Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU BW. FROLENCE TURUKA AITEMBELEA NEC KUONA...

Naibu Katibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkuu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Dk. Sisti Chriati akimpatia maelezo Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Frolence Turuka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SAMIA, NAPE NA MAMA SALMA KIKWETE WAITIKISA LINDI MKUTANO WA KAMPENI

 Aliyekuwa Katibu wa wilaya ya Lindi mjini wa Chadema, Abdalla Madebe ambaye alikuwa ndiye mpigadebe mkubwa wa Mbunge anayemaliza muda wake wa Lindi mjini, maarufu kwa jina la Bwege, akibebwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DR. JOHN POMBE MAGUFULI:NITAUNDA BARAZA LA MAWAZIRI WAADILIFU, WAKWELI NA...

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dr. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika mjini Igunga jana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.ALI MOHAMED SHEIN AZINDUA KAMPENI ZA CCM KIBANDAMAITI UNGUJA

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akionesha ilani ya Chama cha mapinduzi kwa  wanachama wa CCM na wananchi wa Zanzibar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GHARIKA YA WATU YASHUHUDIA UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CCM ZA KUGOMBEA URAIS...

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja kwa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMBEA WA UKAWA MAULID MTULIA AZINDUA KAMPENI YA UBUNGE JIMBONI KINONDONI!

Mgombea ubunge wa UKAWA kupitia chama cha CUF Maulid Salum Mtulia akihutubia mamia ya watu waliohudhria uzinduzi wa kampeni za ubunge jimbo la Kinondoni jana jioni.Vyama vinavyounda Umoja wa katiba ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MH IDDI AZAN AZINDUA KAMPENI YA UBUNGE JIMBO LA KINOINDONI KWA KISHINDO!

Mh Iddi Azan akihutubia umati wa watu uliofurika katika viwanja vya CCM Mwinjuma, Mwananyamala jijini Dar jana jioni.Mh Iddi Azan jana alizindua kampeni ya ubunge wa jimbo la Kinondoni ambapo yeye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA ASIMIKWA KUWA KIONGOZI WA WANYATURU, MKOANI SINGIDA

Mmoja wa wazee wa Kimila wa Kabila la Wanyaturu, Mzee Semani Nyambia akimvisha Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, vazi la kimila...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI AZINDUA MPANGO KABAMBE WA MJI...

  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (Mb), akihutubia wananchi wa Kigamboni katika Uzinduzi wa Mpango Kabambe wa Mji Mpya wa Kigamboni Katika Uwanja wa Tangamano - Mnadani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI AFANYA MKUTANO WA KAMPENI BUKENE,NZEGA JIONI KUUNGURUMA TABORA MJINI

  Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Nzega mapema leo mchana katika uwanja wa Barafu,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni,Dkt Magufuli anatarajia kuunguruma jioni ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI WA DINI NA WASISA WAUNGANA NA JESHI LA POLISI HAPA NCHINI KUJADILI...

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akizungumza katika mkutano wa kujadili Amani  baina ya viongozi wa dini, viongozi wa siasa pamoja na jeshi la Polisi mkutano uliofanyika katika hoteli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFUKO WA VYOMBO VYA HABARI TANZANIA KUADHIMISHA MIAKA NANE YA MAFANIKIO

Monday, September 14, 2015 Maoni: 0 Afisa Mawasiliano wa Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF), Fausta Msokwa akiongea na waandishi wa habari  mapema leo asubuhi jijini Dar es Salaam juu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ILANI - CCM PARTY MANIFESTO

BONYEZA HAPA KUSOMA ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)      CHAMA CHA MAPINDUZISanduku La Posta: 50047Dar Es Salaam, TanzaniaYou received this email as part of our network.Click here to UNSUBSCRIBE

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ABDULRAHMAN KINANA: DR JOHN POMBE MAGUFULI NI SULUHISHO LA MATATIZO YA...

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dr. John Pombe Magufuli akiingia kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora tayari kwa kuhutubia mkutano wa kampeni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMBEA MWENZA CCM APUKUTISHA UPINZANI LINDI, 61 WAJIUNGA CCM, WAMO VIONGOZI

Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Mnazi Mmoja nje kidogo ya mji wa Lindi Mjini kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi, Bi. Samia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WA KIJIJI CHA KISUMBA MKOA WA RUKWA WAZUIA MSAFARA WA MGOMBEA MWENZA...

 Gari la mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji likilazimika kugeuza na kurudi katika eneo walilokusanyika wananchi waliokuwa na kiu ya kutaka ahutubie mkutano wa kampeni katika kijiji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AZINDUA MIRADI YA NYUMBA ZA NHC MKOANI KIGOMA

Jengo la Biashara wa Lumumba Complex ambalo ni miongoni mwa majengo machache marefu mkoani Kigoma linavyoonekana kwa mbali mjini Kigoma jana.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe wakati wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA AENDELEA NA ZIARA YA KAMPENI MKOANI SHINYANGA, AAHIDI KUUNDA SERIKALI...

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiongozana na aliekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Ndg. Hamis Mngeja wakiwapungia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SAMIA MTAMA NA RUANGWA

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jana, Septemba 15, katika eneola Nyangao, jimbola Mtama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAAJIRIWA NA WAAJIRI KUNUFAIKA NA MTANDAO WA EVERJOBS TANZANIA

Dira ya Everjobs Dira ya Everjobs ni kurahisisha utafutaji wa kazi na mchakato wa kuajiri kwa kuunganisha wanaotafuta kazi na waajiri kwa haraka sana. Tovuti hii inatoa mwongozo rahisi na unaoeleweka...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live