KINANA AMNADI NAMELOK SOKOINE MONDULI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kata ya Moita ambapo alimnadi mgombea wa ubunge jimbo la Monduli Ndugu Namelok Sokoine pamoja na Diwani wa kata hiyo. Katibu Mkuu wa...
View ArticleWANANCHI WAMESEMA COSATO CHUMI KUIJENGA MAFINGA MPYA AKIPEWA RIDHAA
Mgombea ubunge wa jimbo hili kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Cosato akiwahutubia wananchi wa IhimboChalamila kampeni meneja akihutubia wanachi wa IhimboMgombea ubunge wa jimbo hili kupitia...
View ArticleRAIS KIKWETE AWAAPISHA MSAJILI WA MAHAKAMA YA RUFAA NA MSAJILI WA MAHAKAMA...
Waheshimiwa John Lugalema Kahyoza na Bi. Katarina Tengia Revocati wakisubiri kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 22, 2015.Mhe. John Lugalema Kahyoza akila kiapo mbele ya...
View ArticleAIRTEL SMARTIFONIKA YALETA SIMU MPYA SOKONI NAFUU KULIKO ZOTE
Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel Bi Dangio Kaniki akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati Airtel ilipozindua smartifoni mpya ijulikanayo kama Magnus Bravo Z10zitakazopatikata...
View ArticleJESHI LA POLISI KUIMARISHA ULINZI SIKU YA KUPIGA KURA
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akionyesha waandishi wa habari leo (hawapo pichani) kitabu cha maadili ya uchaguzi kilichosainiwa na viongozi wa vyama vya siasa waliosimamisha...
View ArticleRATIBA YA CCM KUFUNGA KAMPENI SIKU YA JUMAMOSI
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa na Mjumbe wa Kamati ya Kampeni, January Makamba.CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo. Kampeni za CCM zitafungwa kitaifa kwa mikutano mikubwa...
View ArticleRAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AZINDUA MGODI WA URANI MKOA WA RUVUMA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa mgodi mara baada ya kuwasili eneo la mgodi wa urani katika mradi wa mto mkuju wilaya ya namtumbo mkoa wa ruvuma Oktoba 21,2015. Rais wa...
View ArticleDK. JOHN MAGUFULI AOMBA KURA KUPITIA SIMU
CHAMA cha Mapinduzi CCM kimezidi kujitengenezea mazingira mazuri ya ushindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka unaotarajiwa kufanyika Jumapili, Oktoba 25 baada ya kubuni mkakati mpyawa ushindi ambapo...
View ArticleDK. JOHN POMBE MAGUFULI: NIKIINGIA MADARAKANI SERIKALI YANGU HAKUNA MICHAKATO...
Dk. John Pombe Magufuli Mgombea Urais kupitia CCM akiwahutubia wakazi wa jiji la Dar es salaam jimbo la Kawe katika mkutano uliofanyika Bunju jana. Dk John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi hao...
View ArticleWAANGALIZI WA UCHAGUZI KUTOKA UMOJA WA AFRIKA (AU) WAMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimkaribisha ofisini kwake Mkuu wa Timu ya Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu Tanzania kutoka Umoja wa Afrika (AU), Rais wa Zamani wa Msumbiji,...
View ArticleMKUTANO WA HADHARA WA UFUNGAJI WA KAMPENI ZA CCM PEMBA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Viongozi wa CCM wakati alipowasili katika uwanja wa Gombani yakale katika ufungaji wa...
View ArticleHAIRUHUSIWI KUKAA MITA 200 - MAHAKAMA KUU
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa uamuzi wa mvutano wa kukaa mita 200 kutoka katika kituo cha kupigia kura na kusema kuwa haruhusiwi mtu yeyote kukaa hata kwenye umbali zaidi ya mita hizo....
View ArticleMAPOKEZI YA DK.SHEIN UWANJA WA NDEGE
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein akiwapungia mkono wananchi wakati alipowasili...
View ArticleRAIS KIKWETE AAGANA NA WATUMISHI WA UMMA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia viongozi na wawakilishi wa Watumishi wa Umma katika ukumbi wa Mlimani City wakati wa Sherehe ya Watumishi wa Umma Kumuaga Rais jana.(Picha na Freddy...
View ArticleMAMA SAMIA ATUA ZANZIBAR LEO, KUUNGURUMA KIBANDAMAITI NA DK. SHEIN JIONI HII
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akishuka kwenye ndege baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege Mjini Zanzibar leo, kwa ajili ya mkutano wa kampeni utakaofanyika...
View ArticleUBUNGO WAMPOKEA DK. MAGUFULI KWA FURAHA TELE, WASEMA DK. MAGUFULI NDIYO...
Wakazi wa Ubungo wakimshangilia kwa shangwe mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM, Dk. Magufuli. Wananchi wakiwamtandikia apite.
View ArticleMAMA SAMIA NA DK. SHEIN WAFUNGA KAZI MKUTAO WA KUFUNGA KAMPENI ZA CCM ZANZIBAR
Maelfu ya wananchi wakiwa wamefurika kwenye Viwanja vya Kibandamaiti, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za CCM, uliofanyika kwenye Viwanja hivyo mjini Zanzibar.Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi...
View ArticleSERIKALI YASAINI MKATABA WA UNUNUZI WA MAGARI NA KAMPUNI YA ASHOK LEYLAND KWA...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Job Masima (kulia), Makamu wa Rais wa Kampuni ya Kutengeneza Magari ya ASHOK LEYLAND ya nchini India, Bhimasena Rau wakisaini Mkataba wa...
View ArticleDK. JOHN POMBE MAGUFULI AUNGURUMA JANGWANI, ATOA HOTUBA KALI KWA WANAOBEZA...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Kikwete akimnadi Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni...
View ArticleJK ATEUA MAKATIBU WAKUU WANNE NA MANAIBU KATIBU WAKUU WATANO WAPYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho KikweteRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa Ijumaa, Oktoba 23, 2015, amewateua Makatibu...
View Article