Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6824 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MH CELINA KOMBANI AFARIKI DUNIA NCHINI INDIA AKIWA KWENYE MATIBABU

Waziri Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe Celina Ompeshi Kombani amefariki dunia jioni hii huko India .Mh Celina Kombani alikua ni mbunge wa jimbo la Ulanga Mashariki kupitia Chama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PRESIDENT KIKWETE OFFICIATES ATA’S 10TH ANNUAL PRESIDENTIAL FORUM ON TOURISM

President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete delivers his keynote speech during the 10th  Africa Travel Association  Annual Presidential Forum on Tourism held at New York University Kimmel Center in United...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KUHUSU MAHUJAJI KUTOKA TANZANIA WALIOFARIKI NA KUJERUHIWA HUKO SAUDI...

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFASimu: 255-22-2114615, 211906-12Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tzNukushi:...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PPF YAVUNA WANACHAMA WAPYA KWENYE WIKI YA WAFANYAKAZI WA AIRTEL, (AIRTEL HR...

 Mfanyaakzi wa Airtel, (kulia), akijaza fomu ya kujiunga na mpango wa uchangiaji wa hiari (Wote Scheme), wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakati wa ufunguzi wa wiki ya Wafanyakazi wa Airtel, makao makuu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA CEMENT YAIPIGA JEKI MZUMBE SECONDARY

  Kaimu Mkuu Mkuu wa Shule ya Sekondari Mzumbe ya mkoani Morogoro, Bi. Jemma Kimolo akipokea msaada wa tani 30 za saruji kutoka kwa Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya Saruji Tanga (Simba Cement),...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTASHI WA KISIASA WAHITAJIKA KATIKA UTEKELEZAJI WA MAENDELEO ENDELEVU (SDGS)...

 Meneja wa Program wa Restless Development,Oscar Kimaro akizungumza na vijana (Hawapo Pichani )kutoka asasi mbalimbali kuelelekea malengo 17 ya Maendeleo Endelevu (SDGs) iliyofanyika katika Makao Makuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KIBAHA KULIVALIA NJUGA SUALA LA CHANGAMOTO YA...

 Mgombea wa jimbo la kibaha mjini kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Sylivesta Koka akisalimiana na wananchi wa kata ya msangani kabla ya kuanza kwa mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi. Wananchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MO AMPIKU DANGOTE MFANYABISHARA BORA AFRIKA

Vinara wa biashara Afrika walipewa tuzo mbalimbali za African Business katika picha ya pamoja. Kuanzia kushoto ni Daphne Mashile Nkosi, Strive Masiyiwa, Helen Hai na Mohammed Dewji . hafla ya utoaji wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GLOBAL EDUCATION LINK (GEL) YAZIDI KUPATA MAFANIKIO YA KUSAFIRISHA WANANFUNZI...

Mapema jana Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya nje ya nchi waliweza kusafirisha wanafunzi wapatao 70 kwenda nchini China kwa ajili ya masoma. Akizungumza Mkurugeni wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SAMIA APIGA KAMPENI MOROGORO

Msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan ukiwasili mkoani Morogoro jana Septemba 25, 2015 ukitokea mkoani Dodoma.Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA NDANI YA MJI WA MERERANI, SIMANJIRO MKOANI MANYARA

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Mererani, katika Mkutano wa Kampeni zake, uliofanyika kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.MAGUFULI ATIKISA KAHAMA, WANANCHI WASEMA CCM IMELETA SUNAMI

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha  Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutibia moja ya mikutano yake ya kampeni  aliyoifanya katika wilaya za Mbogwe, Bukombe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PRESIDENT KIKWETE MEETS PRESIDENT MUSEVENI IN NEW YORK POPE ADRESSES UN

President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete in conversation with Ugandan President Yoweri Kaguta Museveni at Trump Towers Hotel in New York this afternoon. Both presidents are attening the 70th Session of the...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AKUTANA NA KIONGOZI WA UJERUMANI ANGELA MERKEL JIJINI NEW YORK

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kiongozi wa Ujerumani Chancellor Angela Merkel kwenye ubalozi wa kudumu wa Ujerumani Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani jana jioni.Rais Kikwete...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Salam za Eid na Rambirambi kutoka kwa Zanzibar Diaspora (ZADIA)

                            TAARIFAAssalamu Alaykum: Kwanza kabisa, napenda kumshukuru Allah Subhanahu Wa Taala kwa kutujaalia kuwa wazima na kuadhimisha Siku Kuu ya Idd Al-Adh-ha ya mwaka 1436H...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWILI WA MAREHEMU CELINA O. KOMBANI WAWASILI DAR ES SALAAM MUDA HUU,...

Pumzika kwa Amani mpendwa wetu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina O. Kombani (pichani enzi za uhai wake).Kaimu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI AWASHA MOTO SHINYANGA

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Shinyanga mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Kambarage ambapo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA APIGA KAMPENI KATIKA JIMBO LA HAI, MKOANI KILIMANJARO

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akipokelewa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE NDANI YA CHIMALA,MBARALI,MAKAMBAKO NA...

 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Ubunge wa jimbo la Makambako Ndugu Deo Sanga wakiwaiambisha wananchi wa...

View Article
Browsing all 6824 articles
Browse latest View live