Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6824 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZITTO KABWE, DK.KITILA MKUMBO NA SAMSON MWIGAMBA WAVULIWA VYEO VYAO VYOTE...

Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe.Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe, Dk. Kitila Mkumbo na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI KUU CHADEMA YAMTEUA TUNDU LISSU KUWA MWANASHERIA MKUU WA CHAMA

Mhe. Tundu Lissu.Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imemteua Mhe. Tundu Lissu kuwa Mwanasheria Mkuu wa chama hicho. Kamati hiyo ilikaa kikao chake Novemba 20 mpaka 21 katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue Akutana Kwa Mazungumzo na Makamu wa...

 Makamu wa Rais wa Taasisi ya Uongozi ya Jamhuri ya Watu wa China Mh.Hong Yi akimkabidhi nakala ya kitabu chenye nasaha za watu mashuhuri kutoka jamhuri ya watu wa China  Katibu Mkuu Kiongozi Balozi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mama yake mzazi, Zitto Shida Salum ametoa ya moyoni akieleza kuwa...

Baada ya Kamati Kuu ya Chadema kumvua uongozi aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Taifa Zitto Kabwe, mama yake mzazi Shida Salum (pichani) aibuka kueleza jinsi zahama hiyo ilivyokuwa ‘ushindi’ kwa mwanae....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA RASMI YA DR KITILA MKUMBO KWA UMMA KUHUSU KUVULIWA NAFASI ZA MAMLAKA...

 Dk. Kitila Mkumbo akizungumza mbele ya waandishi wa Habari hotel ya serena jijini Dar es Salaam --- Tamko La Dk Kitila MkumboEmail Thiss!

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA RASMI YA ZITTO ZUBERI KABWE (MB) KUHUSU KUVULIWA NAFASI ZA UONGOZI...

   Mbunge wa Kigoma Kaskazini-Chadema Zitto Kabwe-----Taarifa ya Zitto Kabwe Kuhusu Kuvuliwa Nafasi za Uongozi Ndani ya Chama Changu Cha CHADEMAEmail ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook

View Article

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli-CCM Edward Lowassa Aung'uruma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pongezi Kutoka Kwa Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA (Mstaafu) Ananilea Nkya Kwa...

Aliyekua  Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA Ananilea Nkya ----  Vijana  Dr Kitila  na Zitto.Nimesoma matamko yenu mliyoyatoa jana.Nakupongezeni  maana  mmeonyesha kwamba mnatambua ninyi ni binadamu na si...

View Article


VIDEO: SITOKI CHADEMA-ZITTO ZUBERI KABWE

(Video: Zitto Kabwe)

View Article


Chadema kimewaandikia barua za kuwavua rasmi nyadhifa za uongozi Zitto Kabwe...

  Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimesema kimewaandikia barua aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho Zitto Kabwe na Mjumbe wa kamati Kuu, Dk Kitila Mkumbo ambazo wanapaswa kujieleza kwa siku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Minister Membe officiates the Opening of the Consulate of Botswana

Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation officiates the opening of the Consulate of the Republic of Botswana in the United Republic of Tanzania today in...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI DK.NCHIMBI AZINDUA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITATU WA KUBORESHA...

Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Dr. Alberic Kacou akisalimiana na Kamanda wa Kanda Maalum Dsm, Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) Suleiman Kova alipowasili kwenye uzinduzi wa Mpango...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Majengo ya nyumba za makazi za NHC Mchikichini yakiwa hatua za mwisho

Majengo ya nyumba za makazi za NHC Mchikichini yakiwa katika hatua za mwisho za ujenzi, yatakapokamilika yatakaliwa na familia 48, ambapo katika kila nyumba ina vyumba vitatu jiko na choo pamoja na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali yatangaza nafasi mpya za kazi 2,748

Serikali kupitia Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawatangazia watanzania  wenye sifa na uwezo kujaza jumla ya nafasi wazi za kazi 2,748 kwa ajili ya waajiri mbalimbali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Jakaya Kikwete Akagua na Kuzindua Miradi Mkoa Mpya wa Simiyu

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bwana Saguda Kasili mlemavu ambaye pia ni mtendaji wa kijiji cha Ng’wang’wali jana  wakati aliposimama kijijini hapo kuwasalimia wananchi wa eneo hilo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TOVUTI KUU YA SERIKALI YAZINDULIWA RASMI, TAARIFA NA HUDUMA MBALIMBALI SASA...

Waziri Mkuu Mizengo Pinda (katikati) akiwa ameambatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma Celina Kombani wakiwasili katika Ofisi za Wakala ya Serikali Mtandao kupata maelezo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mhe Angela Kairuki afungua mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 30 ya Tume

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Angelah Kairuki akifungua Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 30 ya Tume Mwenyekiti wa Tume Mhe Jaji Aloysius Mujulizi akisoma taarifa yake wakati wa kufungua mkutano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHABIKI MKUBWA WA SOKA, RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE APOKEA KOMBE LA DUNIA!!

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilifunua na kulinyanyua Kombe la Dunia katika uwanja wa michezo Kirumba mjini Mwanza (picha na Freddy Maro)Rais Dkt. Jakaya Kikwete ni shabiki mkubwa mno wa michezo, na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MZEE NA ‘JAHAZI LAKE’ WACHENGUA MASHABIKI DAR LIVE

Shabiki aliyevaa kihasara akinengua jukwaani.Khadija Yusuf akiimba.Mzee Yusuf akinengua na mpiga gitaa wake.…Akiwaimbisha mashabiki.Mashabiki wakiserebuka kivyao.Shabiki akijimwaya.Kijana aliyetuhumiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHEREHESHA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuashiria kuzindua rasmi Mpango Mkakati wa 3 wa Kitaifa wa Kudhibiti Ukimwi (NMSF3), wakati wa sherehe za...

View Article
Browsing all 6824 articles
Browse latest View live