MAHAFALI YA SITA YA BODI YA WATAALAM WA UNUNUZI NA UGAVI
Mwenyekiti wa Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi Dr Sr Hellen Bandiho akifungua rasmi kusanyiko la mahafali……………………………………………………………………Wataalam wa Ununuzi na Ugavi nchini wameaswa kutekeleza majukumu...
View ArticleUNESCO KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA IDARA YA MAMBO YA KALE KATIKA KUBORESHA...
Baadhi ya washiriki wa warsha iliyoandaliwa na UNESCO pamoja na Idara ya Mambo ya Kale wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dr Adelhelm Meru kufungua...
View ArticleTAARIFA YA CHAMA CHA MAPINDUZI KWA VYOMBO VYA HABARI - JUMAPILI OKTOBA 11, 2015.
TAARIFA YA CHAMA CHA MAPINDUZI KWA VYOMBO VYA HABARI - JUMAPILI OKTOBA 11, 2015.Tunapenda kuwataarifu wanachama wetu na umma wa Watanzania kuhusu masuala yafuatayo:Mwenendo wa Kampeni za CCMMgombea...
View ArticleRAIS DKT JAKAYA KIKWETE AZINDUA RASMI SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA WAMA...
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Bodi ya WAMA, Mama Salma Kikwete akipokewa na Mkuu wa Wilaya ya Lindi Ndugu Yahaya Nawanda baada ya kuwasili kwenye eneo la Shule ya Sekondari ya Wasichana WAMA Sharaf...
View ArticleDIAMOND,VANNESA NA OMMY DIMPOZ WALIVYOIPEPERUSHA VYEMA BENDERA YA TANZANIA...
Diamond Platnumz akiwa na moja ya tuzo alizoshinda pamoja na mchekeshaji kutoka Nigeria Basketmouth.Ommy DimpozTuzo tatu alizoshinda Diamond Platnumz.Inaweza ikawa siyo mara ya kwanza kwa msanii...
View ArticleDK MAGUFULI AUWASHA MOTO NACHINGWEA
Wana CCM wakipeperusha picha na mabango yenye ujumbe wakati Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli alipowasili asubuhi hii...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKABIDHI TUZO ZA MUUNGANO WA WAFANYABIASHARA NA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya Sherehe za Utoaji Tuzo kutoka Muungano wa Wafanyabishara na Wamiliki wa Viwanda wa Tanzania...
View ArticleJK AZINDUA KIWANDA KIKUBWA KABISA CHA SARUJI BARANI AFRIKA, CHA BILIONIE...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Alhaj Aliko Dangote wakikata utepe kuashiria kuzindua rasmi kiwanda cha saruji cha Dangote ambacho ni kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko...
View ArticleWAZIRI MKUU MIZENGO PINDA APOKEA TAARIFA YA UJENZI WA WODI YA WATOTO –...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumzana baadhi ya wagonjwa wakati alipotembelea hospitali Teule ya Wilaya ya Sumbawanga ya Doctor Atiman wakati alipkagua ujenzi wa wodi ya watoto katika hospitali hiyo...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA HAPA NCHINI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. Dianna Melrose wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa...
View ArticleTIMU YA TAIFA KUELEKEA NCHINI AFRIKA KUSINI
Afisa Mkuu wa Fedha kutoka Benki ya NMB Bw. Waziri Barnabas akiongea na wanahabari katika hafla ya kuwaaga wachezaji hao wanaoelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya mashindano ya mchezo huo...
View ArticleVOA AFRICA 54 YAFANYA MAHOJIANO NA MAMA SHUJAA WA CHAKULA , AMBAYE YUPO...
Kushoto ni Mtangazaji Voice of America wa Africa 54 Linord Moudou akiwa na Mama Shujaa wa Chakula 2014 msimu wa Tatu Bahati Muliga na Meneja Utetezi na Ushawishi kutoka Oxfam Eluka Kibona wakihojiwa...
View ArticleCCM ITASHINDA BILA WASIWASI-MHE. MIZENGO PINDA
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM),Mhe. Mizengo Pinda amesema CCM itashinda kiti cha Urais bila wasiwasikwa sababu ina mgombea mzuri ambaye hawezi kulinganishwa na...
View ArticleUBADHIRIFU KIKWAZO CHA USHIRIKA KUSHAMIRI
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF), Dk. Tausi Kida na Mkurugenzi Msaidizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) Tanzania, (Ushauri na Miradi), Amon...
View ArticleDC PAUL MAKONDA AONGOZA MATEMBEZI YA VYAMA VYA SIASA KUOMBEA NCHI AMANI...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kulia), akihutubia wananchi baada ya kupokea matembezi ya amani ya vyama vya siasa yaliyofanyika kuanzia eneo la Magomeni hadi viwanja vya Kinondoni Biafra...
View ArticleMALALAMIKO YA VYAMA YATATULIWE NDANI YA KAMATI YA MAADILI NA SIO VYOMBO VYA...
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu, Damian Lubuva akizungumza katika mkutano na vyama vya siasa kujadili masuala mbalimbali kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika...
View ArticleMKAPA AMPONGEZA RAIS KIKWETE, NSSF UJENZI DARAJA LA KIGAMBONI
RAIS Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa( katikati) akiwa ameongozana na Waziri wa Kazi na Ajira, Bi. Gaudensia Kabaka (wa kwanza kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii...
View ArticleWATANZANIA TUTAMBUE AMANI YETU NI FAHARI YETU (KUIDUMISHA BAADA YA UCHAGUZI)
Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya utofauti wa itikadi wa vyama ndiyo ukomavu wa demokrasia nchini hivyo ni jambo la busara...
View ArticleWIZARA YA NISHATI NA MADINI YAKANUSHA TAARIFA ZINAZOENEZWA KUWA NI ZA UONGO
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA NISHATI NA MADINITAARIFA KWA UMMAHivi karibuni zimeibuka taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii zikimnukuu Waziri wa Nishati na Madini, George B....
View ArticleDK. JOHN POMBE MAGUFULI AMPONGEZA DIAMOND PLATNUMZ KWA KUNYAKUA TUZO TATU ZA...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mkoa wa Lindi kwenye mkutano uliofanyika kwenye uwanja wa Shule ya...
View Article