MCHECHU ATOA MADA KONGAMANO LA DIASPORA NA WAJASIRIAMALI LIKIENDELEA KWA SIKU...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu akitoa mada kwenye moja ya mdahalo katika kongamano la Diaspora, Washiriki wa kongamano la Diaspora, lililopo katika siku ya...
View ArticleAIRTEL FURSA YAANDAA SEMINA YA DARAJA LA MAFANIKIO KWA VIJANA MJINI MTWARA
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Fatma Salum Ally akifungua mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’, yaliyofanyika kwenye Ukumbi VETA mjini Mtwara jana. Meneja wa...
View ArticleK.K.K.T WAPATA ASKOFU MKUU MPYA WA KUONGOZA KANISA HILO NCHINI NI DK FREDRICK...
MAASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wamemchagua Askofu Dk. FREDRICK SHOO kua mkuu mpya wa Kanisa hilo.Uchaguzi huo uliofanyika jana kufuatia kumalizika kwa muda wa uongozi wa wa...
View ArticleRAIS KIKWETE KATIKA HAFLA YA KONGAMANO LA PILI LA DIASPORA HOTELI YA SERENA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin wakati alipowasili hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo kuhudhuria hafla ya Kongamano la pili la...
View ArticleMAPOKEZI YA MGOMBEA URAIS WA UKAWA JIJINI MBEYA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chamacha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Edward Lowassa akiwapumbia maelfu yawakazi wa Jiji la Mbeya, waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja...
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA HATI ZA AHADI YA UADILIFU KWA VIONGOZI, WATUMISHI WA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi akishuhudiwa na viongozi wa taasisi na sekta hizo jana Agosti 14, 2015 Ikulu jijini...
View ArticleLAPF YAMWAGA VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU YA MANISPAA YA KINONDONI
Meneja Masoko Kanda ya Pwani, Yessaya Mwakifulefule akimkabidhi akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa timu ya Manispaa ya Kinondoni. Vifaa vilivyotolewa na mfuko huo ni jezi...
View ArticleWIZARA YA UJENZI YAMUAGA RAIS KIKWETE
Rais Jakaya Kikwete akihutubia wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi wakati wa hafla maalum ya kumuaga iliyoandaliwa na Wizara hiyo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja. Waziri wa Ujenzi Dk. John Pombe Magufuli...
View ArticleKalapina wa kikosi cha mizinga achukua fomu kugombea udiwani kata ya...
Msanii wa muziki wa Rap toka Kikosi cha Mizinga, Karama Masoud aka Kalapina (kushoto) akipokea fomu za kugombea udiwani kata ya Kinondoni kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo toka kwa msimamizi...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE KATIKA BARAZA LA VIJANA WA CCM
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mjumbe wa NEC Jerry Slaa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
View ArticleWIZARA YA UJENZI YAMUAGA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE
Waziri wa Ujenzi Dk.John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Mhandisi Mbogo Mfutakamba wakati akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja kwenye hafla ya kumuaga Rais wa Jamhuri...
View ArticleCBA BANK FAMILY DAY YAFANA VILIVYO
Wafanyakazi wakishiriki katika michezo ya viungo mapema wakati wa kuanza tamasha hilo la michezo na burudani kwa wanafamilia ya Benki ya CBA mjini Bagamoyo.Mkurugenzi Mtendaji wa CBA Tanzania Julius...
View ArticleDJ WA NIGERIA KUFANYA ONYESHO NA KUTOA MSAADA KWAJAMII JIJINI DAR ES SALAAM
Mtengenezaji wa muziki, mtunzi wa nyimbo na DJ raia wa Nigeria anayefanya kazi zake nchini Marekani Bi.Florence Ifeoluwa maarufu kama DJ Cuppy akizungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya...
View ArticleTAARIFA YA MSIBA
UONGOZI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LINASIKITIKA KUWATAARIFU KIFO CHA NDUGU AMANDUS A. MDEMU ALIYEKUWA INTERN KITENGO CHA MANUNUZI MAKAO MAKUU KILICHOTOKEA JANA TAREHE 16/08/2015 DAR ES SALAAM.MWILI...
View ArticlePicha za Harusi ya Flaviana Matata
Baada ya Mrembo Flaviana Matata mapema leo Amefunga ndoa na Aliyekuwa Mpenzi wake anayejulikana kwa jina la Mr Massawe hizi ni Picha zake za Harusi yake iliyofanyika katika kanisa la St Joseph endelea...
View ArticleJK AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM KWENYE OFISI ZA LUMUMBA LEO
Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu maalum kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama ,Ofisi Ndogo Lumumba,kulia ni...
View ArticleTAMASHA LA ‘DEMOCRACY IN DAR’ LAFUNIKA JIJI, WAKAZI WAHAMASIKA KUJITOKEZA...
Wananchi waliojitokeza katika tamasha la ‘Democracy in Dar’ lililofanyika jana Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi...
View ArticleWATAALAM WA TEHAMA NCHINI TANZANIA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA KUZINGATIA...
Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.HAB Mkwizu akifungua mkutano wa kwanza wa mwaka wa Serikali Mtandao leo jijini Arusha.Zaidi ya wataalam wa TEHAMA 500 kutoka Wizara,...
View Article