Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6822 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAFARA WA LOWASSA WASIMAMISHWA ZAIDI YA MARA NNE WAKATI AKIWA SAFARINI...

 Msafara wa Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, ukichanja mbuga kutokea jijini Tanga kuelekea jijini Dar es salaam mapema leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ATOA HOTUBA YAKE YA MWISHO UMOJA WA MATAIFA NEW YORK

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya mwisho katika kikao cha 70 cha Baraza kuu la Umoja wa mataifa katika ukumbi wa Makao makuu ya Umoja huo jijini New York Marekani leo mchana.(Picha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MO KUANZISHA BENKI YA MIKOPO KWA WAFANYABISHARA WADOGO NCHINI

CEO wa Kampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji akiwa ofisini kwake.………………………………………..Na Modewjiblog teamMfanyabiashara Bilionea Mohamed Dewji ambaye hivi karibuni amepata tuzo ya Mfanyabiashara Bora wa...

View Article

NAPE ALIPOHUTUBIA IRINGA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAENDELEO ENDELEVU 17 YA DUNIA YAZINDULIWA TANZANIA

Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Bw. Alvaro Rodriguez (kulia) na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la UN Women nchini Tanzania, Anna Collins-Falk...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IT BRIDGE YAWAFIKIA WANAFUNZI 60,000

Kamishina wa Elimu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Eusella Bhalalusesa akizungumza kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Profesa Sifuni Mchome kuzindua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI...

Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein. akisalimiana na Viongozi wa CCM alipowasili katika viwanja vya garagara mtoni kwa ajili ya kuendelea na mikutano yake ya kampeni Zanzibar kuomba ridhaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEC YAKUTANA NA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu,Damian Lubuva akizungumza na wamiliki  wa vyombo vya habari (hawapo pichani) jinsi ya tume hiyo inavyofanya kazi kuelekea uchagauzi Mkuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASOI YAZINDUA KAMPENI YA SARATANI KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA MAWASILIANO BILA...

Katibu Mkuu wa TASOI, Belinda Mlingo akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa mpango mkakati endelevu wa kuendesha kampeni ya Mshikamano dhidi ya Saratani kwa kutumia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MWANGALIZI WA UCHAGUZI KUTOKA UMOJA WA...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Victoria Mwakasege, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EALA ROOTS FOR CONCERTED EFFORTS IN COMBATING CORRUPTION

 Heads of Anti-Corruption Authorities from Republic of Kenya (left), South Sudan (centre) and the Federal Republic of Ethiopia stand for the Anthem at the start of the meeting in Entebbe earlier today...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANACHAMA WA CHAMA CHA MAWAKALA WA FORODHA TANZANIA WAJIUNGA NA PSPF

 KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Florence Turuka, akihutubia wanachama wa chama cha mawakala wa forodha Tanzania (TAFFA), mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI AAHIDI KUKOMESHA MAPIGANO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI NCHINI

  Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa watu kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE KUZINDUA KITUO CHA MICHEZO KIDONGO CHEKUNDU DAR ES SALAAM

Rais Kikwete anatarajia kuzindua Kituo Kituo cha Michezo cha Kisasa cha Jakaya M. Kikwete Youth Park (JMK Park), Kidongo Chekundu, Dar es Salaam, kituo cha kwanza cha aina yake nchini chenye kulenga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YATOA GAWIO LA TSHS BILIONI 5.3 KWA WATEJA WA AIRTEL MONEY

Meneja biashara wa kitengo cha  Airtel Money,  Bwn Asupya Naligingwa(kushoto) akiongea na waandishi wa habari wakati wa kutangaza Airtelkugawa gawio la faida la zaidi ya  shilingi billion 5 kwa wateja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PRESIDENT KIKWETE CALL UPON ADVANCED NATIONS TO CURB MARKET FOR ILLEGAL...

 President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete speaks during the International Conservation Caucus Foundation(ICCF) gala in New York's Harvard Club whereby he called upon advanced nations to curb the sale of...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GERMANY COMMITS 37 MILLION EUROS TO SUPPORT REGIONAL INTEGRATION IN EAST AFRICA

  Head of the German delegation Mr. Georg Rademacher and the EAC Deputy Secretary General in charge Finance and Administration, Mr. Liberat Mfumukeko signs the bilateral agreement.The EAC team(on the...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILA JUMATATU YA KWANZA YA MWEZI OKTOBA NI SIKU YA MAKAZI DUNIANI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI TAARIFA KWA UMMA Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inapenda kuwataarifu  Wananchi wote kwamba kila Jumatatu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MERCK SADICK ANATARAJIWA KUWA MGENI RASMI...

MKUU wa mkoa wa Dar es salaam Merck Sadick anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano mkuu wa mwaka  wa 46 wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya Tanzania utakaofanyika kuanzia tarehe 2 hadi 4 octoba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NIMESTUKA WAWASTUA WAKAZI WA IGUNGA

Msanii Inspector Haarun akiwa ameongozana na Kasala wakiingia eneo la mkutano mjini Igunga.Msanii Kupa akiwa amembeba msanii wa vichekesho, Tausi huku Msanii Ndede akipunga mkono kuwasilimia wana...

View Article
Browsing all 6822 articles
Browse latest View live