Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAZINDUA RASMI MAUZO YA NYUMBA ZA MAKAZI SHANGANI,...

Kaimu Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa, Tuntufye Mwambusi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa mauzo ya nyumba za makazi za Shangani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AMOS MAKALLA AAGA RASMI WIZARA YA MAJI

Mhe. Amos Makalla akisalimiana na watumishi wa Wizara ya Maji waliompokea mara baada ya kuwasili Wizarani, pamoja na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu, Gideon Manambo.Mhe. Amos Makalla...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AKAGUA MAENDELEO YA KITUO CHA MICHEZO KWA VIJANA CHA KIDONGO...

Kituo cha Michezo kwa vija na cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam kinavyoonekana kutoka angani.Rais Jakaya Mrisho kikwete akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya umeme ya Symbion Bw. Paul...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE FUNGUA TERMINAL YA MBOLEA YA KAMPUNI YA YARA KURASINI JIJINI DAR...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi terminal ya mbole ya kampuni ya Norwaya ya YARA Kurasini jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015.   Kulia ni  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA TATHIMINI YA KAMPENI ZA UCHAGUZI KWA WAGOMBEA KWA TIKETI YA CCM

MWENENDO WA KAMPENI ZA CCMHadi jana, tarehe 16 September 2015, Mgombea Urais wa CCM, Dr. John Pombe Magufuli, alikuwa amekwishafanya kampeni katika mikoa 12 na Majimbo 94. Amekwishafanya mikutano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AZINDUA MAJENGO PACHA YA GHOROFA 35 YA PSPF TOWERS MTAA WA...

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu alipowasili kuzindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TATIZO LA UHABA WA MAJI WILAYANI MKURANGA KUWA HISTORIA.

Mwakilishi wa Kampuni ya Uchimbaji wa Visima ya ZENTAS kutoka Uturuki nchini Tanzania Dkt, Mohammed Akbar Akitoa taarifa za kukamilika kwa kazi ya uchimbaji wa kisima chenye urefu wa mita 541 eneo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA WA MAMA TUNU PINDA AZIKWA RASMI LEO DAR ES SALAAM

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete  akimfariji Mke wa Waziri Mkuu, mama Tunu Pinda (kuhosto) ambaye alifiwa na Mama yake , Hajjat Pili Mlolwa Rehani, nyumbani wa marehemu, Tanata Magengeni jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA WAANDISHI WA HABARI KIWANDA CHA TBL, WAFANYABIASHARA NCHINI WAPEWA WITO

 Meneja wa Kiwanda cha bia cha TBL Mbeya, Waziri Jemedari, akitoa maelezo kwa waandishi wa habari waliofanya ziara ya mashindano ya kuonja bia hivi karibuni(hawapo pichani)  Meneja mawasiliano wa  TBL...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA AENDELEA NA ZIARA ZAKE ZA KAMPENI, BARIADI MKOANI SIMIYU

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwapungia mkono wananchi wa Mji wa Bariadi (hawapo pichani) wakati alipowasili kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA – ZIARA ZA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE NJE YA NCHI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFATAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARISafari za Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete Nje ya Nchi…….Wizara imesikitishwa na taarifa za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANGAZO LA KIFO CHA MARGARETH MWAISAGA

Mpigapicha Mkuu wa Kampuni ya Tanzania Standard Newsapapers (TSN) Limited, wachapishaji wa magazeti ya Dailynews, Sundaynews, Habarileo, Habarileo Jumapili na Spotileo, Mohamed Mambo anasikitika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WENGI WAJITOKEZA UZINDUZI WA AWAMU YA PILI KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA DHIDI...

 Ofisa Mtendaji Kata ya Temeke, Elias Wawa akizungumza katika uzinduzi wa awamu ya pili kupinga ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake masokoni uliofanyika soko la Temeke Sterio Dar es Salaam jana....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.JOHN POMBE MAGUFULI AAHIDI KUDUMISHA UHUSIANO WA KIDIPLOMASIA

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa mjini Kibondo kwenye uwanja wa Taifa  katika mkutano wa kampeni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIAMA CHA MAJANGILI CHAJA, BATHAWK YAZINDUA NDEGE MAALUM KUPAMBANA NAO

Ndege aina ya Super Bat DA-50…………………………..Na Daniel Mbega, MkomaziNI majira ya saa tatu asubuhi Jumatano, Septemba 16, 2015 wakati tunawasili kwenye uwanjamdogo wa ndege (air strip) katika eneo la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.ALI MOHAMED SHEIN KATIKA JIMBO LA MKANYAGENI LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akizungumza na wanachama wa CCM na wananchi katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA KAMPENI ZA MGOMBEA MWENZA WA UKAWA BUSANDA GEITA

 Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Busanda mkoani Geita.Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiwasili katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYUMBA ZA NHC MWONGOZO BEACH HOUSING ESTATES ZINAVYOONEKANA KWA SASA

Baadhi ya nyumba za mradi wa Shirika la Nyumba la Taifa Mwongozo Beach Housing Estates ambao ni mradi wenye nyumba 216, zinavyoonekana kwa sasa.Hizi ni nyumba za ghorofa za Mwongozo Beach Housing...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NCHI ZA AFRIKA ZIMEASWA KUIMARISHA MAWASILIANO KATIKA UTOAJI WA TAARIFA...

Muwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchi Kenya Dkt. Custodia Mandlhate akuitoa hotuba ya ufungua wa semina ya inayohusu namna ya kuimarisha mawasiliano na utoaji wa taarifa sahihi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MO DEWJI ANYAKUA TUZO YA MWAKA YA MFANYABIASHARA ANAYESAIDIA ZAIDI JAMII

 Mkurugenzi Mtendaji wa CNBC Africa, Roberta Naicker akimkabidhi tuzo ya ‘2015 Philanthropist of the year-East Africa’ Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji katika sherehe...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live