Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6906 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA KUFUNGUA MAONESHO YA NANE NANE KITAIFA MKOANI LINDI...

Pilikapilika za maandalizi ya Maonyesho ya Nane Nane kitaifa mwaka huu zimepamba moto ambapo Mgeni Rasmi katika maonesho hayo yatakayofunguliwa Jumatatu Agosti 3, 2015 anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA KUKATWA KURA ZA MAONI CCM DKT. MAKONGORO MAHANGA ATIMKIA CHADEMA

Mh. Dkt. Makongoro Mahanga akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake Segerea Mwisho leo.Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake, Mh. Dkt. Makongoro Mahanga,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAADA TUTANI – KILA LA HERI BINTI YETU ZAHARA KWENYE KURA ZA MAONI ZA UBUNGE...

Na Jeff Msangi wa TBN UghaibuniNyota njema huonekana asubuhi. Bila shaka umewahi kusikia msemo huu. Kwa Zahara Muhidini Issa Michuzi, nyota yake njema ni tunu ya uongozi. Tangu alipoweza kutambua maana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM FC MABINGWA WA KOMBE LA KAGAME 2015

Kombe la Kagame walilotwaa Azam FC. (Picha zote na Francis Dande) Nahodha wa Azam John Bocco akipokea kitita cha dola za kimarekani dola elfu 30.Viongozi wa Azam pamoja na wachezaji wakiwa katika picha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 8

BOFYA HAPA KUTEMBELEA FACEBOOK PAGE YAO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA NHC FAMILY DAY LAFANYIKA KUNDUCHI BEACH HOTEL

Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu wa Shirika la Nyumba la Taifa, James Rhombo akimkabidhi kombe la ushindi wa kuvuta kamba kapteni wa timu ya kuvuta kamba ya NHC Kinondoni baada ya kuibuka mabigwa katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDEGE ZA FASTJET ZAKATISHA SAFARI ZAKE KUFUATIA TATIZO LA UMEME KATIKA UWANJA...

TWEETKufuatia tatizo la kiufundi la umeme katika uwanja wa Ndege wa Mwanza ambalo lilisababisha ndege za kampuni ya Fastjet kukatisha safari zake zote za usiku kuepuka kuhatarisha maisha ya abiria na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZAZI WAHIMIZWA KUJENGA UTAMADUNI WA KUPITIA KAZI NA WATOTO WAO WANAPORUDI...

Wahitimu wa masomo ya awali shule ya Kimataifa ya Joyland, wakiimba wimbo wa Shule wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma Kigamboni jijini Dar es SalaamWanafunzi  shule Darasa la nne...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 4

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wastaafu NHC Dar es Salaam waagwa kwa tafrija

. Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Felix Maagi, Kaimu Mkurugenzi Mkuu ambaye ndiye Mkurugenzi wa Fedha wa NHC aliyemwakilisha Mkurugenzi Mkuu, Nehemia Mchechu akitoa nasaha zake wakati wa hafla hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA NHC DODOMA FAMILY DAY KWENDA MIKUMI NATIONAL PARK

Mwanzo wa safari yetu kutoka Dodoma ofisini kuelekea Mikumi National Park Morogoro. Picha zote za Shirika la Nyumba la Taifa. Wafanyakazi na familia zao wa mkoa wa Dodoma tumeshaingia Mkoa wa Morogoro...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MSTAAFU WA GHANA AKUTANA NA WAFANYAKAZI WA ECOBANK TANZANIA JIJINI DAR

Rais Mstaafu wa Ghana Mhe. Jerry John Rawlings akisikiliza kwa makini taarifa fupi iliyosomwa mbele yake na Afisa mkuu wa ubalozi wa Ghana hapa Tanzania Dr. Ken Kwaku kuhusiana na utendaji kazi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RUNGWE ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Mgombea Urais wa Chama Cha Ukombozi na Maendeleo (CHAUMA), Hashim Rungwe akipokea fomu ya kugombea urais kutoka kwa Afisa Mwandamizi Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Adam Nyando katika ofisi za NEC leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWILI WA MAREHEMU MZEE FRANCIS KITIME WASAFIRISHWA KWA MAZISHI

Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa familia ya marehemu Mzee Francis Raphael Kitime wakiwa katika ibada ya kumuombea jana jijini Dar es Salaam.Padre wa Kanisa Katoliki Parokia ya Huruma ya Wagonjwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. MAGUFULI KUCHUKUA FOMU YA URAIS NEC LEO, JUMANNE, AGOSTI 4, 2015, JIJINI...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LAPF YANGARISHA MAONESHO YA NANENANE –DODOMA

 Mwanachama akipata maelezo kutoka kwa Afisa Masoko Bi Rehema Mkamba Banda la Mfuko wa Pesheni wa LAPF ambalo lipo kwenye jengo la Ofisi ya waziri Mkuu, uwanja wa Nanenane, DodomaWanachama wakipata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI LIBERATA MULAMULA ATINGA NDANI YA STUDIO YA KILIMANJARO

 Balozi Liberata Mulamula akiwasili nje ya jengo lenye studio ya Kilimanjaro tayari kuongea LIVE katika kipindi cha Jukwaa langu kinachorushwa kila siku ya Jumatatu kuanzia saa 12 jioni mpaka saa 2...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI JIJINI DAR...

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt  John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Ndugu Samia Suluhu Hassan wakionesha fomu zao za kuomba kugombea urais mara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI -KUHAKIKI DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA

Tunawatangazia wananchi wote waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR katika mikoa ya:-NJOMBE, IRINGA,  MTWARA, LINDI,  RUVUMA, KATAVI, RUKWA, MBEYA, DODOMA, SINGIDA,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano Mkuu Chadema 2015 Wampitisha Lowassa na Juma Dunia hadi kuwakilisha...

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zanzibar, Salum Mwalim amemshukuru Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe kwa kumsajili Waziri Mkuu wa zamani, Edward...

View Article
Browsing all 6906 articles
Browse latest View live