Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli - CCM Edward Lowassa aendesha...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipanda Mti katika eneo la Kanisa hilo.Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono...
View ArticleANZA WEEK END YAKO NA SKYLIGHT BAND LEO NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE
Kutoka kushoto ni Digna Mbepera, Mary Lucos, Aneth Kushaba AK47 na Joniko Flower....Kikosi kazi cha Skylight Band kikitoa burudani kwenye Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini...
View ArticleSHUKRANI KWA UPENDO NA UMOJA MLIOONYESHA KATIKA MSIBA WA MARTHA SHANI
DMK, Alex Kassuwi na Davis Mosha wakisubiri mwili wa Martha Airport October 30, 2013--- SHUKRANINa Alex KassuwiNdugu zangu hadi hivi sasa siamini yaliyotokea, bado haijaingia akilini kama mke wangu...
View ArticleYAH:Mchango wa ununuzi wa jengo la Madrasa Buguruni Dar
Al-khayr Madrasa ilipokuwa mwanzo kabla ya kuuzwaAl-khayr Madrasa ilipo sasa panapotakiwa kuendelezwaAl-khayr Madrasa, iliyoanzishwa mwaka 1980, Buguruni Kisiwani jijini Dar es salaam, Tanzania,...
View ArticleSHEREHE YA KUMKARIBISHA BALOZI MULAMULA YAFANA DMV, AWAASA WATANZANIA WAWE...
Mhe. Balozi Mulamula akiingia ukumbini kwenye sherehe ya kumkaribisha rasmi nchini Marekani iliyoandaliwa na jumuiya ya Watanzania DMV siku ya Jumamosi Novemba 9, 2013 Lanham, Maryland na kuhudhuriwa...
View ArticleTamko rasmi la Ndugu Zitto Z. Kabwe kuhusiana na kinachoitwa "Taarifa ya Siri...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAMKO rasmi la Ndugu Zitto Z. KABWE (MB) kuhusiana na kinachoitwa "Taarifa ya Siri ya Chadema"Ndugu Wanahabari,NILIPOKUWA katika ziara ya bara la Ulaya kati ya Oktoba 21...
View ArticleMAMA SALMA KIKWETE AFUNGUA WARSHA YA VIONGOZI WA KIMASAI JIJINI DAR
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akifungua rasmi warsha ya siku moja ya viongozi wa kimila wa jamii ya wafugaji kuhusu afya ya uzazi na kuzuia...
View ArticleMZIZIMA ROTARY CLUB YAMPA TUZO MKURUGENZI WA SHIRIKA LA NYUMBA (NHC)KWA...
Rais wa Mzizima Rotary Club Bw. Ambrose Ntageki Nshala akikabidhi cheti maalum cha kutambua utendakazi na mchango wa Nehemia Mchechu Kyando Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba (NHC) wakati Club hiyo...
View ArticleRAIS KIKWETE AFANYA UTEUZI MPYA WA WAKUU WA TIRDO, MHIFADHI MKUU WA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wa Shirika la Utafiti wa Maendeleo ya Viwanda (TIRDO), Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya...
View ArticleMrema kuzikwa kesho Kiraracha
Katibu wa Bunge,Dr. Thomas Kashilila anasikitika kuwataarifu kifo cha mtumishi wa Ofisi ya Bunge ktk idara ya shughuli za Bunge, Mkurugenzi Msaidizi Ndg. Anselm Lyatonga Mrema kilichotokea usiku wa...
View ArticleAIRTEL KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA ELIMU NCHINI
Meneja masoko wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kanda ya kusini na mkoa wa Morogoro Aminata Keita akimkabidhi Mwalimu Mkuu Msaidizi wa shule ya sekondari ya Chalinze iliyopo mkoani Pwani baadhi...
View ArticleDk Bilal, azindua rasmi benki ya Maendeleo PLC jijini Dar leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifunua kitambaa kuashiria kuweka Jiwe la Msingi katika benki ya Maendeleo PLC, wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa...
View ArticleMkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Robert Manumba Astaafu Rasmi...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya jinai (DCI) Robert Manumba--DAR ES SALAAM NOVEMBER 11, 2013. Jeshi la Polisi nchini linapenda kuutaarifu umma kwamba aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA MAENDELEAO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO MHE. UMMY MWALIMU...
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akifungua kikao cha majadiliano ya taarifa juu ya Utafiti Kuhusu Hali ya Demokrasia katika ngazi za chini kwa mtizamo wa...
View ArticleRAIS KIKWETE AWASILI SRI LANKA KUHUDHURIA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete wakilakiwa kwa ngoma za kitamaduni mara baada ya kuwasili jijini Colombo, Sri Lanka, leo Novemba 14, 2013 tayari kwa mkutano wa wakuu wa nchi...
View ArticleKINANA AWASILI MTWARA LEO
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasilimia baadhi ya viongozi wa CCM, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege mjini Mtwara asubuhi hii, tayari kwa safari ya kwenda katika mikoa ya Ruvuma na...
View ArticleKCB BENKI YAENDESHA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI
Mkurugenzi Mtendaji wa KCB Tanzania,Bw.Moezz Mir akifungua semina ya wajasiriamali wadogowadogo na wakati ikiwa na lengo la kuwaelimisha jinsi ya kufanyabiashara na kutumia mikopo kwa njia...
View ArticleShehena kubwa ya pembe za tembo ikiwa na vipande 1,021 na uzito wa kilo 2,915...
Baadhi ya Pembe za Tembo zilizokamatwa katika bandari ya Malindi Zanzibar yakisubiri kuhisabiwa kupata idadi kamali na thamani yake na uzito kwa ujumla. Zoezi likiendelea kupekuwa makunia ya Makombe...
View ArticleWANANCHI KUSINI WATAKA KOROSHO IBANGULIWE NCHINI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Viongozi wa CCM pamoja na wananchi wa wilaya ya Tunduru mara baada ya kuwasili kwenye wilaya hiyoikiwa sehemu ya ziara yake ndefu katika mikoa...
View ArticleTIMKA NA BODABODA YA VODACOM YAFIKIA PAZURI
Meneja Uhusiano wa Umma Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu(katikati)akiwaonesha moja ya namba ya simu ya mshindi aliejishindia Pikipiki katika promosheni ya”Timka na Bodaboda” kwa Ofisa wa huduma za...
View Article