HOYCE TEMU ALAMBA NONDOZZZ YA SHAHADA YA UZAMILI WA MAWASILIANO YA UMMA ST....
Aliyekuwa Miss Tanzania 1999, ambaye pia ni Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania Hoyce Temu akipozi mara baada ya kulamba Nondozzz ya shahada ya Uzamili wa Mawasiliano...
View ArticleRais Kikwete Akutana Kwa Mazungumzo na Rais wa Taasisi ya Kimataifa ya...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais wa Taasisi ya Kimataifa ya Kuhudumia Waathirika wa Dawa za kulevya na UKIMWI iitwayo Medicins Du Monde - Harm Reduction Programe alipofika na ujumbe wake...
View ArticleWAANDISHI WA HABARI ZA MAZINGIRA WAPEWA MWANGA YALIYOJIRI MKUTANO WA...
Afisa Habari kutoka Kitengo cha Habari Umoja wa Mataifa(UNIC), Usia Nkhoma Ledama akizungumza jijini Dar es Salaam na waandishi wa habari katika hoteli ya Holiday Inn juu ya changamoto na mafanikio ya...
View ArticleRais Kikwete amteua Dr. Migiro kuwa Mbunge
Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akipongezwa na Katibu wa NEC-Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye kwa kuteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kuwa Mbunge, jioni mjini...
View ArticleKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (aliyeshika tangi kushoto) akichungulia kina cha tanki, wakati akikagua ujenzi wa mradi wa maji kata ya Iwindi, Mbeya Vijijini, Des 3, 2013, akiwa katika ziara ya...
View ArticleRais Jakaya Kikwete amemteua Bwana Johari Masoud Sururu kuwa Kamishna mpya wa...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete...
View ArticleRAIS DKT. KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA USHIRIKIANO KATI YA AFRIKA NA UFARANSA
Rais Francois Hollande wa Ufaransa akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete jijini Paris kwenye mkutano unaohimiza kukuza ushirikiano wa kiuchumi kati ya Ufaransa na Afrika.Akizungumza katika...
View ArticleAIRTEL YATANGAZA WASHINDI WA DROO YA WIKI YA PILI WA PROMOSHENI YA MIMI BINGWA
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando, (Katikati) akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) baada ya kumtangazi Rashid Jacob Kagomola, mkaazi wa Bukoba mkoani Kagera,...
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU YA KITAIFA YA YA HAKI ZA BINADAMU KUFANYIKA TAREHE 10...
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania Jaji Amir Manento akifafanua jambo kwa waandishi wahabari na baadhi ya wadau wa sekta hiyo (hawapo picha) ofisini kwake leo jijini Dar es...
View Article:Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Visiwani Comoro, Mhe. Chabaka...
Mhe. Dkt. Ikililou Dhoinine, Rais wa Muungano wa Visiwa vya Comoro akisoma Hati za Utambulisho za Mhe. Balozi Chabaka Kilumanga, katika Ikulu ya Beit Salaam, Moroni.Mhe. Dkt. Ikililou Dhoinine wa...
View ArticleHATI ZA MKATABA WA UBIA KUHUSU UCHIMBAJI WA PAMOJA WA MADINI YA TANZANITE...
Mwenyekiti wa Kampuni ya Madini ya TanzaniaOne(kulia )Balozi Ami Mpungwe akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari jana (leo) mjini Dar es salaam wakati wa halfa fupi ya kusaini hati za mkataba wa...
View ArticleKatibu Mkuu wa Chadema Dkt.Wilibrod Slaa Aung'uruma Kahama
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilibrod Slaa akiwahutubia wanachi wa mji wa Kamaha na vitongoji vyake, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kukagua na kuimarisja uhai wa...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt Gharib Bilal na Miaka 50 ya ushirikiano kati mya Tanzania...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye uzinduzi wa Kampeni ya Kuzuia Malaria inayojulikana kama ‘M-Zinduka’ inayoendeshwa kwa pamoja kati...
View ArticleMAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO(UB) PROFESA COSTA MAHALU ANAWATANGAZIA...
Makamu Mkuu wa Chuo KIkuu cha Bagamoyo (UB), Profesa Costa Ricky Mahalu ---- MAKAMU Mkuu wa Chuo KIkuu cha Bagamoyo (UB), Profesa Costa Ricky Mahalu anawatangazia mahafali ya kwanza ya kihistoria ya...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt.Gharib Bilal azindua kampeni ya kupambana na malaria...
Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal akizindua rasmi kampeni ya mZinduka itakayowawezesha wananchi kujiunga na kupokea bure taarifa kuhusu Malaria kupitia simu za mkononi za mtandao wa Vodacom...
View ArticleTaasisi yaTiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) imepanga kutumia zaidi ya...
Meneja Uhusiano wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) Bw. Jumaa Almasi akionesha kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) Picha ya sehemu ya kichwa iliyowekewa kifaa maalum(Mayfield...
View ArticleThe Presidency Republic of South Africa: Our beloved Nelson Rolihlahla...
Nelson Rolihlahla MandelaMy Fellow South Africans, Our beloved Nelson Rolihlahla Mandela, the founding President of our democratic nation has departed. He passed on peacefully in the company of his...
View ArticleWIZARA YA MIFUGO NA UVUVI ZANZIBAR YAFUNGUA KITUO CHA UTABIBU WA MIFUGO...
Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe. Omar Yusuf Mzee akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa kituo cha utabibu na uzalishaji mifugo kiliopo Mangapwani Mkoa Kaskazini `B’ Unguja. Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na...
View ArticleRais Jakaya Kikwete Aomboleza Kifo Cha Mzee Nelson Mandela,Atangaza Siku 3 Za...
Nelson Mandela---- THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSRais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za rambirambi...
View ArticlePRESIDENT JAKAYA KIKWETE PARTICIPATES IN MEETING ON ELEPHANT AND OTHER...
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete together with some heads of States from Africa who participated on the Roundtable meeting on Elephant and other endangered species held in Paris France this...
View Article