Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAJI MUTUNGI AJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGAKURA

Mhe. Jaji Francis S.K. Mutungi akiwa na kitambulisho chake mara baada ya kujiandikisha mapema Leo katika kituo cha Shule ya Msingi Bunge Jijini Dar es salaam.Mwandikishaji Msaidizi Bi. Maida Ally...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA CHUO KIKUU CHA NEWCASTLE, AUSTRALIA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mstahiki Meya wa jiji la Newcastle Mhe. Nuatali Nelmes na viongozi wa chuo kabla ya kuanza kwa msafara wa kwenda jukwaa kuu kutunukiwa shahada ya heshima ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOGO YAO TEAM LOWASSA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAJI MUTUNGI AJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGAKURA

Mhe. Jaji Francis S.K. Mutungi akiwa na kitambulisho chake mara baada ya kujiandikisha mapema Leo katika kituo cha Shule ya Msingi Bunge Jijini Dar es salaam.Mwandikishaji Msaidizi Bi. Maida Ally...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA 'CONNECT 2 CONNECT' WAINGIA SIKU YA PILI TANZANIA

Mijadala mbalimbali ikiendelea ndani ya siku ya pili ya mkutano wa Kimataifa wa 'Connect 2 Connect' unaoshirikisha wadau mbalimbali wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, pamoja na wawakilishi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA ACHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CHADEMA LEO

Edwald Lowasa Waziri mkuu wa Zamani aliyejiunga na Chama cha CHADEMA hivi karibuni akiwasili katika makao makuu ya ofisi za CHADEMA tayari kwa kuchukua fomu za kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YAFANYA KUFURU MBIO ZA NYIKA SARPCCO

Wanariadha wa mbio za nyika  katika michezo ya majeshi ya Polisi kwa nchi za Kusini mwa Afrika(SARPCCO) wakiendelea na mbio hizo jana katika mji wa Mbabane Swaziland ambapo wanariadha wa Polisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wananchi wa Mji mdogo wa Mererani, wakati wa hafla ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Barabara ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA ACHUKUA FOMU YA KUWANIA URAIS KUPITIA CHADEMA LEO

Waziri Mkuu Mstaafu Mh.Edward Lowassa pichani akiwapungia wanachama na wafuasi mbalimbali wa chama cha CHADEMA waliofika kumshuhudia akiwa sambamba na Mkewe Mama Regina akiwasili makao Makuu ya chama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS YOWERI MUSEVEN AFUNGUA MKUTANO WA MARAIS WASTAAFU KATIKA HOTELI YA...

Mh. Rais Yoweri Museveni wa Uganda akifungua rasmi mkutano wa Marais wastaafu wa Afrka  AFRICA LEADERSHIP FORUM unaofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam Mkutano huo unaojumuisha marais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GARI LA KUBEBEA MAJENEZA LA KIPEKEE LAINGIA NCHINI

Pichani juu na chini ni muonekano wa Gari maalum la kukodisha kwa ajili ya shughuli za kubebea majeneza katika misiba limeingia nchini.Kwa wanaohitaji kukodi kwa shughuli za misiba wanaweza kuwasiliana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIDOTI :VIJANA WA JIJI LA ARUSHA CHANGAMKIENI FURSA ZA KIJASIRIAMALI

 Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kidoti Jokate Mwegelo  (kidoti) akiwa na mabalozi wake aliwapata ndani ya mkoa wa Arusha tayari kwa kwenda mtaani kutangaza bidhaa zake zake za kidoti zilizoingia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MABALOZI WA KENYA NA MSUMBIJI IKULU DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Chirau Ali Mwakwere, aliyefika Ofisini kwa Makamu wa Ikulu jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZUENA MOHAMED MAARUFU KAMA “SHILOLE” KIFUNGONI MWAKA MMOJA

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kama msimamizi na mratibu wa sekta ya Sanaa nchini limemfungia msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Zuena Mohamed kwa jina la kisanii Shilole kufanya shughuli za sanaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA YAWAPIGA MSASA CTI JUU YA SHERIA MPYA YA KODI YA ONGEZEKO LA THAMANI YA...

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Rished Bade akiongea na wadau kutoka Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI) wakati wa semina ya kuwajengea uelewa kuhusu Sheria Mpya ya Kodi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lowassa arudisha fomu za kuwania urais Chadema

Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Profesa  Abdallah Safari (kushoto)  akipokea fomu kutoka kwa Waziri Mkuu wa Zamani,  Edward Lowassa.Ester Bulaya (wa kwanza kushoto waliovaa fulana) akiwa ukumbini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA CALIFORNIA WAMUAGA BALOZI LIBERATA MULAMULA

 Watanzania California wakiongozwa na Balozi wa Heshima Mhe. Ahmed Issa walijumuika pamoja siku ya Ijumaa na kumuaga Balozi Liberata Mulamula anayemaliza muda wake kama Balozi wa Tanzania nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAHITIMU SHULE YA MSINGI MUHIMBILI WAISAIDIA SHULE YAO

Mwenyekiti wa umoja wa wanafunzi wahitimu wa darasa la saba Shule ya Msingi Muhimbili Mwaka 1988, Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza.Mwenyekiti wa umoja wa wanafunzi wahitimu wa darasa la saba Shule ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBIO ZA URAIS 2015, FAHMI DOVUTWA WA UPDP MAXMILLIAN LYIMO WA TLP NA...

 MGOMBEA wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia chama cha UPDP, Fahmi Dovutwa, (kulia), akipokea mkoba wenye fomu za uteuzi wa kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AREJEA NYUMBANI BAADA YA ZIARA RASMI YA AUSTRALIA

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Raymond Mushi katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa Jumamosi Agosti 1, 2015 mara...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live