AMSHA AMSHA YA MWANZA, KUELEKEA MKUTANO WA KUFUNGA KAMPENI ZA CCM
Leo ni Leo Mwanza… maana wakazi wa jiji La Mwanza na vitongoji vyake wamejitokeza kwa wingi kumpokea mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli. Huku Maelfu ya watu...
View ArticleDK. JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGA KAZI MWANZA, AWAAMBIA WATANZANIA MKAGUSWE...
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akiingia kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza tayari kwa kuwahutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU
Dkt.Maria Mashingo akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete baada ya kuteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Ikulu jijini Dar es...
View ArticleMGOMBEA URAIS WA CCM DKT MAGUFULI APIGA KURA JIMBONI KWAKE CHATO
Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akijiandaa kupiga kura huko kijijini kwake Chato mkoani Geita leo Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Joseph...
View ArticleMTONI KIJICHI, MBAGALA WENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA KWA UTULIVU NA AMANI...
Rukia Omari (kushoto), akimsaidia kupiga kura jamaa yake Mwanaharusi Mohamed ambaye ni mlemavu wa macho wakati wa kupiga kura katika kituo cha Mbagala Misheni Dar es Salaam leo asubuhi. Wananchi...
View ArticleDK.SHEIN APIGA KURA KITUO CHA BUNGI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dkt.Idriss...
View ArticleMAALIM SEIF ALIVYOPIGA KURA YAKE LEO
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad akipiga kura yake leo kwenye Kituo cha Mtoni, Chumba Na. 13, Zanzibar.Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya...
View ArticleTAARIFA MAALUM YA CHAMA CHA MAPINDUZI TAIFA KUHUSU UPIGAJI KURA UNAOENDELEA...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI CCM inafuatilia kwa karibu zoezi zima la uchaguzi kote nchini. Leo, tarehe 25.10.2015, saa kumi alasiri, CCM itafanya mkutano na waandishi wa habari. Hata hivyo, kabla ya...
View ArticleNAAMINI UCHAGUZI UTAKUWA WA AMANI-WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA
*Apiga kura, ataka Watanzania waendelee kumuomba MunguWAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema anaamini kwamba uchaguzi wa Rais,wabunge na madiwani unaoendelea nchini kote leo, utafanyika wa amanina...
View ArticleWENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA KWA AMANI NA UTULIVU VITUO VYA NZASA,KENTONI,...
Mmoja wa wakazi wa Kijitonyama mpakani akipiga Kura yakeKITUO CHA KUPIGIA KURA NZASABaadhi ya wakazi wa Mtaa wa Nzasa wakiwa wanangoja kupiga KuraBado wakazi wa Nzasa wanangoja kupiga KuraBaadhi ya...
View ArticleRAIS KIKWETE APIGA KURA KIJIJINI KWAKE MSOGA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika foleni akisuburi zamu yake ya kupiga kura katika kituo cha hospitali ya kijiji cha Msoga kata ya Msoga wilayani Bagamoyo Oktoba 25, 2015.Ofisa katika kituo...
View ArticleMKE WA RAIS MAMA SALMA APIGA KURA KATIKA KITUO CHA MTANDA HALMASHAURI YA...
Mama Salma Kikwete akisubiri kadi inayokaguliwa na msimamizi wa Kituo alichojiandikisha na hatimaye kupiga kura katika Ofisi ya Afisa Mtendaji Kata ya Mtanda Halmashauri ya Manispaa ya Lindi...
View ArticleArticle 1
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAMAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIATAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusu utangazaji wa matokeo ya...
View ArticleHAFLA YA UTOAJI TUZO ZA NANI KAMA MAMA NA BALOZI WA HESHIMA WA LUGHA YA...
Mkurugenzi wa Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (TATAKI), Dkt Ernesta Mosha akizungumza wakati wa hafla ya utoaji Tuzo ya heshima ya Balozi wa kiswahili Afrika jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi wa...
View ArticleRAIS KIKWETE AKABIDHI VITABU CHUO CHA ULINZI CHA TAIFA (NATIONAL DEFENCE...
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange vitabu kwaajili ya Chuo Cha ulinzi cha Taifa National Defence College(NDC) katika hafla...
View ArticleRAIS KIKWETE AWAAPISHA MANAIBU KATIBU WAKUU NA KATIBU TAWALA WA MKOA
Naibu Katibu Mkuu Mpya wa Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu Emannuel Kalobelo akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 26, 2015.Rais...
View ArticleMATOKEO YA AWALI YA URAIS MAGUFULI ANAONGOZA DHIDI YA WAGOMBEA WENZAKE
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Damian Lubuva (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari na waangalizi wa kimataifa wakati akitangaza matokeo ya awali ya urais Dar es...
View ArticleRAIS KIKWETE AMTEUA MKURUGENZI MKUU WA TAASISI YA TEA
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TEA), Ndugu Joel Laurent.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Joel Laurent...
View ArticleNI CCM JIJINI MWANZA.
Stanslaus Mabula akiongea na wanahabari baada ya kutangazwa mshindi wa Ubunge Jimbo la Nyamagana (CCM).NA BINAGI MEDIA GROUP, KWA PAMOJA TUIJUZE JAMIIEzekiel Wenje akiongea na wanahabari muda mfupi...
View Article