
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akiwasilisha Makadirio ya Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka 2015/16 bungeni mjini Dodoma Juni 8, 2015,
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendekeo ya Makazi Mh. William Lukuvi (MB) akijadili jambo na Watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Mkuregenzi Mkuu wa Shirika hilo Bwn. Nehemiah Mchechu (kulia) na Meneja wa Shirika hilo Mkoa wa Dodoma, Bwn. Itandula Gambalagi.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendekeo ya Makazi Mh. William Lukuvi (MB) akibadirishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Bw. Nehemiah Mchechu, baada ya kuwasilisha Bungeni bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi leo Dodoma.
Na. Georgina Misama…Maelezo…Dodoma.