SIMBACHAWENE AKABIDHI NYARAKA ZA UFADHILI KWA WATANZANIA 22 KUSOMA MAFUTA,...
Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, (Kulia) akizungumza na waandishi wa habari, baadhi ya Watumishi wa Wizara na wanafunzi waliopata ufadhili wa masomo katika ngazi za Shahada za...
View ArticleMakamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd atembelea makao makuu...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akimuelekeza jambo Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd, ambaye alitembelea makao makuu ya Shirika la Nyumba...
View ArticleCCM YATANGAZA UTEUZI WA WAGOMBEA WA MAJIMBO 11 YALIYOKUWA YAMEBAKIA
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo mchana,katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam kuhusiana...
View ArticleWAZIRI HAWA GHASIA AZINDUA MAFUNZO YA MADEREVA WA MABASI YA MWENDO WA HARAKA...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mafunzo ya madereva wa mabasi yaendayo haraka uliofanyika Kituo...
View ArticleAIRTEL YAZAWADIA WATEJA WAKE MARA TANO ZAIDI MUDA WA MAONGEZI
Mkurugenzi wa kitengo cha Mawasiliano wa Airtel TanzaniaBeatrice Singano, akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduziwa ofa ya "Kamata Tano Zaidi" inayowawezesha wateja wa Airtel kupatamara...
View ArticleNHIF YAINGIA MKATABA NA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA JWTZ
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bwana Michael Mhando na Mkuu wa Huduma za Matibabu Jeshini Brigedia Denis Raphale Janga wakitia saini mkataba wa ushirikiano ambapo Mfuko...
View ArticleKAMPUNI YA HUAWEI YASAIDIA KATIKA ELIMU NA TEKNOLOGIA HAPA NCHINI
Balozi wa China nchini Tanzania Dr.Lu Youqing (katikati) akipata maelekezo kuhusu bidhaa za Huawei wakati wa mkutano wa watanzania waishio uhaibuni (Tanzania Diaspora).Kushoto ni Afisa mahusianao na...
View ArticleCCM YATANGAZA KAMATI YA KAMPENI ZAKE KATIKA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA 2015
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo asubuhi,katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam kuhusiana...
View ArticleBENKI YA EXIM TANZANIA YAADHIMISHA MIAKA 18 YA KUANZISHWA KWAKE.
Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya Exim Tanzania akizingumza na baadhi ya wafanyakazi pamoja na wateja wa benki hiyo wakati wa hafla fupi iliyoaandaliwa na benki hiyo kuadhimisha miaka 18 tangu...
View ArticleATCL YAREJESHA SAFARI ZAKE KUELEKEA MWANZA.
Abiria wakipanda kwenye ndege ya Shirika la Ndege la Taifa, Air Tanzania (ATCL) aina ya CRJ-200 tayari kuelekea Mwanza katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam...
View ArticleBAYPORT YAANZISHA HUDUMA MPYA YA BIMA YA MAGARI, PIKIPIKI NA BAJAJ
Mratibu wa Bima kutoka Bayport Financial Services, Ruth Bura, katikati akizungumza katika uzinduzi wa huduma mpya ya Bima ya Magari, pikipiki na Bajaj kwa kushirikiana na Kampuni ya NIKO Insurance....
View ArticleSAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU AMANDUS MDEMU WA NHC
Mkuu wa Kitengo cha Manunuzi cha Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Hamis Mpinda akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, kwenye mazishi ya aliyekuwa Intern wa Kitengo cha...
View ArticleMFUKO WA PENSHENI WA PSPF, TPB KWA KUSHIRIKIANA NA PROPERTY INTERNATIONAL...
WAZIRI wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais, (anayeshughulikia masuala ya Muungano), Samia Suluhu Hassan, (wapili kulia), Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, Sabasaba Moshingi, (wakwanza...
View ArticleMWAMOTO AOMBA WALIOKOSA UBUNGE NA UDIWANI KUVUNJA MAKUNDI KILOLO
Mwamoto akionyesha fomu ya ubunge kulia kwake ni dada wa prof Peter Msolla Anna Msola na kutoka kulia ni msimamizi mkuu wa uchaguzi Lukia Mhango na Msaidizi wake Na MatukiodaimaBlog ,KiloloMgombea...
View ArticleMATUMIZI YA TEHAMA SERIKALINI YAONGEZA UFANISI KATIKA UKUSANYAJI WA MAPATO
Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha Bw. Adolf Mapunda akifunga awamu ya kwanza ya mkutano wa mwaka wa Serikali mtandao kwa Maafisa TEHAMA, Rasilimali Watu, Utawala na Maafisa habari kutoka maeneo...
View ArticleRAIS KIKWETE NA WAZIRI MAGUFULI KATIKA MAZISHI YA DIWANI WA KATA YA YOMBO,...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka mchanga kaburini huku Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli akisubiri zamu yake wakati wa mazishi ya Marehemu Iddi Ubwa Mazongera aliyekuwa Diwani wa Kata ya Yombo...
View Article