Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6856 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NMB YAZINDUA RASMI JENGO LAKE JIPYA LA MAKAO MAKUU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa jengo jipya la Mmakao Makuu ya NMB na tawi jipya la NMB Private Banking kwenye jengo la makao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI ALIVYOLITIKISA JIJI LA MWANZA, AKINA MAMA WATANDIKA VITENGE VYAO ILI...

 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Furahisha.(ADAM...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMBEA UWAKILISHI JIMBO LA TUNGUU, MBUNGE NA MADIWANI WAENDA KIJIJI KWAO...

Mwenyekiti wa CCM wadi ya Tunguu Omar Azan Jecha akiwasalimi wananchi wa wadi ya Bungi waliofika kwenye Mkutano wa kuwanadi wagombea wa Chama cha Mapinduzi CCM katika Mkutano uliofanyika kiwanja cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAFALI YA NANE YA SHULE YA AWALI NA MSINGI RIGHTWAY, MBEZI BEACH YAFANA

Mgeni Mashuhuri katika mahafali ya nane ya shule ya awali na Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Makonde ya jijini Dar es Salaam, Naseeb Abdul aka Diamond Platinums akiwasili katika viwanja vya shule hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LATOA CHANGAMOTO VIJANA WALIOACHA KUTUMIA MADAWA...

Kwaya ya KKKT Keko, Dar es Salaam ikitumbuiza katika tamasha la vijana walioamua kuacha dawa za kulevya lililofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee lengo likiwa ni kuchangisha kiasi cha shilingi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAFALI YA KWANZA YA SHULE YA SEKONDARI ADILI HIGH SCHOOL MOSHONO JIJINI ARUSHA

Mgeni Rasmi katika Mahafali ya kwanza ya Shule ya Sekondari Adili High School,Moshono Jijini Arusha,Profesa Raymond Mosha akiangalia kazi zilizoandaliwa na wanafunzi wa masomo ya Sayansi ikiwa ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AFUNGUA KITUO CHA MICHEZO KIDONGO CHEKUNDU

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa Ufunguzi wa Kituo cha michezo cha Jakaya M.Kikwete Youth park huko Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.MAGUFULI: NDUGU ZANGU ACHENI UVUVI HARAMU UNAMALIZA SAMAKI

Msafara wa mgombea wa Urais Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli ukishuka kwenye kivuko cha Kamanga  wilayani Sengerema mkoani Mwanza  wakati mgombea huyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZISHI YA DK.EMMANUEL MAKAIDI KUFANYIKA MAKABURI YA SINZA, MWILI WAKE KUAGWA...

Mjane wa aliyekuwa Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Dk. Emmanuel Makaidi, Modesta Ponela Makaidi akiwa katika huzuni baada ya kuondokewa na mpendwa wake.Mtoto wa kwanza wa Dk....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU PINDA AMEVUTIWA NA KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA NHC

Waziri Mkuu Pinda akifunua pazia kuashiria  uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Jengo la Victoria Place Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia tukio hilo kutoka kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. MAGUFULI AZURU MAKABURI YA BABU NA BIBI YAKE, KATOMA – GEITA VIJIJINI

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kwa Tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, akielekea katika makaburi ya makaburi ya babu na bibi yake mzaa wa baba, eneo la Katoma, wilayani Geita Vijijini huku akiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHAKAMCHAKA WA MWIGULU MKOANI MBEYA, AINADI CCM TUNDUMA, KYELA,UYOLE

Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wa Mji wa Tunduma asubuhi ya jana alipokwenda kuomba kura za Rais, Ubunge na Madiwani wa Chama cha Mapinduzi.“Watanzania wenzangu mnaoishi hapa Tunduma, Hakuna...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA AONGOZA MAMIA KUUAGA MWILI WA DK.EMMANUEL MAKAIDI VIWANJA VYA...

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kupitia mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mwenza wa umoja huo,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PINDA AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA MAKAZI NA BIASHARA LA VICTORIA PLACE...

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua pazia kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengoa makazi na biashara la Cictoria Place linalojengwa na NHC katika eneo la Victoria jijini Dar es salam  Octoba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WA AMANI MKOA WA SHINYANGA WAKUTANA KUJADILI JINSI YA KUDUMISHA AMANI...

Hapa ni katika ukumbi wa Vigirmark Hotel mjini Shinyanga ambako jana Jumanne,Oktoba 20,2015,wadau mbalimbali wa amani mkoani Shinyanga wamekutana kwa ajili ya majadiliano ya ushirikiano wa kudumisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOTUBA YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, MATHIAS CHIKAWE (MB) ALIYOTOA...

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dar es salaam.Picha na Wizara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO, KATIKA...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifunua kitambaa kuzindua Jengo jipya la Mradi wa Kituo cha Kutunzia kumbukumbu Taifa (National Internet Data Centre)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMMOJA WA WANANCHI WA KIBADA WAFANYA MATENGENEZO GARI LA JESHI LA ZIMAMOTO

Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi iliyofanikisha upatikanaji wa Gari  la zimamoto, Mussa Bibose akitoa maelekezo kwa wananchi waliohudhuria shughuli ya kukabidhi gari hilo Kibada,Kigamboni  Jijini Dar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RATIBA YA KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS/MGOMBEA MWENZA KWA VYAMA VYA SIASA (KAMA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA MWANAMWEMA SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA UWT WILAYA YA MJINI UNGUJA...

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Mkoa wa Mjini Bi Waridi Juma akisoma risala ya Wanawake wa Mkoa wa Mjini wakati wa mkutano na Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein,...

View Article
Browsing all 6856 articles
Browse latest View live