Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANAPA KUTOA TUZO KWA WAANDISHI WA HABARI ZA UTALII NA UHIFADHI JIJINI MWANZA...

Meneja  Uhusiano wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini (Tanapa),Pascal Shelutete akizungumza na waandishi wa habari kwenye Makao makuu ya shirika hilo leo jijini Arusha juu ya utoaji Tuzo za umahiri wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI FEZA SCHOOLS WASHINDA KIMATAIFA ‘GENIUS OLYMPIAD’

Mwanafunzi wa Shule ya Kimataifa ya Fedha mwaka 11, Khalfan Kikwete (kulia) ambaye alishinda medali ya dhahabu pamoja na mwenzake Seif Yahya Mhata wakizungumza na waandishi wa habari.Mwanafunzi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AONGOZA SIKU YA KUPIGA VITA MADAWA YA KULEVYA DUNIANI MJINI...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua mpango wa mawasiliano kuhusu athari za magonjwa mbalimbali hatarishi kupitia simu ya mkononi akiwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Seif  Selemani Rashid na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AVUNA WANACHAMA WAPYA, AMNG’OA MWENYEKITI WA (BAWACHA) CHADEMA WILAYA...

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akionyesha kadi zilizokuwa  za wanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo na vyama vingine mara baada ya wanachama hao kujiunga na CCM katika mkutano wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE KATIKA HAFLA YA MIAKA MIWILI YA KUTAWAZWA KWA POPE FRANCIS KUWA...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS JAKAYA KIKWETE, MAKAMU WAKE DKT. BILAL WAWAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, marehemu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI LUKUVI AFANYA ZIARA IRINGA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Vangimembe Lukuvi akiwasili kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Iringa na kupokelewa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa, Wamoja Ayoub huku Meya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR YAANZISHA MRADI MKUBWA WA ULINZI KATIKA...

Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum, Haji Omar Kheir alienyoosha mikono akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu mradi wa Uwekaji Kamera za kiusalama katika mji wa Zanzibar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJUMBE WA BODI YA FILAMU WATEMBELEA OFISI ZA PROIN PROMOTIONS NA KUJIONEA...

 Mjumbe wa Bodi ya Filamu kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Bi.Vicensia Shule(wa kwanza kutoka kushoto) akimwuliza  jambo Mwenyekiti wa makampuni ya Proin Bw,Johnson Lukaza(hayupo pichani) leo jijini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WA FILAMU WAIPONGEZA BODI YA FILAMU TANZANIA

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya biashara ya DCB Bw. Samwel Dyano akimkaribisha Mwenyekiti wa Bodi ya Benki hiyo Balozi Paul Rupia hayupo pichana juzi jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU WAFIKIA MUAFAKA

Baadhi ya wadau wa filamu nchini ambao ni TRA, Bodi ya Filamu Tanzania na Chama cha Wasambazaji wa Filamu wakiwa katika kikao ili kujadili changamoto katika tasninia hiyo mapema juzi jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CCM RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM JIJINI DAR...

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM jijini Dar es salaam-Juni 27,2015.PICHA NA IKULU

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIMU YA VITO FC YAAGWA NA KUAHIDI KUREJEA NA USHINDI

Balozi wa Finland nchini Tanzania Bibi. Sinikka Antila akifurahia jambo na wachezaji wa Timu ya VITO FC kutoka Kilwa mkoani Lindi, ambayo ilikuwa inaagwa jana kwaa ajili ya kuelekea nchini Finland kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AFUNGA MAFUNZO YA UONGOZI WA NGAZI YA JUU KWA MAAFISA WA JESHI...

Rais Jakaya Mrisho kikwete akifunga  Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam leo Juni 27, 2015.PICHA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMIA YAMUAGA MWANDISHI KAMUKARA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo  (Chadema), Freeman  Mbowe akizungumza na Katibu Mkuu wa Chama hicho,Dk.Wilbroad Slaa wakati wa kuaga Mwili wa Mhariri wa Mawio ,Edson Kamukara  katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAFURIKO YA LOWASSA YAHAMIA JIJINI DAR, AKOMBA UDHAMINI WA WANACCM 212, 150

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akifurahia jambo wakati Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Ramadhan Madabida (hayupo pichani) akizungumza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA ZIARANI UKEREWE

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia wakazi wa kijiji cha Sambi kata ya Irugwa, wilayani Ukerewe waliojitokeza kwa wingi kumpokea ,Kinana ameweka historia kwa kuwa kiongozi wa kwanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MAJESHI MSTAAFU JENERALI SARAKIKYA APEWA TUZO YA HESHIMA NA TANAPA...

Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu aki mkabidhi tuzo maalum ya heshima Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerari Sarakikya akiwa na mkewe kwa kupanda mlima Kilimanjaro mara 38, Jenerari Sarakikya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA AFUNGA MKOA WA MOROGORO

Katibu wa CCM Wilaya ya Morogoro Mjini, Kulwa Milonge, akionyesha fomu zenye orodha ya majina ya wanachama wa ccm,104,03  waliomdhamini kugombea urais, Waziri Mkuu wa zamani, Edward...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKUU WA IDARA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAMPA ZAWADI KATIBU MKUU WAO...

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi (kulia) akimkabidhi zawadi ya Ngao ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema, Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil, kwa niaba ya...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live