RAIS KIKWETE AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS KABILA WA DRC DAR ES SALAAM
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana, kufanya mazungumzo ya faragha na kisha kuagana na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC wakati Rais huyo aliposimama kwa muda katika...
View ArticleMGOMBEA MWENZA WA UKAWA JUMA DUNI HAJI AFANYA KAMPENI MIKOA YA KUSINI
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwaamembeba motto, Mohamed Mchokonole wakati akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mpilipili mkoani Lindi.Kikundi cha...
View ArticleDR. MAGUFULI AWAHUTUBIA WANANCHI WA MASASI
Mgombea wa Urais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji wa Masasi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Bomani mjini Masasi...
View ArticleTUNDU LISSU AZUNGUMZIA KAULI ZA DK SLAA ALIZOZITOA JANA
Akizungumza na kituo cha redio cha Sauti ya Marekani (VOA), Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Antipas Lissu amesema kuwa anashangaa sana maneno aliyoyasema jana kwenye mkutano wake na waandishi wa...
View ArticleMAPOKEZI MAKUBWA YA EDWARD LOWASSA SONGEA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akihutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Songea Mjini,...
View ArticleEAST AFRICAN MANUFACTURING BUSINESS SUMMIT AND EXHIBITION KICKS OFF IN KAMPALA
EAST African Community Secretariat, Kampala, Uganda, 1st September, 2015: The President of the Republic of Uganda, H.E. President Yoweri Kaguta Museveni has said that Africa and many developing...
View ArticleAIRTEL FURSA YAENDELA KUINUA VIJANA HAPA NCHINI
Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (kulia),akimkabidhi kijana Iddy Abdallah Chilumba, msaada wa mashine yakubangulia korosho vikiwemo meza, vifaa mbalimbali na pikipiki mpya,kupitia...
View ArticleLAPF WATOA TAHADHARI KWA WASTAAFU
RPC wa Mkoa wa Dodoma SACP. David A. Misime akiongea na waandishi wa Habari leo akitoa tahadhari juu ya matapeli wanaowadanganya na kuwatapeli wastaafu. LAPF kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa...
View ArticleWAOMBAJI MIKOPO WAISHUKURU HESLB KUWAPA FURSA KUREKEBISHA TAARIFA ZAO
Afisa wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bw. Ezra Ndangoya akimwelekeza sehemu ya kuweka sahihi Bw. Sironga Lowassa (kulia) ambaye ni mwombaji wa mkopo kwa mwaka wa masomo...
View ArticleWATUMISHI WA UMMA WA MKOA WA MBEYA NA NYANDA ZA JUU KUSINI WATAKIWA...
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma,HAB Mkwizu, akizungumza wakati wa mahafali ya 22 ya Chuo cha Utumishi Tanzania (TPSC) na ya kwanza kwa tawi la Mbeya hivi karibuni Jijini...
View ArticleMAMA SALMA KIKWETE ASHIRIKI KWENYE MAZISHI YA MDHAMINI WA TAASISI YA WAMA...
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete akipokewa na Mama Zakhia Meghji, Makamu Mwenyekiti wa WAMA wakati alipowasili nyumbani kwa Marehemu Mama Hulda...
View ArticleRAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA BIASHARA TANZANIA (TNBC) IKULU...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation Dkt. Reginald Mengi muda mfupi kabla ya kufungua na kuendesha mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania...
View ArticleMAZISHI YA KIONGOZI WA KIKOSI CHA WATAALAM WA KICHINA KATIKA MPANGO WA...
Mke wa marehemu Eng. QI XINwa pili kutoka kulia akitoa heshima zake za mwisho katika mazishi ya mume wake ambaye alikuwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa kichina katika mpango wa Ushirikiano katika...
View ArticleMKUTANO WA KAMPENI ZA MH. LOWASSA, SUMBAWAGA MKOANI RUKWA
Sehemu ya Wananchi wa Mji wa Sumbawanga, waliofika kwenye Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga Mkoani Rukwa, wakiishangilia Ndege iliyombeba Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa...
View ArticleVIONGOZI WA KIDINI KUTOKA NCHI 17 ZA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA WAKUTANA...
Bi. Vanessa Anyoti kutoka YWCA Tanzania (kushoto) akizungumza kuhusiana masuala ya kijinsia pamoja na maendeleo ambayo yanaweza kupunguza maabukuzi ya virusi vya UKIMWI. Kulia niMkurugenzi Mkazi wa...
View ArticleDR. SHEIN AZINDUA MNARA WA KUMBUKUMBU ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakipata maelezo kutoka kwa Mshauri wa Ujenzi wa Kampuni ya Habconsult Bw. Habid...
View ArticleMAFURIKO YA MAMA SAMIA SULUHU YAWAVUNA VIGOGO CHADEMA DODOMA
Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang’ombe mjini Dodoma.Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika...
View ArticleUKAWA KUWANUFAISHA WAKULIMA WA KOROSHO NA UFUTA MIKOA YA KUSINI
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwasili katika jimbo la Mtama katika mkutano wa kampeni uliofanyika mkoani Lindi ambapo katika hoyuba yake aliwaambia wananchi wa mkoa wa Lindi...
View ArticleMAGUFULI AFUNGA KAZI MKOANI MTWARA,AHIDI KUSHUSHA BEI YA VIFAA VYA UJENZI
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli,akiwahutubia wananchi wa mji wa Mtwara waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza kwenye mkutano wa...
View ArticleVYOMBO VYA HABARI VYATAKIWA KUCHOCHEA MAENDELEO ENDELEVU ILI KUFIKIA...
Afisa wa Takwimu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS),Emilian Karugendo akizungumza na waandishi habari katika warsha ya kuelekea malengo 17 ya Maendeleo Endelevu iliyofanyika jana jijini Dar es...
View Article