Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM MTWARA WAUNGANA KUMHAKIKISHIA USHINDI MAGUFULI

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimia wanachama wa CCM mkoa wa Mtwara waliojitokeza kwa wingi kumsalimia kwenye ofisi za CCM Mkoa wa Mtwara. Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEREHE ZA MAKAMBI 2015 MTAA WA MANZESE YAFANA

 Kwaya Maalum ya Jangwani kutoka Shinyanga ikitumbuiza wakati wa Sherehe za Makambi ya Mtaa wa Kanisa la Waadventista Wasabato Manzes. Muhubiri Mkuu wa Sherehe za Makambi mtaa wa Manzese Mch....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lowassa achukua fomu ya Urais NEC

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIMBISA AMKARIBISHA RAIS KIKWETE DODOMA

Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Adam Kimbisa muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo ataongoza vikao vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA MUZIKI MNENE BAR KWA BAR KUENDELEA KIVINGINE

Meneja Mkuu wa Mawasiliano wa kituo cha Redio cha EFM,  Denis Ssebo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habri Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu  kuendelea kufanyika kwa Tamasha la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEMINA YA MPANGO WA KUPUNGUZA VIFO VYA AJALI YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

 Ofisa Mradi wa mpango wa kutekeleza  mkakati wa kupunguza  vifo vinavyotokana na ajali za barabarani kwa kusisitiza usalama  Barabarani unaosimamiwa kwa kushirikiana na  Bloomberg (BIGRS), Shirika la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZITTO ; FILIKUNJOMBE NI MCHAPAKAZI MZURI, CHIKU AMTAKA MBUNGE MSIGWA AONYESHE...

Ziito Kabwe  akiwa na mume  wa Chiku Abwao na Chiku Abwao  na kada wa ACT wazalendo.Zitto kabwe  akiwa na wapambanajiZitto kabwe  akiwahutubia  wananchi wa jimbo la Iringa mjiniChiku  Abwao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIJANA MFUGAJI AWEZESHWA NA AIRTEL FURSA

  Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (kulia), akikata utepe kuashiria kumkabidhi kijana Jonathan Tarimo (wa pili kulia), msaada wa Zizi jipya na Ng’ombe wawili wa maziwa kupitia mpango...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkurugenzi Mkuu wa NHC akagua mradi wa Nyumba za Makazi Rahaleo

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akikagua eneo kunakojengwa Nyumba za Makazi 96 za Rahaleo Mtwara. Nguzo za Nyumba za Makazi 96 za Rahaleo Mtwara.  Nguzo za Nyumba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA MKURUGENZI MKUU WA NHC MKOANI LINDI

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akiwasili katika ofisi za NHC Lindi. Meneja wa Lindi Mussa Patrick  Kamendu akitoa taarifa ya mkoa wa Lindi kwa Mkurugenzi Mkuu....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIJANA NCHINI WATAKIWA KUJITOLEA KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO

Mkurugenzi  wa Idara ya Maendeleo ya Vijana, James Kajugusi akiongea na Vijana kutoka sehemu mbalimbali (hawapo pichani) waliohudhuria Kongamano la Vijana lililofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASHIRIKI WA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 WAHIMIZA WANAKIJIJI KUFANYA KILIMO...

 Baada ya washiriki wa Shindano la Mama shujaa wa Chakula  Shindano linalo endeshwa na Oxfam kupitia kampeni yake ya Grow na kudhaminiwa na Gates and Melinda Foundation,TBS, Cooperative Bank Great...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJIMBO MATANO KURUDIA KUPIGA KURA ZA MAONI CCM

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC) imeagiza kurudiwa kwa uchaguzi katika majimbo matano yaliyopo Tanzania Bara kutokana na dosari mbalimbali zilizojitokeza katika mchakato wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI KUU YA CCM YAFANYIKA LEO MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati kuu ya CCM kilchofanyika katika ukumbi wa White house, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo.(Picha na Freddy...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WAMEASWA KUHIFADHI MAZINGIRA

. Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akifungua Mkutano wa wadau wa mazingira unaohusu Miradi ya majaribio nchini wa Mkakati wa Kupunguza Uharibifu wa Misitu (MKUHUMI) jana jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk Slaa aikana akaunti ya twitter inayomzushia mazito

Wakati kukiwa na taarifa zinazosambaa mtandaoni zikimuhusisha Dk Willibrod Slaa na akaunti ambayo imekuwa ikitoa msimamo wake wa kujitenga na shughuli za siasa pamoja na Ukawa, katibu huyo mkuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

THE 3RD ANNUAL CYBER DEFENSE EAST AFRICA SUMMIT HELD IN DAR ES SALAAM ON...

The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) Director General Dr. Ally Yahaya Simba (left), addresses the 3rd Annual Cyber Defense East Africa Summit held in Dar Es Salaam on 11-08-2015. The...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vodacom Tanzania yapata Mkurugenzi Mtendaji mpya

  Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania Limited leo imemtangaza Mkurugenzi wake mpya Bw. Ian Ferrao anayechukua nafasi ya Mkurugenzi anayeondoka  Rene Meza ambaye hivi karibinu aliteuliwa kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA BARCLAYS YAZINDUA KADI YA ATM DOLA

 Meneja bidhaa wa Benki ya Barclays,Valence Lutegavya akizungumza wakati wa uzinduzi wa kadi ya ATM ya dola za kimarekani katika mkutano wa uzinduzi uliofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKU YA KIMATAIFA YA VIJANA YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM LEO.

 Bendi ya jeshi la polisi ikiongoza Maandamano ya siku ya vijana Duniani ,yaliyofanyika Agost 12 kila mwaka yaliyoanzia katika Shule ya Sekondari Jangwani na kuishia katika  viwanja vya Mnazi Mmoja...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live