President Jakaya Kikwete Meets His Royal Highness the Prince of Wales Prince...
President Jakaya Mrisho Kikwete meets His Royal Highness the Prince of Wales in the sidelines of the Commonwealth Head of Government Meeting (CHOGM) 2013 in Colombo, Sri Lanka, today November 15,...
View ArticleKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana Awasili Songea
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi mbalimbali wa CCM waliofika kumlaki alipowasili kwenye eneo maarufu linalojulikana kama Nonga Nonga wilaya ya Songea mjini. Katibu...
View ArticleKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI, MINJA AMVISHA CHEO CHA KAMISHNA...
Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(kulia) akimvisha Cheo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Dkt. Deus Clement Marenge ambaye anahudumu kazi ya Ulinzi wa Amani katika...
View ArticleRais Jakaya Kikwete akutana na viongozi Mbalimbali Colombo Srilanka
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini mwishoni mwa mkutano wa wakuu wan chi za jumuiya ya Madola uliomalizika jijini Colombo Srilanka leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho...
View ArticleBunge lakataa kubariki ‘Division 5’
Mwenyekiti Wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii Magreth Sitta----Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii, imevikataa viwango vipya vya alama za ufaulu kwa elimu ya sekondari vilivyotarajiwa kuanza...
View ArticleWaziri Dr Emmanuel Nchimbi ateua Bodi ya Shirika la uzalishaji mali la Polisi
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI Kutokana na Maboresho yanayoendelea ndani ya Jeshi la Polisi kumekuwepo na mikakati mbalimbali inayolenga uboreshaji wa miundombinu...
View ArticleWaziri Mkuu Mizengo Pinda Ashiriki Mazishi Ya Aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya...
Askofu wa Jimbo, Geita Dmiano Dallu akifukiza ubani mwili wa Dr. Edmund Mvungi katika ibada ya mazishi iliyofanyika kijijini kwa marehemu, Chanjale wilayani Mwanga Novemba 18, 2013. Waziri Mkuu,...
View ArticleAUA WAWILI KWA KUWAPIGA RISASI KISHA AJIUA
Mtu anayedaiwa kuwa ni Mfanyabiashara wa jijini Mwanza, na kufahamika kwa jina la Gabriel Munisi amejiua baada ya kushambulia watu wanne kwa risasi asubuhi ya leo eneo la Ilala Bungoni jirani na Klabu...
View ArticleSERIKALI IMEDHAMIRIA KUFUTA UMASKINI KWA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI
Waziri wa Nishati na madini Mh Sospeter Muhongo akisaini kitabu cha wageni katika ofisi za CCM Mkoa wa Morogoro alipotembelea wakati akianza ziara yake katika Mkoa wa morogoro.Katika ziara hiyo waziri...
View ArticleMAUAJI DAR; MTU MMOJA AUA, AJERUHI NA KUJIUA KWA RISASI
Polisi wakikagua gari walilokuwa wakisafiria watu wanne kabla ya kushambuliwa kwa risasi na mtu alitajwa kuwa jina la Gabriel Munisi aliyedaiwa kuua watu wawili na yeye kujiua baada ya kujeruhi wengine...
View ArticleMAJERUHI ALIYEPIGWA RISASI AFARIKI DUNIA, TAZAMA NA PICHA YA MPENZI ALIYEPIGA...
MAJERUHI Francis Shumira aliyejeruhiwa katika tukio la kushambuliwa kwa risasi Ilala Dar es salaam jana amefariki dunia leo asubuhi Hospitali ya Muhimbili alikolazwa MOI kwa matibabu.Kufariki kwa...
View ArticleMataifa 21 kushiriki Uhuru Marathon
WANARIADHA kutoka nchi 21 wanatarajiwa kushiriki mbio ndefu za Uhuru, Uhuru Marathon, zinazotarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam Desemba 8, mwaka huu.Akizungumza na waandishi wa habari jana, Katibu...
View ArticleABDULRAHMAN KINANA AKAGUA MIRADI MBALIMBALI WILAYANI MBINGA RUVUMA
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa vijana waendesha pikipiki mjini Mbinga ambao unafadhiliwa na mbunge wa jimbo la Mbinga Mh...
View ArticleBABU SEYA, PAPII KOCHA WASHINDWA TENA, WAREJESHWA JELA MAISHA
MSOTO WA BABU SEYA, PAPII KOCHA!Ile hukumu ya rufaa ya mwanamuziki Nguza Viking na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha' imewarejesha tena jela maisha baada ya hoja za serikali za kukazia hukumu kuzidi...
View ArticlePSPF YATAMBULISHA MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI (PSS) KWA WAANDISHI WA HABARI
Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji PSPF ambaye pia niMeneja wa kumbukumbu, Chacha Nyaikwabe Kutoka kushoto ni Afisa Mawasiliano, Masoko naUenezi wa PSPF, Hawa Kikeke, Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji PSPF...
View ArticleALIYEKUWA RAIS WA BOTSWANA MH. FESTUS GONTEBANYE MOGAE AMTEMBELEA RAFIKI YAKE...
Mwenyekiti wa MeTL Group Bw. Gulam Dewji akibadilishana mawazo na aliyekuwa Rais wa Botswana Mh. Festus Gontebanye Mogae alipomtembelea rafiki yake Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group...
View ArticleBREAKING NEWZZZ : ZITTO KAMBWE NA DR.KITILA MKUMBO WAVULIWA VYEO VYOTE NDANI...
kikao cha Kamati Kuu ndiyo kimeisha muda huu, na taarifa zilizopo ni kwamba kambi ya PM7 imevunjwa rasmi baada ya viongozi wake kuvuliwa vyeo vyote walivyo navyo ndani ya chama.Waliovuliwa vyeo ni...
View ArticleP Square wawasili tayari kwa onesho la Jumamosi
Wanamuziki wanaotajwa kuwa na mvuto zaidi barani Afrika, P Square, wamewasili usiku huu katika uwanja wa ndege wa Mwalimu JK Nyerere kwa ajili ya onesho lao linalotarajiwa kufanyika Jumamosi hii...
View ArticleChina waipa TSN pikipiki kusaidia jitihada zake za kukuza elimu nchini
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,Mh. Dk. Fenella Mukangara (kushoto) akipeana mkono na Balozi wa China nchini Tanzania,Mh. Lu Younqing wakati akipokea Msaada wa Pikipiki 20 zilizotolewa...
View ArticleBREAKING NEWS:JERRY ISAAC MRUMA AMEFARIKI DUNIA
Jerry Isaac Mruma, 23.Jerry Isaac Mruma, 23. Jerry Isaac Mruma is a Tanzanian USIU-Africa Student (in Kenya) who went missing on Saturday night. (You may click here to watch him in this video)Jerry had...
View Article