Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6824 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WILFRED LWAKATARE WA CHADEMA AIBUKA KIDEDEA UBUNGE BUKOBA MJINI.

Hatimaye Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa chama cha demokrasia na maendeleo -Chadema Bw. Wilfred Lwakatare ameibuka kidedea leo hii kuwa Mbunge wa Bukoba Mjini akiibuka kidedea dhidi ya aliyekuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATOKEO RASMI YA WAGOMBEA URAIS TANZANIA MAJIMBO 32

 KUSOMA MATOKEO ZAIDI BOFYA HAPA.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO KUTOKA KATIKA UKUMBI WA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu Mwenyekiti Tume ya Taifa ya Uchaguzi  Bw.Hamid M. Hamid (wapili kushoto) akisoma matokeo ya wagombea nafasi ya Urais leo jijini Dar es Salaam katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu,anayemfuata kulia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO

Chama cha Mapinduzi hakijaridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye baadhi ya majimbo. Katika majimbo manne kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa utaratibu wa uchaguzi, hasa katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WANNE

Balozi mpya wa Misri hapa nchini Mhe.Yasser Ahmed Al Eldin Elshawaf wakiwalisha hati zake za utambulisho kwa Rais Kikwete ikulu jijini Dar Es Salam leo.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea hati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIOSAMBAZA MATOKEO YA URAIS KINYUME CHA SHERIA WAPANDISHWA KIZIMBANI...

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe (katikati), akizungumza na mmoja kati ya vijana nane waliofikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo, kwa tuhuma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATOKEO YA WAGOMBEA URAIS MAJIMBO 51 LEO ASUBUHI

Read more »

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZA RAIS WA DUNIA OBAMA ALIPOHUDHURIA UZINDUZI WA NBA MSIMU MPYA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata  Mulamula (kulia ) akizungumza na Msaidizi wa Rais  wa masuala ya Kidplomasia, Zuhura Bundara (kushoto). Katikati  ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWSSS:DK. JOHN POMBE MAGUFULI NDIYE RAIS MTEULE WA JAMHURI YA...

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Jaji Damian Lubuva amtangaza Dk. John Pombe Magufuli kuwa mshindi wa kiti cha urais baada ya kushinda uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NMB MOSHI WATOA POLE KWA WAGONJWA HOSPITALI YA RUFAA YA KCMC

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB katika matawi ya Nelson Mandela na Mawenzi wakiwasili katika hosptali ya rufaa ya KCMC .Meneja wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela ,Emanuel Kashusho akizungumza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AMPONGEZA RAIS MTEULE DKT JOHN POMBE MAGUFULI, MAMA ANNA MGHWIRA...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang’anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa  Tume ya Taifa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAJI DAMIAN LUBUVA AMTANGAZA DK.JOHN POMBE MAGUFULI KUWA RAIS MTEULE WA KITI...

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa Jaji Damian Lubuva akifafanua baadhi ya mambo mapema leo jioni  kabla ya mawakala wa vyama kusaini fomu namba 27 iliyosainiwa na mawakala wa vyama vya siasa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WASHANGILIA USHINDI WA DK. JOHN POMBE MAGUFULI

Wananchi wakishangilia nje ya ofisi ndogo Lumumba mara baada ya kutangazwa kwa ushindi wa mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.

View Article

SHANGWEKA NA USHINDI WA MAGUFULI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAFU MPYA YA MAKATIBU NA NAIBU MAKATIBU WAKUU NISHATI NA MADINI YAKABIDHIWA...

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi (kulia), akibadilishana Nyaraka za Makabidhiano na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Omari Chambo (Kushoto). Maswi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UN TANZANIA STATEMENT ON TANZANIA GENERAL ELECTIONS

UN Resident Coordinator, Alvaro Rodriguez.Dar es Salaam, 29 October 2015: The United Nations is following very closely the Tanzanian general elections of 25 October and congratulates the president...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GLOBAL EDUCATION LINK (GEL) YAPELEKA WANAFUNZI 65 KUSOMA VYUO VIKUU NCHINI CHINA

 Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Global Education Link (GEL), Abdulmalik Mollel akiwa ameambatana na wafanyakazi wa kampuni hiyo kwa ajili ya kuwasindikiza wanafunzi wanaokwenda kusoma vyuo vikuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAMANI YA TANZANIA KUONYESHA MAENEO VYAMA VILIKOPATA KURA NYINGI

Thursday, October 29, 2015 Maoni: 0

View Article

HAFLA YA KUKABIDHI CHETI CHA MSHINDI WA URAIS 2015

 Kutangazwa rasmi mshindi wa urais 2015 kutokaa ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar Es Salaam;    Washiriki wa mbio za urais wa vyama vya siasa pamoja na viongozi mbalimbali katika hafla za kutangazwa...

View Article
Browsing all 6824 articles
Browse latest View live