MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA KITUO CHA WALIOADHIRIKA NA...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akipewa maelezo ya ujenzi wa kituo cha kuwarekebisha watu walioathirika kwa matumizi ya dawa za kulevya huko Kidimni Wilaya ya Kati....
View ArticleRAIS AAGANA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI, MABALOZI WA TANZANIA UHOLANZI NA...
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Balozi mpya wa Tanzania nchini Uholanzi Mhe. Irene Florence Mwawa Kasyanju na Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala...
View ArticleBENKI YA CRDB YATOA ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA TUMA PESA NA...
Mshindi wa Promosheni ya ‘Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo’, Editha Emmanuel akionyesha furaha yake baada ya kukabidhiwa zawadi yake ya gari leo.(Picha na Francis Dande)Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa...
View ArticleMKUTANO WA BAWACHA UKAWA MILLENIUM TOWER
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amezungumza na kina mama hao akiwataka kutumia haki yao ya kikatiba kumchagua mgombea wa UKAWA , Edward Ngoyai Lowassa awe rais,...
View ArticleLOWASSA AHUTUBIA BARAZA LA WANAWAKE WA CHADEMA JIJINI DAR
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono baadhi ya Wanawake wanachama wa CHADEMA, waliokuwa...
View ArticleBLOGGERS, EDITORS URGED TO ENSURE PUBLIC MAKES INFORMED CHOICE
Gasirigwa Sengiyumva from MISA Tanzania, giving briefly introduction about the training, asking editors and bloggers there expectation after training and the aim of the Training today.Mr. James Malenga...
View ArticleNHC YATILIANA SAINI YA MAKUBALIANO YA MIKOPO YA NYUMBA NA BENKI NNE ZA HAPA...
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi akizungumza katika hafla ya utiaji saini iliyofanyika Hyatt Regency, The Kilimanjaro Hotel, Dar-es-Salaam leo asubuhi. Leo NHC...
View ArticleMWENYEKITI WA TAASISI YA SEKTA BINAFSI NCHINI (TPSF) DK REGINALD MENGI...
Maonesho ya ya bidhaa za viwandani yatakuwa na manufaa zaidi kwa Tanzania iwapo makampuni Makubwa ya kutoka nje ya nchi yatazalisha bidhaa hizo hapa hapa nchini.Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi...
View ArticleDR JOHN POMBE MAGUFULI AOMBA KURA KYELA NA RUNGWE
  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa jimbo la Kyela kwa  wananchi wa mji Ipinda wilayani Kyela wakati alipofika...
View ArticleALLIANCE, MARSH MABINGWA AIRTEL RISING STARS MWANZA
 Nahodha wa timu ya Alliance Academy Ally Hamisi (kushoto) akikabidhiwakombe na Mwenyekiti wa Soka Mkoa wa Mwanza (MZFA)Bw. Jackson Songora  baada ya kutwaa ubingwa wa U-17 Airtel Rising Stars mkoa wa...
View ArticleMICHUANO YA WAVU YAANZA KURINDIMA ARUSHA
 Picha ikionyesha wachezaji wa timu ya pentagone ya jijini ArushaIliovaa bluu ikiwa inacheza na wachezaji wa timu ya Tanga katikaMICHUANO yamchezo wa wavu klabu Bingwa Taifa inaendelea kutimua vumbi...
View ArticleMAMA SAMIA KATIKA UBORA WAKE KATIKA MAJIMBO YA MONDULI NA LONGIDO MKOANI ARUSHA
 Wananchi wakiwa wamejawa hamasa kwa nyimbo na nderemo wakati Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassam, alipowasili kwenye Uwanja wa mkutano wa kampeni za CCM leo, katika...
View ArticleNEC YAKABIDHI POLISI MAJINA YA WATU 52,078 WALIOJIANDIKISHA ZAIDI YA MARA...
 Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Kailima Ramadhan (kushoto), akimkabidhi Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Benedict Wakulyamba orodha ya majina 52,078 ya watu waliojiandika katika...
View ArticleBALOZI WA MISRI AMUAGA RAIS KIKWETE IKULU
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kuagana na Balozi wa Misri anayemaliza muda wake Mhe.Hossam Moharram Ikulu jijini Dar es Salaam leo.Rais wa Jamhuri ya...
View ArticleHESLB YAWATAKA WAOMBAJI MIKOPO KUREKEBISHA TAARIFA ZAO
Na Mwandishi WetuBODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha ya waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016 ambao fomu za maombi zimegundulika kuwa na upungufu na...
View ArticleEU KUTUMA WAANGALIZI 128 KWAAJILI YA UCHAGUZI MKUU UTAKAOFANYIKA OKTOBA MWAKA...
Katibu Mkuu  wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Mhe. Filiberto Sebregondi, wakibadilishana Hati ya Makubaliano...
View ArticleNSSF YASHIRIKI KWENYE MKUTANO WA MWAKA WA WADAU WA KOROSHO MKOANI LINDI LEO
SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF limeshiriki kwenye mkutano wa Wadau wa Korosho unaofanyika kwenye Hoteli ya Peace Beach Mkoani Lindi,mkutano huo utakaofanyika kwa Siku mbili mfululizo...
View ArticleDR. JOHN POMBE MAGUFULI ATIKISA JIJI LA MBEYA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akiwahutubia maelfu ya wananchi wa mkoa wa Mbeya katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye...
View ArticleRAIS KIKWETE AMJULIA HALI BWANA CHARLES KIZIGHA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mwandishi wa habari Mkongwe wa magazeti ya Serikali ya Daily News na Sunday News Bwana Charles Kizigha nyumbani kwake Mbezi Beach jijini Dar es Salaam jana...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA ALPHA KONARE MJUMBE WA AU SUDAN YA KUSINI
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Mhe.Alpha Oumar Konare ambaye ni msuluhishi wa Umoja wa Afrika(AU) katika mgogoro wa Sudan ya Kusini ikulu jijini Dar es Salaam...
View Article