CCM JIMBO LA KAWE YAZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU YAMNADI KIPPI WARIOBA
Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama ChaMapinduzi (CCM), Kippi Warioba (katikati mbele), akisindikizwa na wanachama wa chama hicho, alipowasili katika viwanja vya Shule ya Msingi Boko Kata...
View ArticleJESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA LAANDAA SHEREHE ZA KUMUAGA AMIRI...
JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIAKURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANOSimu ya Upepo : “N G O M E” Makao Makuu ya Jeshi,Simu ya Mdomo : DSM 22150463 Sanduku la Posta 9203,Telex...
View ArticleRC ARUSHA AVIOMBA VYOMBO VYA HABARI KUSAIDIA UCHAGUZI MKUU KUWA WA AMANI
Na Woinde Shizza,Arusha Mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda, amevitaka vyombo vya habari nchini kusaidia uchaguzi mkuu mwaka huu umalizike kwa amani na utulivu ili Tanzania iendelee kuwa na sifa ya...
View ArticleRAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA NATIONAL DEFENCE HEADQUARTERS
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua kitambaa wakati wa uwekaji jiwe la msingi la Ujenzi wa National Defence Headquarters huko Lugalo jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Mkuu wa...
View ArticleTASWA DAR HOI TAMASHA LA WAANDISHI JIJINI ARUSHA
kikosi cha timu ya mchezo wa mpira wa pete ya Taswa Dar mara baada ya mechi kuisha.Siku moja kabla ya bonanza waandishi wa habari wa mkoa wa Arusha walipata fursa ya kutembelea kiwanda cha bia ya TBL...
View ArticleRELI YA KATI KUANZA KARABATIWA HIVI KARIBUNI
Waziri wa Uchukuzi Samwel Sitta akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya kuchukua hatua kubwa kuanza kufufua reli ya kati muda wowote, ujenzi wa reli hiyo utaanza ili kuongeza kasi ya...
View ArticleRAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA NATIONAL DEFENCE HEADQUARTERS
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Ulinzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi muda mfupi baada ya kuwasili eneo la Lugalo kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa National Defence Headquarters.Mkuu...
View ArticleJESHI LA POLISI TANZANIA LAWAITA KWENYE USAILI WAHITIMU WA SHAHADA, STASHAHADA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIJESHI LA POLISI TANZANIATANGAZO KWA UMMA.JESHI LA POLISI TANZANIA LINAWAITA KWENYE USAILI WAHITIMU WALIOORODHESHWA WA SHAHADA, STASHAHADA...
View ArticleWATUMIAJI WA MITANDAO VIBAYA SHERIA KUWADHIBITI KUANZA LEO SAA 6:00 USIKU.
Na Magreth Kinabo ………………………………….Sheria mpya ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015 na Sheria ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2015 zitaanza kutumika rasmi kesho Septemba Mosi mwaka huu, hivyo...
View ArticleMAPOKEZI YA EDWARD LOWASSA NJOMBE MJINI
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwasili kwenye viwanja vya Shirika la Nyumba...
View ArticleMGOMBEA MWENZA URAIS CCM AZUNGUMZA NA WANACHAMA UWT DODOMA
Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akizungumza na akinamama wanachama wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) na kuwaomba kushirikiana na kuhakikisha wanashinda...
View ArticleWAGOMBEA 38 NAFASI ZA UBUNGE WALIYOWEKEWA PINGAMIZI KUENDELEA NA KAMPENI.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damiani Lubuva.Na Anitha Jonas – MAELEZO.TUME ya Taifa ya Uchaguzi nchini imefuta rufaa 38 za wagombea nafasi za ubunge kati ya 54 zilizowasilishwa...
View ArticleMAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR MAALIM SEIF ATEMBELEA KIWANJA CHA NDEGE...
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar Bw. Said Ndubugani, akimueleza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, juu ya hatua zinazochukuliwa na mamlaka hiyo...
View ArticleMAKARANI WA MAHAKAMA MKOA WA DAR ES SALAAM WAPEWA MAFUNZO YA UINGIZAJI WA...
Mshiriki wa mafunzo elekezi juu ya uingizaji wa takwimu za mashauri kwa njia ya kielectroniki (Judicial Stastical Dashboard System JSDS) kwa Makarani wa Mahakama Mkoa wa Dar Es Salaam, Bi. Tumaini...
View ArticleWAZIMBABWE WAJIFUNZA TUMBAKU HAPA NCHINI
Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano Kampuni ya Tumbaku Tanzania na Kiwanda cha Kusindika Tumbaku (TTPL), Bw.Richard Sinamtwa (Kulia) akifafanua jambo kwa wadau wa tumbaku kutoka Zimbabwe walipotembelea...
View ArticleRAIS KIKWETE AAGWA NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA LEO
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride rasmi liliandaliwa na vikosi mbalimbali wakati wa sherehe ya kuagewa rasmi na vyombo vya ulinzi na...
View ArticleBALOZI SEFUE KUWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAHANDISI TANZANIA 2015
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Sherehe ya Siku ya Wahandisi Tanzania mwaka 2015 Prof. Bakari Mwinyiwiwa akiongea na waandishi wa habari kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Wahandisi nchini...
View ArticleWAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAENDELEA KUNUFAIKA NA HUDUMA ZA MAWASILIANO
Ofisa Mkuu wa Idara ya Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania, Keith Tukei (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo katika maduka ya Shoppers plaza...
View ArticleDK.SLAA ATANGAZA RASMI KUACHANA NA SIASA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Dk. Wilbroad Slaa akizungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo, baada ya kukaa kimya kingi...
View Article