Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RICHARD MGAMBA ATEULIWA KUWA MKURUGENZI MTENDAJI THE GUARDIAN LIMITED

 MWANDISHI wa habari mkongwe, ambaye amejishindia tuzo mbalimbali ikiwemo ile ya CNN, Richard Mgamba, ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya The Guardian Limited, na tayari amekwisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ASHUHUDIA KUSIMIKWA KWA KIONGOZI MPYA WA WALUGURU CHIFU KINGALU...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia kusimikwa kwa Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru Chifu Kingalu wa 15 katika kijijini Kinole mkoani Morogoro Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo cha Chifu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LANG'ARA MAONYESHO YA 39 YA SABASABA

Afisa Mwandamizi wa Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Salvatory Hinju akitoa maelezo namna Shirika la Nyumba linavyofanya kazi zake kwa Wateja waliofika kwenye banda la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHC YANYANG’ANYA MASHINE ZA KUFYATULIA MATOFARI BAADA YA HALMASHAURI ZA MIKOA...

● Mkoa wa Katavi na Rukwa washindwa kutumia fursa ya msaada huo● NHC yanyang’anya mashine Halmashauri za Mikoa hiyo● Zatakiwa kuomba upya mashine hizo na kuunda vikundi imaraKatika kuhakikisha kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JENIFER MGENDI AZINDUA DVD YAKE YA WEMA NI AKIBA

Mmoja wa Waimbaji mahiri wa nyinbo za Injili, Jenifer Mgendi akiimba mbele ya wapenzi na washabiki wa nyimbo zake katika uzinduzi wa  dvd yake ya Wema ni akiba,uzinduzi huo ulifanyika mwishoni mwa wiki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MIZNGO PINDA NA MATUKIO MBALIMBALI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akislimiana na wazee wa Mtwara baada ya kufunga maaadhimisho ya Jumuiya ya Tawala za Mikoa Tanzania  (ALAT) mjini Mtwara Julai 1, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEDIA CAR WASH FOR CANCER KUFANYIKA KESHO JULAI 4, 2015 LEADERS DAR ES SALAAM

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEC YATOA MWALIKO WA WAANGALIZI WA NDANI WA UCHAGUZI MKUU

Na Jovina BujuluTaasisi na Asasi mbalimbali zimetakiwa kutuma maombi kwenye ya  Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa ajili ya kusimamia uchaguzi mkuu utatarajia kufanyika mwezi oktoba mwaka huu.Kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAIMU KATIBU TAWALA MKOA WA RUKWA NDUGU ERASMUS RUGARABAMU AFUNGUA RASMI...

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Ndugu Erasmus Rugarabamu akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku sita ya Walimu Wakuu Shule za Msingi na Waratibu Elimu Kata juu ya muongozo wa uendeshaji wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU PINDA ATEMBELEA BANDA LA PSPF,AVUTIWA NA NAMNA WATU...

 Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mizengo Pinda akijadiliana jambo na Maafisa wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bw. Abdul Njaidi (katikati) na Gasper Lyimo jana alipotembelea banda la PSPF katika maonesho ya 39 ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHUO KIKUU CHA IRINGA ZAMANI TUMAINI KESHO KUADHIMISHA SIKU YA UTALII NA...

  MHADHILI WA CHUO KIKUU CHA IRINGA JIMSON SANGA   baadhi ya majengo ya chuo kikuu cha iringa zamani tumaini   baadhi ya majengo ya chuo kikuu cha iringa zamani tumainiNa Fedy Mgunda,IringaChuo kikuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YAKABIDHI FUTARI KWA WATOTO YATIMA KATIKA VITUO VITATU MKOANI DAR ES...

 Meneja wa huduma kwa jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (kulia) akiongea na wawakilishi wa vituo vitatu vya watoto yatima baada ya kukakabidhi msaada wa vyakula mbalimbali vya mfungo wa Ramadhani kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FINLAND NA TANZANIA KUSHIRIKIANA KIBIASHARA

 Mkurugenzi wa biashara ya ndani mamlaka ya maendeleo ya biashara Tanzania (TANTRADE), Edwin Rutagaruka akizungunza  katika semina ya kibiashara iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEC NA VIONGOZI WA VYAMA VYASIASA , WAJADILI MAADILI YA UCHAGUZI WA RAIS,...

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Jaji  Mstaafu Damiani Lubuva akizungumza wakati wa mkuato wa kujadili maadili ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani katika mkutano uliofanyika Hoteli ya Serena jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANNE WAJISHINDIA MAMILIONI YA BAYPORT

Zoezi la kuchezesha droo hiyo ya Kopa na Bayport likiendelea. Washindi wanne walijishindia Sh Milioni 1,000,000 kila mmoja.Meneja Masoko na Mawasiliano wa Bayport Financial Services, Ngula Cheyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MH. MECK SADICK AONGOZA ZOEZI LA KUOSHA MAGARI...

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Meck Sadick akizindua zoezi la kuosha Magari katika viwanja vya Leaders Club kwa ajili ya kuchangia Fedha kwa waandishi wa Habari ambao wanamatatizo ya Kiafya ikiwemo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO KUJADILI ILANI YA CCM 2015-2020 DODOMA

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Rajab Luhwavi akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo aliendesha kikao maalum cha kamati kuu ya CCM...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKABIDHI ZAWADI ZA WASHINDI WA MASHINDANO YA TANO...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu wakati wa hafla fupi ya Utoaji wa Tuzo na Kuwakirimu washindi wa Mashindano ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA MAONESHO YA SABASABA

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE), Ndugu Sabetha Mwambenja mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Maonesho wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PINDA AALIKWA FUTARI YA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI WA DAR ES SLAM NA...

Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda   akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Kamati za Amani za mikoa ya Dar es salaam na Mwanza walioshiki katika futari iliyoandaliwa na Kamatiya Amaniya mkoa wa Dar es salaam...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live