Maandalizi ya ufunguzi wa Nyumba za Gharama Nafuu NHC Mtanda, Lindi
Timu ya Shirika la Nyumba la Taifa ikiwa katika maandalizi ya ufunguzi wa Nyumba za Shirika hilo za gharama nafuu za Mtanda Mkoani Lindi ambao unafanyika baadaye leo hii na Rais Jakaya Mrisho Kikwete...
View ArticleKAMISHNA CHAGONJA AWAPOKEA WANAMICHEZO WALIOTOKA SWAZILAND NA KUWAHUTUBIA
Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Paul Chagonja akiwa katika picha ya pamoja na wanariadha wa Jeshi la Polisi walioshiriki Michezo ya Majeshi ya Polisi kwa nchi za kusini mwa...
View ArticleWENGI WAJIUNGA NA NSSF MAONYESHO YA NANENANE
Meneja Kiongozi wa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume akiwaelezea faidaza kujiunga na mfuko huo wakazi wa Mkoa wa Lindi waliofika kwenye banda la NSSF...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA JANET MBENE ATEMBELEAKIWANDA CHA...
Naibu waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene akizungumza, mmoja wa viongozi wa kampuni ya Marmo and Garnito Mines wakati alipokuwa kwenye ziara ya viwanda mkoani mbeya hivi karibuni.Naibu Waziri wa...
View ArticleRAIS KIKWETE AFUNGUA BARABARA YA NDUNDU-SOMANGA YENYE UREFU WA KILOMETA 60...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Ndundu – Somanga yenye urefu wa kilomita 60, hafla hiyo imefanyika jana Agosti 7 2015...
View ArticleSERIKALI KUENDELEA KUTEKELEZA MIRADI ITAKAYOWEZESHA KUWAINUA VIJANA KIUCHUMI
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiongea na Maafisa Vijana na kuwataka kutumia elimu na ujuzi walioupata katika mafunzo ya ujasiriamali na ubunifu katika...
View ArticleUTT-PID YASHIRIKI MAONYESHO YA NANE NANE – LINDI
Maafisa Masoko wa UTT-PID, Bi Kilave Atenaka (katikati) na Bi. Mary Minja (kwanza kulia) wakiongea na mteja aliyefika banda lao lililo chini ya wizara ya Fedha katika Maonyesho ya Nane Nane...
View ArticleMAGUFULI ATEMBELEA OFISI YA CCM MKOA WA LINDI
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Mzee Ally Mtopa akisalimiana na Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli nje ya ofisi ya CCM mkoa wa Lindi Mgombea wa Urais kwa tiketi ya...
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI SAFI MKOANI LINDI,AWAAGA WANANCHI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi mkubwa wa maji safi katika Halmashauri ya Manispaa ya Lindi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUZA KIVUKO CHA MV MAFANIKO NA KUZINDUA MRADI WA NYUMBA ZA...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa,Ndugu Nehemia Mchechu akizungumza jambo na Rais Dkt Jakaya Kikwete mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa nyumba 30za makazi...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI,PEREIRA AME SILIMA AFUNGA MAFUNZO YA...
Mgeni rasmi katika ufungaji wa Mafunzo ya awali ya skari Polisi,NaibuWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Pereira Ame Silima akizungumza wakati wa sherehe za ufungaji wa mafunzo hayo zilizofanyika Chuo Cha...
View ArticleMAADHIMISHO YA NANE NANE YAHITIMISHWA KITAIFA MKOANI LINDI
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akiwapungia mkono na kuwaaga wakulima na wafuagaji wakati wa kufunga Sherehe za Nane Nane mwishoni mwa wiki zilizofanyika Kitaifa katika...
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA TAWI LA BENKI KUU MTWARA
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi tawi la Benki Kuu mjini Mtwara jana jioni. Kushoto ni Gavana wa Benki Kuu Dkt. Benno Ndulu na kulia ni Naibu Waziri wa Fedha Bwana Mwigulu...
View ArticleLOWASSA AHUDHURIA MKUTANO WA BARAZA KUU LA CHAMA CHA WANANCHI CUF JIJINI DAR
Sehemu ya Wafuasi na Wanachama wa Chama cha Wananchi CUF, wakiwa wamejipanga Barabarani tayari kwa kumlaki, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na...
View ArticleKITUO CHA RADIO 5 CHASHINDA NAFASI YA KWANZA MAONYESHO YA NANENANE ARUSHA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sera Mahusiano na Uratibu Dkt.Mary Nagu akiwa anamkabidhi kikombe Meneja masoko na mawasiliano Sarah Lazaro Keiya mara baada yakituo cha Radio5 kutangazwa washindi wa...
View ArticleWateja wamiminika banda la NHC Nane Nane, Lindi
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akitia saini kwenye kitabu cha wageni kwenye banda la maonesho la NHC lilikuwapo katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi kulikokuwa...
View ArticleNCCR-MAGEUZI WAANZA KUSHAMBULIA JIMBO LA VUNJO,WAWATAMBULISHA WAGOMBEA WA...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi taifa ,Hemed Msabaha akizungumza wakati wa mikutano wa kutamburisha wagombea wa nafasi ya udiwani inayofanyika katika jimbo la Vunjo mkoani...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
OFISI ya Makamu wa Rais inasikitika kuwepo kwa taarifa ambazo zimesambaaa kwenye mitandao ya kijamii zinazodai kuwa Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib...
View ArticleHapa Kuna Picha za 'Mafuriko' ya Lowassa Yakijiandaa Kuelekea Ofisi za Tume...
Mbunge wa Mbeya mjini mh. Joseph Mbilinyi akiwasili makao makuu ya CUFMwenyekiti wa NCCR- Mageuzi, mh. James Mbatia akiwasalia wafuasi wa UKAWAMwanasheria mkuu wa CHADEMA, Mh Tundu...
View Article