Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA WAIKUNA ARUSHA

 Profesor Jay akihamsisha wananchi kujitokeza kwenda kujiandikisha "NDUGU ZANGU WANA WA ARUSHA NA TANZANIA KWA UJUMLA TUJITOKEZE KUJIANDIKISHA ILI TUJIHAKIKISHIE UHURU WA KWELI NA SIO MATUMAINI" Mbuge...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEIKH SHARIFU MSOPA ATOA OFA YA MAOMBI KWA VIONGOZI NA WANANCHI KUTUMIA...

 Sheikh Sharifu Msopa akisisitiza jambo wakati akizungumza na wanahabari Dar es Salaam leo Hoteli ya Shamoloon iliyopo Sinza kuhusu maombi hayo maalumu.  Sheikh Sharifu Msopa (kulia), akizungumza na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM KOMREDI KINANA AHANI MSIBA WA MAREHEMU MHE.SAMUEL LUANGISA...

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akitia saini kwenye kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo ya Marehemu Jaji Mstaafu Samuel Luangisa nyumbani kwake kwa marehemu Kitendagulo,mjini Bukoba mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA ASHIRII JUBILEE YA MIAKA 50 YA SEMINARI YA MTAKATIFU KALOLI LWAHANGA,...

Waziri Mkuu Mstaafu, na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, (wapili kushoto), akiwa na Askofu  wa Jimbo Katoliki la Lulenge Ngara, mkoani Kagera, Severine Niwemuguzi baada ya kuzindua jiwe la msingi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAALIM SEIF AHUTUBIA KATIKA MKUTANO WA HADHARA ULIOFANYIKA KIBANDAMAITI,...

Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia wafuasi na wapenzi wa chama hicho katika viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar.Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Ibrahim Lipumba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTANGAZA NIA YA UBUNGE JIMBO LA KAWE KUPITIA CCM, WAKILI ELIAS NAWERA AHIMIZA...

 Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Wakili Elias Nawera ambaye ametangaza nia ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia CCM akizungumza na wananchi hasa vijana kwenye fainali ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE ATEMBELEA VISIWA VINNE...

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana,  akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Mpira wa Muleba mjini mkoani Kagera KATIBU  NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA AVIC TOWN YAANZA KUUZA NYUMBA ZAKE ULIYOZIJENGA MRADI WA KIBADA...

 Nembo ya Kampuni hiyo ya Avic Town. Ofisa Masoko wa Kampuni Avi Town, Kidani Muhombolage (kulia) akiwaongoza wateja walipotembelea mradi wa nyumba za aina saba zilizojengwa na kampuni hiyo zilizopo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYALANDU ASAKA WADHIMINI ZANZIBAR AZUNGUMZIA UMUHIMU WA MUUNGANO

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazro Nyalandu akiongea na waandishi mjini Zanzibar leo wakati wa kutafuta wadhamini ili aweze kugombea Urais kwa tiketi ya ccm, Pembeni kulia ni mkewe Faraja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODI YA MIKOPO KUBORESHA HUDUMA KATIKA KUPAMBANA NA MIGOMO

Na Georgina Misama-MAELEZO Dodoma…………………………..Katika kuboresha mahusiano kati ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu na Tume ya Vyuo Vikuu na kuondosha migomo na maandamano ya wanafunzi dhidi ya Bodi,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFUMUKO WA BEI WAONGEZEKA NCHINI

Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo akitoa taarifa ya kuongezeka kidogo kwa mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Mei 2015 leo jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WILLIAM LUKUVI AWASILISHA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YAKE KWA...

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akiwasilisha Makadirio ya Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka 2015/16 bungeni mjini Dodoma  Juni 8, 2015,Waziri wa Ardhi, Nyumba na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AAR CELEBRATES WORLD ENVIRONMENT DAY AT MSASANI

     AAR Insurance Tanzania Ltd celebrates the world environment day by involving in several environmental actions, doing cleanness along Kimweri Road, cleaning sewage channels, and removing all the...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIMU YA TAIFA YA TANZANIA TAIFA STARS YAENDELEA NA MAZOEZI ADDIS ABABA

………………………………………………………………….Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, (Taifa Stars) kinachodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro kimeendelea kujifua katika uwanja wa Benki ya Biashara ya Ethiopia eneo la CMC...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA TAMASHA LA BULABO KABILA LA WASUKUMA MKOANI...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akihutubia Wananchi wa Kijiji cha kisesa Wilaya ya Magu,katika sherehe za Kimila ya wasukuma   zilizofanyika Mkowani Mwanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK.SHEIN NA UJUMBE WAKE WATEMBELEA KAMPUNI YA MAGARI MERCEDES- BENZ

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (watatu kulia) akiwa na ujumbe wake wakiapata maelezo kutoka kwa Adam Nowak M.A.Afisa  anaehusika na ufundi wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MILIONI 40 ZACHANGWA KWA UJENZI WA MAABARA YA SEKONDARI

Na Beatrice Lyimo- Maelezo…………………………………….Bahari Rotary Klabu  ikishirikiana na HANSA GROUP wamefanya harambee ya tano kwa ajili ya kuchangia Shule ya Sekondari Mtakuja iliyopo Kunduchi jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WATOA MAONI JUU YA MUWSA KUOMBA KUPANDISHA BEI YA UTOLEWAJI WA...

Viongozi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wamazingira mjini Moshi,MUWSA wakifuatilia hotuba iliyokuwa ikitolewa namkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama (hayupo pichani) wakati wautolewaji wa maoni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA FINCA IMEWEKEZA BILIONI 22.

Mkurugenzi  Mtendaji wa Benki ya FINCA, Edward Greenwood akizungumza wakati wa kuzindua Benki ya FINCA jijini Dar es Salaam leo. Mkurugenzi wa Fedha wa benki ya FINCA, Thabiti Ndilahomba akizungumzia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABOMU YATAWALA CHUO CHA KAMPALA

Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Kimataifa Cha Kampala (KIU) wakiwa katika maandamano leo katika chuo hicho baada ya Kitivo cha Famasia kushindwa kutambulika na mamlaka mbalimbali. Askari wa Polisi wakiwa...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live