEZO. Watanzania wametakiwa...
View ArticleKATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA BAN KI MOON AIPONGEZA TANZANIA Salam
Salamu za pongezi kitaifa na kimataifa zaanza kutolewa kwa Rais mteule wa awamu ya tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Taifa la Tanzania. Mapema leo baada ya Tume ya...
View ArticleMAMBO YALIVYOKUWA KWENYE HAFLA YA KUKABIDHIWA CHETI CHA URAIS DKT MAGUFULI NA...
Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan wakiwa na Mwenyekiti wa Chama cha UPDP Taifa Mhe. Fahmi Dovutwa katika chumba cha VIP cha ukumbi wa...
View ArticleMAGUFULI AWASHUKURU WAPIGA KURA
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wapenzi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi waliojitokeza kwa wingi kwenye hafla fupi ya kumpongeza Dk. John Pombe Magufuli kwa ushindi...
View ArticleANGALIA MATOKEO YA DARASA LA SABA HAPA
Kuangalia matokeo bonyeza mkoa hapa chiniARUSHADAR ES SALAAMDODOMAIRINGAKAGERAKIGOMAKILIMANJAROLINDIMARAMBEYAMOROGOROMTWARAMWANZAPWANIRUKWARUVUMASHINYANGASINGIDATABORATANGAMANYARAGEITAKATAVINJOMBESIMIYU
View ArticleTAARIFA ILIYOTOLEWA NA UMOJA WA VIJANA WA CCM KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 31...
Ndugu Waandishi wa Habari,Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi unachukua nafasi hii kukipongeza kwa dhati Chama Cha Mapinduzi (CCM) na aliyekuwa mgombea wake wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleTACCEO YALAANI KITENDO CHA POLISI KUVAMIA OFISI YAO NA KUWAKAMATA WAANGALIZI...
OCT31Mmoja wa Wakurugenzi wa Mtandao wa Asasi za Kiraia za Uangalizi wa Chaguzi (TACCEO), Hebron Mwakagenda (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya Kituo cha Sheria...
View ArticlePUMZIKA WA AMANI MAREHEMU ANNETH CHRISTIAN KAJURA
Mume wa marehemu akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa mke wake Anneth Christian mwishoni mwa wiki iliyopita nyumbani kwa marehemu Mbezi Beach - SalaSala Jijini Dar es Salaam na baadae maziko...
View ArticleRAIS KIKWETE AMTEUA RAMADHAN KASWA KUWA KATIBU TAWALA WA MKOA LINDI
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Ramadhan...
View ArticleKAMA ULIKOSA KIPINDI CHA MKASI CHA SALAMA JABIR NA MO DEWJI TAZAMA HAPA
@MkasiTV : Kipindi extended na @moodewji bonyeza play hapa chini
View ArticleNYALANDU APONGEZA ASKARI KWA KUMNASA JANGILI SUGU
Na mwandishi wetuJITIHADA za serikali kwenye mapambano dhidi ya ujangili zinaendelea kuzaa matunda baada ya Kikosi cha Kupambana na Ujangili kumkamata mtuhumiwa mkuu wa ujangili anayejulikana kama...
View ArticleAYSHAROSE AWASHUKURU WALIOMPIGIA KURA MAGUFULI
Na mwandishi wetuMBUNGE mteule wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe, amesema ushindi wa kishindo wa Dk. John Magufuli, ni ishara kuwa watanzania wanataka mabadiliko ya maendeleo na si...
View ArticleWAKAGUZI WATAKIWA KUZINGATIA WELEDI
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT), Bw. Gerald Mwanilwa akizungumza na Mgeni rasmi wa mafunzo ya program ya TEAMMATE kwa ajili ya wakaguzi kutoka NAOT na...
View ArticleVIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WAKUTANA
Msajili wa vyama vya siasa nchini,Jaji Mstaafu ,Francis Mtungi akiarisha mkutano wa vyama vya siasa ulioandaliwa kwa ajili ya kumuaga Rais Dk.Jakaya Kikkwete leo jijini Dar es Salaam..Mchambuzi wa wa...
View ArticleUTAMBULISHO WA KIPINDI KIPYA CHA TELEVISHENI CHA KISWAHILI WASHINGTON DC
Jumamosi,Oktoba 31, Swahili Media Network LLC kwa ushirikiano na Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hapa Washington DC walitambulisha kipindi kipya cha Televisheni cha Kiswahili JAMBO TV SHOW...
View ArticleWATALAAM WA TAKWIMU BARANI AFRIKA WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM.
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa akizungumza jana na waandishi wa habari kuhusu mkutano wa siku tano ambao umekutanisha watalaam wa takwimu kutoka nchi mbalimbali barani...
View ArticleVYUO VIKUU WAMPONGEZA DKT. MAGUFULI
Mwenyekiti wa Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu (CCM) Bi. Zainabu Abdallah akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) alipokuwa akitoa pongezi kwa Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleWAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI WILLIAM LUKUVI AAGA RASMI...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi akipokea ngao yenye picha ya chui ikiwa ni ishara ya tuzo ya Shirika la Nyumba la Taifa kwa Waziri huyo kutoka kwa...
View ArticleMHUBIRI MAARUFU DUNIANI TB JOSHUA WA NIGERIA ATUA DAR ES SALAAM KUSHUHUDIA...
Mtume TB Joshua wa kanisa la Church of All Nations nchini Nigeria ametua jijini Dar es salaam leo tayari kwa kushuhudia kuapishwa kwa Rais wa Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Magufuli siku ya...
View ArticleDK. JOHN POMBE MAGUFULI AMPOKEA TB JOSHUA KUTOKA NIGERIA, KUSHUHUDIA...
Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiongozana na Temitope Balogun Joshua maarufua kama TB Joshua Mkuu wa Kanisa la (Synagogue Church of All Nations a religious...
View Article