TTCL WAZINDUWA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA, KUWATEMBELEA WATEJA POPOTE
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura akisaini kitabu cha wageni katika moja ya tawi la ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kwenye hafla ya uzinduzi wa...
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA MRADI WA UMEME GESI ASILIA KINYEREZI
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe na kufunua kitambaa katika jiwe la msingi kuzindua rasmi mtambo wa kufua umeme kutokana na Gesi Asilia huko Kinyerezi jijini Dar es Salaam.Mradi huo...
View ArticleLAFARGE TANZANIA YAZINDUA SARUJI MPYA “TEMBO SUPASET 42.5”
Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa Lafarge Tanzania, Allan Chonjo (wa kwanza kulia) akizungumza machache mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa chapa mpya ya saruji...
View ArticleRAIS KIKWETE APEWA TUZO NA TASWA
Mwenyekiti wa TASWA Bwana Juma Pinto akimpa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutambua mchango wake Mkubwa katika kuendeleza michezo nchini wakati wa hafla maalum ilioandaliwa na TASWA katika ukumbi...
View ArticleWIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA YAENDELEA NA JUHUDI ZA KUWAINUA...
Meneja Biashara kutoka shirika la Mzinga Morogoro Pingu Kamenyi akiwaeleza wandishi wa habari leo jijini Dar es salaam (hawapo pichani) kuhusu mafanikio ya Shirika hilo katika kipindi cha Miaka kumi...
View ArticleBALOZI JUMA MWAPACHU AJITOA CCM
NAJIVUA UANACHAMA WA CCM.BALOZI JUMA MWAPACHU.Ndugu zangu,Kesho ni siku muhimu katika kalenda ya Taifa letu. Tunamkumbuka marehemu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyetutoka miaka 16...
View ArticleMWIGULU NCHEMBA NDANI YA MARA,AENDELEA KUUNGWA MKONO NA WATANZANIA
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza akimnadi Mgombea wa Jimbo la Bunda Vijini.Mwigulu akizungumza na wanaserengeti amewaomba”Naomba mmchague Magufuli kwasababu tunazo sababu nyingi za kuhakikisha anakuwa...
View ArticleRAIS KIKWETE AFUNGUA HOSPITALI YA UTAFITI NA TIBA DODOMA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi ufunguo wa Hospitali ya Utafiti wa magonjwa ya The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital Waziri wa Afya Kebwe Steven Kebwe kama ishara ya kuikabidhi Wizara ya...
View ArticleDK JOHN POMBE MAGUFULI: WATAKAOJARIBU KUFANYA UVUVI HARAMA BAHARINI NITALALA...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mkoa wa Pwani mjini Mkuranga wakati akiwaomba kumpigia kura za ndiyo...
View ArticleMAGAVANA WA AFRIKA WAKUTANA NA MKURUGENZI WA SHIRIKA LA FEDHA LA KIMATAIFA...
Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile wakisalimiana na Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa Bi. Christine Lagarde...
View ArticleTANO ZA MAGUFULI . UADILIFU .UCHAPAKAZI .UFUATILIAJI .UTEKELEZAJI NA UTUMISHI...
MGOMBEA urais wa CCM, Dk John Magufuli amewataka wananchi kumchagua ili awe rais wa tano ajaye wa Tanzania huku akiahidi kushughulikia masuala mbalimbali ya wananchi na hivyo kuliletea Taifa maendeleo...
View ArticleMAMA SAMIA AANZA KAMPENI MKOANI KAGERA LEO, AWANADI KAGASHEKI NA MWIJAGE
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi waliosimamisha msafara wake katika eneo la Buseresere, wakati akiwa njiani kutoka Geita kwenda Bukoba kuendelea...
View ArticlePSPF YAVUNA WANACHAMA KUTOKA KIKUNDI CHA WAJASIRIAMALI WA VOWET
Meneja wa Mfuko wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari (PSS), wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Mwanjaa Sembe, (aliyesimama), akiwaongoza wanachama wapya waliojiunga na mpango huo, wakati wa warsha ya siku moja...
View ArticleLOWASSA AFANYA KAMPENI MKOANI GEITA
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwahutubia wananchi wa Mji wa Geita, katika Mkutano wa Kampeni,...
View ArticleRAIS KIKWETE APOKEA MWENGE WA UHURU MJINI DODOMA
Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa Ndugu Juma Khatib Chum akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mwenge wa uhuru wakati wa sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge zilizofanyika katika Uwanja wa...
View ArticleWAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU DKT KIGODA
Wapambe wa Bunge wakiuingiza mwili wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Abdallah Kigoda kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam kwa heshima za mwisho Oktoba 15, 2015.(Picha n Ofisi...
View ArticleWAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGUA MAKTABA YA KOMPYUTA KATIKA SHULE YA...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika sherehe za kukabidhi maktaba ya Komyuta katika shule ya sekondari ya Lugoba mkoani Pwani Oktoba 14, 2015.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri...
View ArticleUWT KINONDONI WALIVYOMUENZI NYERERE
MWENYEKITI WA Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Wilaya ya Kinondoni, Frolance Masunga, akihutubia wanachama wa umoja huo, katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa maalumu kwaajili ya kumbukumbu ya miaka...
View ArticleRAIS KIKWETE AFUNGUA TAWI LA BENKI KUU DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kufungua rasmi tawi la Benki kuu ya Tanzania Dodoma Oktoba 15,2015.Kushoto ni Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum na Gavana wa...
View Article