DKT MAGUFULI AREJEA JIJINI DAR BAADA YA KUJITAMBULISHA MIKOA KADHAA,APOKELEWA...
Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John PombeMagufuli akiwasalimia wananchi wa Mji wa Chalinze (hawapo pichani)alipokuwa akirejea jijini Dar jana jioni akitokea mkoani...
View ArticleRAIS KIKWETE AMUAPISHA MKURUGENZI MPYA WA UCHAGUZI BW. KAILIMA RAMADHANI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam Julai 25, 2015.Ndugu Kailima...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA WATANZANIA KUADHIMISHA SIKU YA KUMBUKUMBU YA...
Brass Bendi ya Jeshi ikiingia kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja kuanza Maadhimisho.Picha zote na Hussein Makame-MAELEZOMnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa (JWTZ) , Luteni Jenerali Samweli...
View ArticleJAIRO, KILLIMBAH,GYUNDA WAGOMEA MCHAKATO KURA ZA MAONI UBUNGE IRAMBA, WAMTAKA...
Mmoja wa wagombea wa Ubunge Jimbo la Iramba, Mkoani Singida Davd Jairo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani, juu ya madai yao ya kugomea kuendelea na mchakato wa kura za maoni hadi...
View ArticleMUUNGANO WA JUMUIYA ZA MARADHI YASIYO AMBUKIZA ZANZIBAR ZATOA TAALUMA YA...
Katibu wa Taasisi ya Zanzibar Heart Foundation Sururu Abass Othman akizungumza na wananchi wa shehia za Muembemakumbi, Karakana na Chimbuni waliofika kuchungaza Afya zao.Picha na Makame Mshenga...
View ArticleCHAMA CHA UKOMBOZI WA UMMA (CHAUMMA) CHAMTANGAZA MGOMBEA KITI CHA URAIS WA...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma Zanzibar (CHAUMMA) Faki Salum Abdalla akitoa salamu za Chama hicho wakati wa Mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) wa kumtambulisha Mgombea...
View ArticleWIZARA YA NISHATI NA MADINI YATOA MAFUNZO KWA WACHIMBAJI WA MADINI WA MIRERANI
Afisa Madini Mkazi, Mkoa wa Kilimanjaro, Fatuma Kyando akielezea sheria na kanuni za uchimbaji wa madini nchini katika mafunzo yaliyoshirikisha wachimbaji wa madini Mirerani kuanzia Julai 25- 26...
View ArticleMADAKTARI WA DIASPORA WAKABIDHI MSAADA WA DAWA ZA MAGONWA YA BINAADAMU KWA...
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dr. Jidawi akizungumza na Madaktari Diaspora kutoka Washington walipofika Afisini kwake kwa kujutambulisha ujio wao Zanzibar walioletwa na Jumuiya ya Watanzania...
View ArticleTUMUUNGE MKONO DK.MAGUFULI NDIO CHAGUO LA CCM- CATHERINE MAGIGE
Mbunge viti maalum kundi la wananwake (UWT) Mkoa wa Arusha ,Catherine Magige akizungumza jana katika mkutano wa wagombea Ubunge 12 kupitia chama cha mapinduzi waliofanya ziara ya kujinadi kwa...
View ArticleJAFARY MICHAEL KUWANIA UBUNGE WA JIMBO HILO
Wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Moshi mjini wakiwa katika mkutano maalumu wa kumchagua mtia nia atakaye peperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi...
View ArticleUKAWA WAMKARIBISHA EDWARD LOWASSA
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba wakijadilia jambo katika mkutano na waandishi wa habari.……………………………………………………………………Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa)...
View ArticleRAIS KIKWETE AFANYA ZIARA YA KISERIKALI AUSTRALIA, ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kijeshi wa Fairbairn mjini Canberra katika siku ya mwanzo ya ziara yake Rasmi ya siku nne ya Kiserikali nchini...
View ArticleLOWASSA AHAMIA RASMI CHADEMA, UKAWA WAFURAHIA
Edward Lowassa akiwapungia mkono makada wa vyama vya UKAWA na CHADEMA baada ya kuwasili ukumbini.Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe (kushoto) akiteta jambo na Edward Lowassa aliyejiunga na chama...
View ArticleWAFANYAKAZI WA HOSPITALI YA WANAWAKE NA WATOTO YA CENTENARY YA MJINI CANBERRA...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikaribishwa na Mama Elizabeth Chatham, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Caniberra nchini Australia inayotoa huduma ya Afya ya Mama, vijana na watoto mara baada ya...
View ArticleFASTJET YAZINDUA RASMI ‘ROUTE’ YA DAR- LILONGWE KWA KISHINDO
Meneja Mkuu wa shirika la Ndege la Fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati, akizungumza na abiria kwanza kuingia ndani ya ndege, Bi.Fatma Amour (aliyeipa mgongo kamera) kabla ya kukata utepe ikiwa ni...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA AUSTRALIA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Waziri Mkuu wa Australia Mhe. Tonny Abbot alipowasili asubuhi ya tarehe 28 Julai 2015 katika makao Makuu ya kiongozi huyo jijini Sydney.Rais Jakaya Mrisho...
View ArticleYALIYOJIRI MSIBA WA MAREHEMU MZEE JOHN EDWARD MCHECHU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba (NHC), Nehemia Mchechu alipofika nyumbani kwake Mbezi Beach jijini...
View ArticleWAGOMBEA UBUNGE CCM WAKAMILISHA KAMPENI ZAO KATIKA KATA 25 JIJINI ARUSHA
Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akinadi sera zake mbele yawananchi na wanachama wa chama hicho katika kata ya Themi viwanja...
View ArticleCCM MKOA WA DAR ES SALAAM WAITAKA TUME KUONGEZA VIFAA ILI KUFANIKISHA ZOEZI
Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar Es Salaam Ndugu Juma Hamis ‘Gadafi’ akizungumza na waandishi wa habari kwenye hotel ya Peacock jijini Dar es Salaam.…………………………………………………………..Chama Cha Mapinduzimkoa wa Dar es...
View Article