NYUMBU KUENDELEA KUWAWEZESHA WANANCHI KUJIINUA KIUCHUMI
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la NYUMBU (Tanzania Automative Technology Centre) Brigedia Jenerali Anselim akiongea na waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu miradi mbalimbali iliyotekelezwa na...
View ArticleFAIDA BENKI YA EXIM YAKUA KWA ASILIMIA 69
Afisa Mkuu wa Fedha wa benki ya Exim Tanzania Bw. Selemani Ponda (katikati)akisisitiza jambo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana wakati akitoa taarifa ya mapato ya benki hiyo...
View ArticleVODACOM NA MONEYGRAM WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO WA KUTOA HUDUMA ZA KIFEDHA
Ofisa Mkuu wa Idara ya huduma za biashara za M-Pesa wa Vodacom Tanzania,Jacques Voogt akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa hafla ya Uzinduzi wa makubaliano ya ushirikiano wa kutoa...
View ArticleDR. JOHN POMBE MAGUFULI:WATENDAJI WAZEMBE NA WABADHIRIFU WAJIANDAE KUFUKUZWA...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi wa mjini Sumbawanga mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano mkubwa wa Kampeni...
View ArticleWAANDISHI WA HABARI WA TANZANIA WATEMBELEA ESTONIA
Wandishi wa habari kutoka Tanzania katika picha na mwakilishi wa kampuni ya teknolojia ya mawasiliano ya Nortal muda mfupi baada ya kumtembelea kampani hiyo jijini Tallinn EstoniaMeya wa mji wa...
View ArticleKAMPUNI YA SIMU YA TIGO YAZINDUA KAMPENI YA ‘CHAGUA TIGO PESA, INALIPA
Mkuu wa wa Kitengo cha Huduma za Kifedha wa Tigo, Ruan Swanepoel (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi katika uzinduzi wa kampeni ya ya Chagua Tigo...
View ArticleSERIKALI YASAINI MKATABA WA ZAIDI YA SH. BILIONI 422 KUIMARISHA SEKTA YA AFYA...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) akisaini hati ya makubaliano ya mkopo nafuu kati ya Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia ili kuimarisha sekta ya afya nchini katika...
View ArticleRAIS KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA MTOTO WA JAJI MKUU MJINI TANGA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Jaji Mkuu Mhe.Mohamed Chande Othman kufuatia kifo cha mwanaye Said Mohamed Chande wakati Rais alipokwenda Chumbageni Tanga kuhudhuria mazishi ya marehemu.Jaji...
View ArticleRAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA CHAMA CHA MAJAJI NA MAHAKIMU WA AFRIKA MASHARIKI
Rais Kikwete akifungua Mkutano wa siku tatu wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki unaofanyika katika Hoteli ya Malaika Beach Resort Mwanza.Baadhi ya washiriki wa Mkuano huo.Rais...
View ArticleTAARIFA KWA UMMA
Kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi wa Rais na Wabunge za mwaka 2015 pamoja na Maadili ya Uchaguzi ya mwaka 2015. Kampeni za Uchaguzi huanza siku moja baada ya uteuzi na huisha siku moja kabla ya siku ya...
View ArticleJESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM LAPIGA MARUFUKU WAGOMBEA WA...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIJESHI LA POLISI TANZANIAPRESS RELEASE25/08/2015Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limegundua kwamba kuna baadhi ya wagombea wa...
View ArticleFIRST NATIONAL BANK (FNB) YAFUNGUA TAWI MBEZI BEACH JIJINI DAR
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati) akikata utepe kuzindua rasmi tawi la benki ya First National la Mbezi Beach jana jijini Dar es salaam huku akiambatana na Balozi wa Heshima wa...
View ArticleWASHINDI 35 WAPATIKANA DROO YA PILI YA KAMPENI YA MCHEZA KWAO YA BENKI YA NBC
Meneja Malipo ya Akaunti za Mishahara wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Amos Lyimo (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa droo ya pili ya kampeni ya akaunti za...
View ArticleLAWRENCE MASHA AACHIWA HURU
Masha aliyevaa tisheti jeusi suruali ya jinsi ya rangi ya Bluu akifurahia jambo na wenzake muda mfupi baada ya kupata dhamanaKwa ufupiMasha aliachiwa huru baada ya nyaraka za wadhamini wake wawili...
View ArticleMAGUFULI KATIKA KAMPENI ZAKE MKOANI MBEYA LEO
Nyomi la Watu katika mkutano wa kampeni. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Tunduma waliofurika kwa...
View ArticleDR. JOHN POMBE MAGUFULI:NINASIMAMIA NINACHOKIAMINI, NATAKA TANZANIA YENYE...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli kiwahutubia wananchi wa mji mdogo wa Tunduma wilayani Momba mkoani Mbeya leo katika mkutano wake...
View ArticleMAMA SAMIA ANG’ARA KILIMANJARO NA ARUSHA
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu, akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM, uliofanyika leo katika stendi ya daladala maarufu kwa jina la...
View ArticleMGAMBO MWISHO KUKAMATA WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO – CCM
Baadhi ya wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa tiketi ya CCM akihutubia Jimbo la Arumeru.Baadhi ya wananchi na viongozi wa wafugaji wa kimasai wakifuatili kutanoBaadhi ya wananchi wakimsikiliza...
View ArticleRUVU JKT ILIVYOWAKILISHA WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KUONYESHA...
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakiwasili Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa Kikosi namba 832 Ruvu JKT mkoani Pwani jana kwa ajili ya kujionea shughuli mbalimbali za uzalishaji mali. Kikosi hicho...
View Article