Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6822 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA EXIM YAPATA MSHINDI WA DROO YA PILI AKAUNTI YA MALENGO

Ofisa Masoko wa Benki ya Exim Tanzania tawi la Moshi, Bi. Elihaika Munuo (wa pili kulia), akikabidhi zawadi ya IPhone 6 kwa mshindi wa droo  ya pili ya kampeni ya Akaunti ya Malengo ya Dola za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA...

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MALIASILI NA UTALII TAARIFA KWA UMMAUTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI TANZANIA (TAWA)Wizara ya Maliasili na Utalii...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMBEA MWENZA CCM MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AVUNJA NGOME YA ACT TANGA, AVUNA...

Baadhi ya wana CCM na wananchi wakiwa wamefurika katika Viwanja wa Jitegemee Mjini Muheza ambapo mgombea mwenza nafasi ya urais CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alifanya mkutano wa kampeni jana. Baadhi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYALANDU AZINDUA KAMPENI KATA YA MTINKO

 WAZIRI wa Maliasili na Utalii na mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu,  akiingia kuzindua rasmi kampeni zake katika Uwanja wa Mtinko huku akisindikizwa na msafara mkubwa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI ALIVYOUNGURUMA MJINI BUKOBA

 Mgombea Urais wa wa Jamhuri ya Muunganano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Bukoba mjini kwenye kutano wa hadhara wa kampeni uliofamyika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UN NA SERIKALI YA TANZANIA KUENDELEA KUDUMISHA AMANI ILIYOPO NCHINI

Mgeni rasmi Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Zulmira Rodrigues (wa pili kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM NDIO CHAMA KINACHOPENDWA ZAIDI NA WANANCHI

TAKWIMU zinaonyesha kwamba wananchi hawaelewi nafasi rasmi ya Ukawa22 Septemba, Dar es Salaam: Asilimia 62 ya wananchi wanasema kwamba wanajisikia wapo karibu zaidi na chama cha CCM kuliko vyama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI AWAKUNA WANANCHI WA KARAGWE, AONESHA UBORA WAKE JUKWAANI JUKWAANI

Kuonyesha kwamba yuko fiti ana anastahili kupewa ridhaa ya kuiongoza Tanzania katika awamu ya kipindi cha tano,Dkt John Pombe Magufuli aliwashangaza wananchi wa mji huo kwa kupiga push up zaidi ya tano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BI. SAMIA SULUHU AMNADI DK. MAGUFULI WILAYA ZA KORONGWE NA LUSHOTO

Sehemu ya wanaCCM na wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akinadi ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana mjini Korogwe, Mkoa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI WA MASHARIKI YA KATI AZUNGUMZA NA BALOZI WA UAE NCHINI

Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Balozi Abdallah Kilima (kulia) akimsikiliza Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Abdulla Ibrahim Ghanim Alsuwaidi (kushoto) alipokuja kujitambulisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAWAKE WALIOPONA FISTULA CCBRT WAAMUA KUJIAJIRI

 Mratibu wa Kituo cha Mabinti centre cha mikocheni jijini Dar es Salaam Bi. Katia Geurts(kulia) akimwelezea jambo Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa  Vodacom Tanzania,Rosalynn...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFUMO MPYA WA USAJILI NA UHIFADHI WA TAKWIMU ZA MATUKIO MUHIMU YA BINADAMU...

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Maimuna Tarishi akitoa hatuba ya ufunguzi rasmi wa kikao cha wadau wa Usajili na Utunzanji wa Takwimu za Matukio Muhimu ya Binadamu nchini kilichofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YAZINDUA KIFURUSHI CHA “YATOSHA NYTS” BILA KIKOMO

 Afisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde (kulia) na Afisa Uhusiano naMatukio wa Airtel, Dangio Kaniki wakionyesha bango kwa waandishi wahabari jijini Dar es Salaam jana kama ishara ya kuzindua huduma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMBEA URAIS WA UKAWA EDWARD LOWASSA AENDELEA NA KAMPENI ZAKE MKOANI LINDI

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Lindi Mjini kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF kupitia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHAMA CHA ACT WAZALENDO WAKUBALI MATOKEO YA UTAFITI WA TWAWEZA

 Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi na Kampeni Taifa wa chama cha ACT Wazalendo, Nixon Tugara akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya matokeo ya  utafiti wa Twaweza na nafasi ya Mgombea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI APIGWA NA BUTWAA NYOMI LA GEITA, AAHIDI KUSHUGHULIKIA MATATIZO YA...

 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania   kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi katika mkutano wake wa kampeni  uliofanyika katika uwanja wa shule ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SWALA YA IDD EL HAJI ILIVYOFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR...

 Sheikh Abdu Kadri akiongoza swala ya Idd El Haji katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke Dar es Salaam leo asubuhi. Waislam wa Tanzania leo waliungana na wenzao duniani kote kusherehekea Sikukuu ya Idd...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SWALA YA EID EL HAJJ KITAIFA YAFANYIKA MKOKOTONI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Uwanja vya Mpira Mkokotoni Wilaya ya kaskazini A,palipofanyika Swala ya EID...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA KAMPENI YA MGOMBEA URAIS WA CCM DKT MAGUFULI YASHEREHEKEA SIKUKUU...

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania na Mjumbe wa Kamati  Kuu ya CCM,Ndugu Abdallah Bulembo ambaye pia ni Kiongozi wa msafara wa kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania kupitia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABA MTAKATIFU FRANSIC ZIARANI MAREKANI

Baba Mtakatifu Papa Francis akiwa katika mapokezi chini ya  Rais Obama na familia yakeKwa kawaida marais wa Marekani huwapokea wageni rasmi Ikulu ya nchi hiyo, lakini alipowasili kwenye uwanja wa ndege...

View Article
Browsing all 6822 articles
Browse latest View live