Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOTO WATATU WAFUTWA MACHOZI NA BIMA YA ELIMU YA BAYPORT BIHARAMULO

Na Mwandishi Wetu, KageraTAASISI ya kifedha ya Bayport Financial Services inayojihusisha na mambo ya mikopo, jana imewakabidhi hundi ya Sh Milioni tatu watoto watatu wilayani Biharamulo, mkoani Kagera,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAAHIDI KUZIDI KUPIGA JEKI WAFANYAKAZI WA AFYA YA JAMII KUBORESHA...

Mkurugenzi Mtendaji (idara ya uzazi na afya ya mtoto) katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Bi Georgina Msemo akizungumza na wadau wa sekta ya Afya ya Jamii (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SADC-PF TO OBSERVE GENERAL ELECTIONS IN TANZANIA

 Clerk of the National Assembly of Tanzania Dr. Thomas Kashilillah shares experience with the delegation of the leaders of the Southern Africa Development Community –Parliamentary Forum (SADC-PF) when...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MULTICHOICE AFRICA KICKS OFF THE BIGGEST CONTENT SHOWCASE IN AFRICA

 MC's during the official opening of MultiChoice Africa Content Showcase Extravaganza, IK (right) and Eku at the Outrigger Beach Resort in Mauritius.(Photos by MultiChoice and Zainul Mzige of...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO YA WAWAKILISHI WA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Kamati ya Kudumu ya  Umoja wa Afrika( AU) wakati alipokuwa akiwasili kwenye Hoteli...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAALIM SEIF AREJESHA FOMU

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akikabidhi fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Bw. Jesha Salim Jecha huko hoteli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA NA VIETNAM WASHEREHEKEA MIAKA 50 YA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Mhe. Mizengo Pinda akizungumza katika hafla ya maadhimisho ya Miaka 50 ya Mahusiano ya Kidiplomasia kati ya Tanzania na Vietnam. Katika hotuba yake Mhe....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIASPORA YA MONTGOMERY COUNTY YAMUAGA BALOZI AMINA SALUM ALI

 Bwn. Daniel Korona akisherehesha hafla futi ya kumuaga Balozi wa Umoja wa Afrika aliyemaliza muda wake Mhe. Amina Salum Ali iliyoandaliwa na Jumuiya ya Diaspora kutoka Afrika wanaoishi Montgomery...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI OMBENI SEFUE AMEWATAKA WAHANDISI KUWA WAADILIFU

 Baadhi ya Wahandisi wahitimu kutoka katika vyuo na taasisi mbalimbali wakiapa kiapo cha utii kwa Taaluma yao mbele ya Kamishna wa Viapo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wahandisi yanayoendelea jijini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA JUMUIYA YA WAZAZI YA CCM

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa jumuiya ya Wazazi ya CCM Bwana Abdallah Majura Bulembo wakiikingia katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam Septemba 3,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AKUTANA NA SPIKA NA NAIBU SPIKA WA BUNGE LA BURUNDI IKULU

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na spika wa Bunge la Burundi Mhe.Paschal Nyabenda(kushoto) na Naibu Spika wa Bunge la Burundi Mhe.Agathon Rwasa muda mfupi baada kufanya mazungumzo ikulu jijini Dar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA, MBOWE WAANZA KUPASUA ANGA KWA CHOPA, MPANDA "KWAFURIKA" , WAELEKEA...

Kwa mara ya kwanza tangu mgombea wa kiti cha rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia CHADEMA, akiwakilisha vyama vya UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akifuatana na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DR SLAA ASHINDWA KUMTAJA ALIYEMLIPIA GHARAMA ZA MKUTANO WAKE, SOMA HAPA...

Akihojiwa ni kituo cha kituo cha Azam Two na Tido Mhando Dr. W. P. Slaa alipotakiwa kujibu ni nani aliyegharimia gharama za matangazo yake pale Serena hotel, Slaa alisema kwa nini Soma Zaidi

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MFUMO WA TAKWIMU HURIA BARANI...

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na washiriki (hawapo pichani) wa Mkutano wa Kimataifa wa Mfumo wa Takwimu Huria Barani Afrika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KWENYE UZINDUZI WA KAMPENI LINDI MJINI.

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi, (CCM) wa Wilaya ya Lindi na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongozana na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Lindi Mjini Ndugu Hassan Suleiman Kaunje...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA JUMUIYA YA WAZAZI YA CCM

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. John Pombe Magufuli akiingia kwenye Ukumbi wa Karemjee kuzungumza na Wajumbe wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi CCM.Mgombea wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA KUWAIT NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE, JIJINI DAR...

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini,  Jasem Ibrahim Al-Najem  kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Kuwait  na Tanzania....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SAMIA KATIKA JIMBO LA KIBAMBA LEO

Wananchi wakimshangilia mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Mbezi Centre,  jimbo la Kibamba wilaya ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASA KWENYE MKUTANO WA KIGOMA LEO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE APOKEA UJUMBE KUTOKA KWA RAIS WA MSUMBIJI FILIPE NYUSI

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akipokea barua kutoka kwa Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi iliyowasilishwa kwake na Mjumbe maalum Mhe.Eliseu Joachim Machava ambaye pia ni katibu Mkuu wa Chama...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live