NHIF YATEKELEZA AGIZO LA RAIS JK
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Michael Mhando akiangalia kadi za matibabu ambazo alizikabidhi kwa wasanii ambao wametimiza taratibu za kujiunga na Mfuko huo. Msanii Aisha Salvador akipokea kadi ya...
View ArticleNHC YAIBUKA TAASISI YENYE UWAZI ZAIDI MIONGONI MWA TAASISI ZA UMMA NA KUWA...
Mwenyekiti wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Simon Berege (kulia) akimkabidhi tuzo ya Cheti cha Ufunguo wa Dhahabu, Kaimu Mkuu...
View ArticleWAFANYAKAZI WA MGODI WA BUZWAGI WASHEREKEA SIKU YA FAMILIA NA FAMILIA ZAO.
Eng.Philbert Rweyemamu akifafanua jambo katika moja ya mabanda ya maonyesho kwa baadhi ya maafisa wa uhamiaji walipokuwa wakitembelea mabanda ya maonyesho.Eng.Philbert Rweyemamu akifafanua jambo katika...
View ArticleNHC YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA URITHI WA UTAMADUNI WA KALE JIJINI DAR...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza kwenye Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Urithi wa Utamaduni wa Kale jijini Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo...
View ArticleRAIS KIKWETE KUZINDUA ONESHO LA UTALII LA SWAHILI INTERNATIONAL EXPO
Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Devotha Mdachi (kulia) akizungumza jana Dar es Salaam kuhusu maandalizi ya onesho la Swahili International Expo linalotarajiwa kufanyika kwa siku tatu...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA WANANCHI KUAGA MWILI WA MAREHEMU CELINA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa...
View ArticleBENKI YA EXIM YATOA MSAADA WA MADAWATI SHINYANGA.
Meneja wa benki ya Exim Tanzania tawi la Shinyanga Bw. Emmanuel Nkelebe akijiandaa kukata utepe ikiwa ni ishara ya kukabidhi msaada wa madawati 50 kwa shule ya msingi Mapinduzi ‘A’ iliyopo Manispaa...
View ArticleBALOZI KAMALA ATUNUKIWA NISHANI YA BALOZI BORA WA AFRIKA BRUSSELS
Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na mwenyekiti wa taasisi ya Global Change for Africa Award Mhe. Dr. Phillip Collins baada ya kutunukiwa nishani ya Balozi Bora...
View ArticleVIJANA WAANZISHA CLUB KUMUUNGA MKONO DKT. MAGUFULI
Mratibu wa MAGUFULI Club wilaya ya Temeke Bw. Peter Dafi akizungumza na vijana kutoka Jimbo la Mbagala wakati wa uzinduzi wa MAGUFULI Club jijini Dar es Salaam Septemba 27, 2015. MAGUFULI Club...
View ArticleDK. JOHN POMBE MAGUFULI AWAAMBIA CHADEMA “MPENI HIYO POWER MAGUFULI AWE RAIS...
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi kwenye uwanja wa Samora Manispaa ya Iringa wakati alipokuwa akiwaomba kumpigia kura za...
View ArticleCHOPA YA CCM YATUA MANYARA,MWIGULU NCHEMBA AENDELEA KUKUSANYA KURA ZA CCM
Mwigulu Nchemba mmoja ya wajumbe 32 wa timu ya Ushindi ya Chama cha Mapinduzi akisalimiana na Wananchi wa Karatu Mjini jioni ya leo alipofika kwaajili ya Kuomba kura kwaajili ya Rais,Mbunge na Madiwani...
View ArticlePRESIDENT KIKWETE MEETS QUEEN MAXIMA IN NEW YORK
President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete meets the United Nations Secretary General’s Special Advocate for Inclusive Finance for Development (or as it’s more simply known, UNSGSA) Netherlands Queen Maxima...
View ArticleLOWASSA APATA MAPOKEZI MAKUBWA JIMBO LA BUMBULI, MKOANI TANGA
Wananchi wa Mji wa Soni katika Jimbo la Bumbuli, wakimlaki kwa shangwe Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati akiwasili...
View ArticleMWILI WA MAREHEMU CELINA KOMBANI WAAGWA DAR ES SALAAM
Askari wa Bunge wakibeba Jeneza lenye mwili wa marehemu Celina Kombani, wakati likiwasili kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam Septemba 28, 2015.…………………………………………………..Na Ally Daud –Maelezo...
View ArticleDKT FENELA MUKANGARA KUPAMBANA NA KERO YA MAJI KATIKA JIMBO LA KIBAMBA
………………………………………………………………………………..Na Jimmy Kagaruki Mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM)DKT FENELA MUKANGARA amesema atashirikiana na wananchi wa jimbo la kibambakupambana na kero ya...
View ArticleMKUTANO WA KAMPENI ZA CCM UWANJA WA GARAGARA JIMBO LA MTOPEPO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wananchi na wanachama wa CCM Jimbo la Mtopepo katika mkutano wa...
View ArticleSIKU YA MOYO DUNIANI:WANANCHI KUPIMWA SHINIKIZO LA DAMU BURE
Daktari Bingwa wa magonwa ya moyo, Dk Tulizo Shemu (kulia) wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) akizungumza na waandishi wa habari katika taasisi hiyo...
View ArticleDK. JOHN POMBE MAGUFULI AUNGURUMA MTERA KWA KIBAJAJI, AWAAMBIA WANAMVUMI...
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi kwenye kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika tarafa ya Mvumi jimbo la Mtera wilaya ya...
View ArticleMGOMBEA MWENZA WA UKAWA KUPITIA CHADEMA AFANYA MIKUTANO KILWA KUSINI
Mgombea mwenza wa urais Chadema, Juma Duni Haji akiwapungia mikono wananchi wakati akielekea jukwaanikuwahutubia kwenye mkutano wa kampeni katika kiwanja cha Mandawa Jimbo la KilwaKusini mkoani...
View ArticleNAMELOK SOKOINE AZINDUA KAMPENI ZA UBUNGE MONDULI AHIDI KUENDELEZA ALIPOISHIA...
MGOMBEA jimbo la Monduli kupitia Chama ChaMapinduzi (CCM), Namelok Sokoine, akihutubia mkutano wa hadhara wakati wauzinduzi wa kampeni zake zilizofanyika katika viwanja vya Nanja Mnadani Mondulimkoani...
View Article