MKUTANO WA KAMPENI YA MGOMBEA WA URAIS CCM DK ALI MOHAMED SHEIN,JIMBO LA...
Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia CCM Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai alipowasili katika...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFANYA MAUNGUMZO NA BAADHI YA MABALOZI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Mhe. Jasem Najem wakati Balozi huyo alipomtembelea Makamu wa Rais...
View ArticleMANJI AIBUKA KIDEDEA TUZO ZA VIONGOZI WA BIASHARA AFRIKA
Mwenyekiti wa Makampuni ya Quality Group Limited, Yusuph Manji.……………………………………………………..NA MWANDISHI WETUMWENYEKITI wa Makampuni ya Quality Group Limited, Yusuph Manjiamenyakua tuzo ya kielelezo cha...
View ArticleKATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AZINDUA HUDUMA ZA “DUTY FREE...
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mbarak Abdulwakil (wa pili kushoto) , akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Huduma za Magereza Duty free shop Mkoani Arusha Septemba 18, 2015...
View ArticleWAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AENDELEA KUPOKEA MISAADA YA VIFAA MBALIMBALI...
Mwakilishi wa Kampuni ya HUAWEI nchini Tanzania Bw. Jimmy Liguo Jin (kushoto) akimkabidhi Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda sehemu ya msaada wa kompyuta mpakato zilizotolewa na kampuni hiyo kusaidia...
View ArticleDK MAGUFULI ATINGA KIJIJINI KWAKE CHATO , AZURU KABURI LA ALIYEKUWA MWALIMU...
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi kwa wananchi huku akishangiliwa aliposimama kusalimia katika Mji wa Nyakanazi, wilayani Biharamulo, Mkoa wa Kagera . PICHA ZOTE NA...
View ArticleWATAKAO HUJUMU MIUNDOMBINU YA DART KULIPA FAINI YA LAKI TATU.
Mkurugenzi wa Mifumo Junn Mlingi kutoka Taasisi ya Mabasi yaendayo Haraka (Dar es Salaam Rapid Transport) akitoa ufafanuzi wa maendeleo ya ujenzi wa mradi huo kwa wafanyakazi wa Wakala wa Barabara...
View ArticleMKUTANO WA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA KONDE KASKAZINI PEMBA
Naibu katibu Mkuu wa CCM ZanzibarVuai Ali Vuai akizungumza na wanaCCM na Wananchi wa Jimbo la Konde Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo katika Mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu...
View ArticleKONGAMANO LA WAJASIRIAMALI WANAWAKE NCHINI -LAFANA
Meneja wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bi. Mwanjaa Sembe (katikati) akimfafanulia jambo Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi katika Kongamano la...
View ArticleMGOMBEA UDIWANI KATA YA MBAGALA KUU (CCM) YUSUF MANJI AZINDUA KAMPENI ZAKE...
Kiongozi wa Kamati ya Ushindi kwa CCM kutoka Kigoma, Nicholaus Zacharia (kulia), akimtambulisha Yusuf Manji katika uzinduzi huo. Mgombea nafasi ya udiwani Kata ya Mbagala Kuu kupitia Chama Cha...
View ArticleLOWASSA APOKELEWA KWA KISHINDO MJINI BUKOBA LEO
Umati wa Wananchi wa Mji wa Bukoba ukiwa umefurika kwenye Uwanja wa Aghakhan kuhudhulia Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),...
View ArticleDR.JOHN POMBE MAGUFULI: SITAKUA DIKTETA NITAFUATA UTAWALA WA SHERIA...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wake wa kampeni kwenye uwanja wa Chato wialayani Chato mkoani Geita ambapo...
View ArticlePRESIDENT KIKWETE BRIEFS MEMEBER STATES IN NEW YORK
The Chairman of the UN High level panel on Global Response to Health Crises President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete briefs delegates of member states during a consultative session in New York over the...
View ArticleMAKAMU WA MHE. DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL AHUDHURIA KUWEKWA WAKFU ASKOFU...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Abass Kandoro wakati alipowasili kwenye Uwanja wa ndege wa Songwe mkoani...
View ArticleHOME GYM MWENGE YASHEREHEKEA MIAKA 17 TANGU KUANZISHWA
Washiriki wa Jogging iliyoandaliwa na kituo cha mazoezi ya viungo cha Home Gym Mwenge jijini Dar es Salaam kilichopo chini ya Andrew Mangomango (kulia) kwa lengo la kuhamasisha umuhimu wa mazoezi kwa...
View ArticleSWAHILI FEST COMMUNITY PICNIC YAFANA DMV
Mshereheshaji Tuma akielekeza jambo kwenye tamasha la Swhili Fest lililofanyika siku ya Jumapili Septemba 20, 2015 Bladensburg, Water Front iliyopo jimbo la Maryland nchini Marekani. Picha na Vijimambo...
View ArticleSELCOM YALETA MFUMO MPYA NA WA KISASA WA MALIPO YA TIKETI ZA TAMASHA LA...
Kwa mara ya kwanza nchini Tanzania wahudhuriaji wa tamasha la ‘KiliFest’ wataweza kutumia Selcom Card kupata tiketi za tamasha hilo lililoandaliwa na kampuni ya Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambalo...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA NYUMBA KAIRUKI ATEMBELEA GEREJI TEGETA
. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angela Kairuki akizuru eneo la Magereji Tegeta.Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angela Kairuki atembelea eneo...
View ArticleAIRTEL FURSA YAWAWEZESHA WAFUGA NYUKI WA MBEYA
Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (katikati), akiwakabidhi wawakilishi wa kikundi cha MIRANACO mjini Mbeya vifaa mbalimbali vitakavyowasaidia katika biashara yao ya ufugaji wa...
View Article