Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6824 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU MARA WAMHAKIKISHIA AMANI IGP MANGU

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akizungumza na Maofisa, Wakaguzi na Askari wa Mkoa wa Mara wakati alipokuwa katika ziara ya kikazi katika mkoa huo jana.(Picha na Frank Geofray-Jeshi la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UBA’S ODUOZA WINS CEO OF THE YEAR AWARD AT INVESTMENT SUMMIT IN NEW YORK

Group Managing Director and CEO, UBA Plc, Mr. Phillips Oduoza.………………………………………Group Managing Director and CEO, UBA Plc, Mr. Phillips Oduoza has emerged the 2015 Ai Socially Responsible Investment (SRI)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MAONESHO YA KIMATAIFA YA KUKUZA BIASHARA YA...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kufungua rasmi maonesho ya Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE),...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAANDISHI WA HABARI WAPEWA ELIMU YA MASUALA YA KODI

 Meneja wa Kampuni ya Business Connexion Tanzania Limited Ebenezer Massawe akitoa mafunzo juu ya kupata taarifa ya vyanzo vya mapato  kwa waandishi wahabari  wakati wa  semina iliyoandaliwa na Chama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EDWARD LOWASA NA KAMPENI ZAKE DAR ES SALAAM

Waangalizikutoka Jumuiya ya Ulaya EU wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombeaurais wa Chadema uliofanyika kwenye Uwanja wa Mwembe Yanga jana majira ya saa tano asubuhi, mgombea huyo anaungwa mkono...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM KIWANI PEMBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza wanachama na wananchi wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Kiwani wilaya ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNESCO YAENDELEA KUZIJENGEA UWEZO REDIO ZA JAMII NCHINI

Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini, Al Amin Yusuph, akizungumza katika kongamano lililowakutanisha watendaji kutoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NMB YAJIVUNIA MIAKA 10 YA MAFANIKIO

Mkurugenzi wa NMB - Ineke Bussemaker (katikati) akizungumza na Wajumbe wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (Tanzania Editors Forum) jijini Dar es Salaam jana kuhusu maadhimisho ya miaka 10 ya benki hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYAKAZI WATAKIWA KUFUATILIA MAKATO YAO

Mkurugenzi wa Utafiti, Tathmini na Sera wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Ansgar Mushi.Na Mwandishi wetu, DodomaWANACHAMA wa mifuko ya Hifadhi ya Jamii wametakiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SAMIA AHUTUBIA MWIBARA NA SERENGETI

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Viwanja vya Mnadani eneo la Kisorya, jimbo la Mwibara mkoani Mara, jana Oktoba 1,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJENZI WA MSIKITI KIMBANGULILE , MKURANGA PWANI

 Msikiti mpya wa Kitongoji cha Kimbangulile, Mkuranga Pwani Msikiti wa zamani wa Kitongoji cha Kimbangulile Wilaya ya Mkuranga mkoni Pwani.Tunamshukuru Mungu kwa wale wote walio tuunga mkono katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIILI YA VIJANA WA JKT BULOMBORA YAAGWA LEO

  Katibu tawala wa Mkoa wa Kigoma akitoa heshima zake za mwisho kwa askari wa JKT wa kikosi cha 821 Bulombora Kigoma waliofariki jana kwa ajali ya gati.Baadhi ya viongozi wa kamati ya ulinzi na usalama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KONGAMANO LA SABA LA ELIMU YA JUU LAENDELEA JIJINI ARUSHA

Mwenyekiti wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania, Profesa Awadh Mawenya, ambaye ni mgeni rasmi katika kongamano la saba la elimu ya juu linalofanyika jijini Arusha akiongea machache mara baada ya kumaliza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA TISA CHA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA IKULU...

 Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2015...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SAMIA AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE

Msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan ukiwasili nyumbani kwa familia ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ambako alika kusalimia familia hiyo na kuzuru kaburi la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA SHULE YA SEKONDARI J.K.NYERERE HUKO TARIME

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Capt. Mstaafu Aseri Msangi mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Musoma kwa ziara ya siku mbili mkoani humo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE MKOANI SINGIDA,LEO KUUNGURUMA SINGIDA MJINI...

 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiombewa Dua na mmoja wa kiongozi wa dini mara baada ya kusimamishwa na Wananchi wa kijiji cha Puma (hawapo pichani),alipokuwa akielekea mkoani Singida...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND KUSINDIKIZA TAMASHA LA FAHARI YA MWAFRIKA NDANI YA KIOTA CHA...

 Mmiliki wa Skylight Band Dk Sebastian Ndege(Jembe ni Jembe) akicheza moja ya nyimbo ya bendi Skylight. Njoo leo Jumamosi kwenye Show ya Fahari ya Mwafrika itakayofanyika kwenye kiwanja cha Escape One...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHC YAZINDUA UUZAJI WA NYUMBA ZA BIASHARA NA MAKAZI ZA MOROCCO SQUARE,Waziri...

 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa mauzo ya nyumba za biashara na makazi-Morocco Square uliofanyika jijini Dar es Salaam,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAYIRA, IDD SEIF WAACHA KAZI BBC

              Aliyekuwa mtangazaji wa Shirika la Utangazaji wa Uingereza BBC, Kassim Kayira.Aliyekuwa mtangazaji wa Shirika la Utangazaji wa Uingereza BBC, Idd Seif.Kassim Kayira na Idd Seif wakiwa...

View Article
Browsing all 6824 articles
Browse latest View live