Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTUMISHI YAWAAGA WATAALAMU 12 WA KUJITOLEA KUTOKA JAPANI WALIOMALIZA MUDA WA...

 Mtaalam wa Kujitolea kutoka nchini Japani Bw.Koji Ueda akielezea namna alivyofanya kazi katika shule ya Sekondari Sogesca iliyoko mkoani Mwanza,katika hafla fupi ya kuwaaga wataalam wa kujitolea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YAONGOZA AFRIKA MASHARIKI KWA UWEKEZAJI

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dk. Florence Turuka (wa pili kulia) akionyesha ripoti ya Dunia ya mwaka 2015 kuhusu uwekezaji mara tu baada ya kuizindua kwenye hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YATOA 20M/- KUFUTURISHA VITUO VYA WATOTO YATIMA NCHINI

  Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi akiongea na waandishiwa wa habari katika hafla ya makabidhiano ya hundi kwa Bakwata, kwa vituo mbalimbali vya watoto yatima hapa nchini vyenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANACCM 21,000 WA MKOA WA PWANI WAMDHAMINI BERNARD MEMBE

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akilakiwa na umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi waliofurika nje ya viwanja vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KONGAMANO LA HUAWEI CLOUD CONFERENCE-LAFANYIKA DAR ES SALAAM

Mkurugenzi Mtendaji wa Huawei Tanzania, Zhang Yongquan akitoa hotuba yake katika kongamano la Huawei Cloud Conference 2015, wakitazama (kutoka kushoto hadi kulia); Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONANA NA BALOZI WA ITALY NCHINI TANZANIA KWA...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Italy Nchini Tanzania, Luigi Scotto, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AKUTANA NA KAIMU MUFTI MKUU WA TANZANIA SHEIKH ABUBAKAR ZUBEIRY...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry Ikulu jijini Dar es salaam jana.Juni 24,2015.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Kaimu Mufti Mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM NDG. ABDULRAHMAN KINANA KATIKA ZIARA JIMBO LA SUMVE LEO

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiswaga Ng’ombe ili kunywesha kwenye Lambo la kisasa la kunywesha mifugo la kijiji cha Mwagi Kishiri katika jimbo la Sumve wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BOTI YA KILIMANJARO V YAZINDULIWA ZANZIBAR

Mkurugenzi wa kampuni ya Azam Hussein Moh’d Said akiwaelezea Waandishi wa Habari juu ya safari ya Boti hiyo Kilimnjaro V  zitakavyokuwa kati ya Zanzibar na  Dari-esaalam .( Pcha zote Na Miza Othman...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, LAZARO NYALANDU APATA WADHAMINI MKOANI RUVUMA

 WANACHAMA na mashabiki wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Ruvuma, wakishangilia kwa furaha wakati Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akiwasili kwenye Ofisi za CCM Mkoa wa Ruvuma, kuomba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PSPF YATOA ELIMU KATIKA WIKI YA MAONESHO YA UTUMISHI WA UMMA

 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi  Ombeni Sefue (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF Bw. Abdul Njaidi     (kulia) juu ya shughuli mbalimbali za PSPF, wengine ni...

View Article

VICKY KAMATA AKIMSIFIA KINANA GEITA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAHADHARI YA UGONJWA WA NIMONIA INAYOTOKANA NA CORONA VIRUS

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMIITAARIFA KWA UMMA.TAHADHARI YA UGONJWA WA NIMONIA INAYOTOKANA NA CORONA VIRUS…………………………………………………..Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 40 ZA UHURU WA MSUMBIJI

Rais wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi amkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete katika uwanja wa Michezo wa Michezo wa Machava jijini Maputo Msumbiji kuhudhuria sherehe za miaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHAKA MCHAKA WA LOWASSA WATINGA MANYARA LEO, APATA UDHAMINI WA WANACCM 42, 405

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Edward Lowassa akizungumza wakati akiwashukuru wanaCCM wa Mkoa wa Manyara, waliomdhani ili apate ridhaa ya chama chake kuwania Urais wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO, ZITTO KABWE, AKAGUA SOKO KUU WILAYANI...

Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akimsikiliza Mwenyekiti wa Soko Kuu wilayani Masasi Mkoani Mtwara, Abdallah Mandoma, lililoteketea kwa moto usiku wa kuamkia jana, mjini humo ambapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA MALAWI KATIKA SHEREHE ZA UHURU WA MSUMBIJI

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Wa Malawi Profesa Peter Mutharika wakitoka katika uwanja wa michezo wa Machava jijini Maputo Msumbiji baada ya kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 40 ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WAASWA KUJITOKEZA KATIKA HARAMBEE YA KUCHANGIA WANAHABARI...

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya kuratibu Harambee ya kuwachangia waandishi wa habari wanaougua maradhi mbalimbali ikiwemo ugonjwa sugu wa saratani Bw. Benjamin Thompson Kasenyenda akitoa wito kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA CRDB KUANZA KUUZA HISA STAHILI

  Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akifungua mkutano wa wanahisa wa benki hiyo katika Hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaam. Katibu wa Benki ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPE NNAUYE -AMALIZA MGOGORO WA WAFANYAKAZI WA UHURU PUBLICATIONS LTD

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Siasa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (kushoto), akigana na wafanyakazi wa kampuni ya Uhuru Publications Ltd (UPL), inayochapicha magazeti ya Uhuru na Mzalendo...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live