Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6854 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU KIONGOZI ATEMBELEA BANDA LA MAMBO YA NJE KWENYE WIKI YA UTUMISHI...

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushiriano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya akimkaribisha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue kwenye Banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UHAKIKI WA VIKUNDI VYA VIJANA KATIKA MKOA WA LINDI NA MTWARA WAFANYIKA

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Bw. Nicholous Kombe akimsikiliza Meneja wa Huduma kwa Jamii wa NHC Bw. Muungano Saguya akimshukuru kwa Halmashauri hiyo kusaidia kikundi cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AKAGUA MIRADI MBALIMBALI SENGEREMA LEO, KESHO KUINGIA MISUNGWI

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikata utepe kuaindua rasmi kivuko cha Super Sumar kinachofanya safari zake kati ya Pwani ya Kamanga wilayani Sengerema na Mwanza wakati Katibu Mkuu huyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YA AWAMU YA NNE YAFANIKIWA KUIMARISHA UMOJA,AMANI NA UTULIVU...

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Angelina Madete akiwaeleza waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu mafanikio ya serikali ya nne ikiwamo kujenga umoja, amani na utulivu miongoni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Peramiho na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge,Jenista Mhagama bungeni mjini Dodoma Juni 22, 2015.(Picha zote na Ofisi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YA MAREKANI YAZINDUA MRADI WA DOLA MILIONI 14.5 WA KULINDA...

Balozi  wa Marekani nchini Tanzania Mark Childress akizungumza katika uzinduzi wa mradi wa PROTECT  wa dola za kimarekani Milioni 14.5 wa kulinda mazingira,kukuza uhifadhi na utalii nchini hapa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA.CHAFANA

Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili Mh. Ali Hassan Mwinyi akizungumza na watumishi wa Umma na wananchi wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2015 katika Viwanja vya Mnazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNESCO KUWAWESHESHA WAJASIRIAMALI JAMII YA KIMASAI NGORONGORO

Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues (kulia) akimwelezea Katibu Tawala, Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, Lemuel Kristian Kileo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA LEO ALIKUWA NA WANAKWIMBA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Mbunge wa jimbo la Kwimba Mhe. Shanif Hilan Mansoor wakati alipowasili katika kijiji cha Hungumalwa njia panda ya Mwamashimba wakati alipoanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE NA DKT. REGINALD MENGI IKULU, DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari (MOAT) Dkt Reginald Mengi wakiongea na kubadilishanma mawazo Ikulu,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI BERNARD MEMBE AKUTANA NA WASANII WA FILAMU MKOA WA MOROGORO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akizungumza na wasanii wa tasnia ya filamu mkoa wa Morogoro jana, wakati alipokuwa mkoani humo kwa ajili ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI ZA MAAFA ZA TAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO WA MENEJIMENTI YA MAAFA

Mratibu Maafa, Idara ya uratibu maafa,  Ofisi ya Waziri Mkuu, BenedictKisaka akitoa mafunzo ya menejimenti ya maafa wakati wa mafunzo kwawaratibu maafa mkoani Kagera tarehe 24 Juni, 2015.Kaimu Katibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM ZANZIBAR YALAANI CUF KUSUSIA VIKAO VYA BARAZA

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai akizungumza na Waandishi wa Habari katika Afisi kuu CCM Kisiwandui ambapo amelaani hatua ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wa Chama cha CUF kugomea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOROGORO WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI WAZIRI BERNARD MEMBE

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (mwenye miwani), akilakiwa na umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi waliofurika nje...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI, ALLI HSSAN MWINYI AFUNGA MAONESHO YA WIKI YA...

Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alli Hssan Mwinyi akitoa hotuba yake wakati akifunga maonesho ya wiki ya Utumishi wa Umma yaliofikia kilele.Juni 23,2015.………………………………………….Na Eleuteri Mangi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF), MWESIGWA...

Kocha Mkwasa (kushoto),na Msaidizi wake Hemed Morocco wakizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.…………………………………………………………………………….Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF),...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIJANA MWINGINE KUINGIA KINYANG’ANYIRO CHA URAIS

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO JIJINI ARUSHA LEO, WANACCM 120,335 WAMDHAMINI

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa (wa tatu kulia) sambamba na Mkewe Mama Regina Lowassa, wakiongozana na viongizi mbali mbali wa Chama wa Mkoa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA JIMBO LA KWIMBA MKOANI MWANZA

Sehemu ya Umati wa wakazi wa wilaya ya Kwimba na vitongoji vyake wakiwa wamekusanyika katika mkutano wa hadhara,Uwanja wa Mpira wa Ngudu, wilayani humo, wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri uwanjani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TPB YAZINDUA HUDUMA MAALUMU YA AKAUNTI KWA VIKUNDI VISIVYO RASMI

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, (NEC), Beng’I Issa, (kushoto), akikata utepe kuzindua huduma maalum ya akaunti ya vikundi visivyo rasmi, jana.KATIKA  jitihada za...

View Article
Browsing all 6854 articles
Browse latest View live