DK, FAUSTINE NDUGULILE AKIHUTUBIA MKUTANO VIJIBWENI
Mgombea Ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) DK.Faustine Ndugulile akihutubia Mkutano wa kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Mzimu Kata Vijibweni Kigamboni Dar es Sallam...
View ArticleMAGUFULI AMJULIA HALI NA KUMPA POLE MEYA WA JIJI LA MBEYA MH ATHANAS KAPINGA...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Ndugu John Pombe Magufuli akimjulia hali na kumpa pole aliyekuwa Meya wa jiji la Mbeya Mh.AthanasKapunga aliyepata...
View ArticleMABALOZI IRENE MKWAMA WAZUNGUMZA NA RAIS WA ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uholanzi Irene Florence Mkwama alipofika Ikulu Mjini...
View ArticleBANK OF AFRIKA TANZANIA YAKUSANYA ZAIDI YA MILIONI 210 KUSAIDIA MATIBABU YA...
Mkurugenzi Mkuu wa Bank of Africa nchini Bw. Ammishadai Owusu-Amoah akimkabidhi Ofisa Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCBRT mfano wa hundi wenye ya dola za kimarekani 100,000 kwa ajili ya matibabu ya...
View ArticleMAGUFULI AZIDI KUCHANJA MBUGA,AWATAKA WANANCHI WAWEKE IMANI KUBWA KWAKE NA...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Njombe mjini katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika jioni...
View ArticleUKAWA WAZINDUA KAMPENI ZAO JANGWANI DAR ES SALAAM
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mgombea mwenza, Mh. Juma Duni Haji wakiwasili...
View ArticleDR. JOHN POMBE MAGUFULI:NITAUNDA MAHAKAMA MAALUM YA KUSHUGHULIKIA KESI ZA...
Mgombea Urais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania Kupitia Chama Chama Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mji wa Njombe katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika kwenye...
View ArticleCCM KUONDOA KODI ZA HOVYO, YAJA NA ELIMU BURE HADI IV
Mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu (hayupo pichani) akinadi ilani ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba.Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa...
View ArticleKIKAO CHA KAMATI MAALUM CCM ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa CCM wakati alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM...
View ArticleCHAMA CHA ACT-WAZALENDO CHAZINDUA KAMPENI ZAKE VIWANJA VYA MBAGALA ZAKHEM DAR...
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Mghwira (kushoto), akihutubia katika uzinduzi wa kampeni ya chama hizo uliofanyika viwanja vya Zakhem Mbagala jijini Dar es Salaam...
View ArticlePSPF WATOA ZAWADI KWA WASHINDI WA LIGI YA MADEREVA WA BODABODA WA KIPUNGUNI...
Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Ismail Juma(kushoto) akikabidhi jezi kwa kapteni wa timu ya G Unity Fc kwa ajili ya mchezo wa fainali uliofanyika katika kiwanja cha Kipunguni B katika kata...
View ArticleLOWASSA AUNGURUMA MKOANI IRINGA
Sehemu ya Wafuachi wa CHADEMA na Vyama vinge vinavyounda UKAWA wakiupokea msafara wa Mgombe Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na...
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA KAMPENI YA MAMA ONGEA NA MWANAO
Wasanii wa Filamu nchini Wema Sepetu na Steven Nyerere wakimkaribisha Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika Hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar es Salaam kuzindua Kampeni ya...
View ArticleUN YAFANYA USAFI SOKO LA TEMEKE STEREO KUADHIMISHA MIAKA 70
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya...
View ArticleWATEJA WA AIRTEL WAZAWADIWA MILIONI 25 KUPITIA PROMOSHENI YA JIONGEZE NA MSHIKO
Meneja Mauzo wa Airtel Kagera , Mohamed Kabeke (kushoto) akimkabithipesa taslimu bwana Mwahamadi Katula (24) mfanyabiashara na mkazi wamkoa wa Kagera , mara baada ya kuibuka mshindi wa shilingi...
View ArticleSTARTIMES YAZINDUA KIPINDI CHA TELEVISHENI MASHARIKI MAX
Makamu Rais wa kampuni ya StarTimes, Bw. Michael Dearham (kushoto) akisalimiana na Jokate Mwegelo (kulia) atakae kuwa mtangazaji wa kipindi cha Mashariki Max kitakacho onyeshwa na StarTimes kupitia...
View ArticleKANYAGA-TWENDE YA MAMA SAMIA YAMALIZIKA SINGIDA NA KUANZA DODOMA
Msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais ka tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akitoka Singida mjini kwenda Dodoma, kupitia Ikungi na Manyoni kufanya mikutano ya kampeni leo.Mgombea Mwenza wa Urais kwa...
View Article