MKUTANO WA 6 WA WADAU WA GEPF WAANZA LEO JIJINI TANGA
Mgeni Rasmi katika Mkutano wa sita wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu GEPF, Naibu Waziri wa Fedha, Mh. Adam Malima akitoa hotuba yake katika ufunguzi wa Mkutano huo, ulioanza leo Mei 28,...
View ArticleWAZIRI MAHENGE:ASILIMIA 61 YA ARDHI NCHINI IMEHARIBIKA, AIRTEL YAPIGA JEKI...
ASILIMIA 61 ya ardhi nchini imeharibika kutokana uharibifu wa mazingira ya ardhi katika vyanzo vya mbalimbali na kusababisha kuzama kwa baadhi ya viziwa kutokana na mabadiliko ya tabianchi.Hayo...
View ArticleTBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI SHULE YA UHURU MCHANGANYIKO DAR
Ofisa Elimu Taaluma Manispaa ya Ilala, Rehema Msogoloni (wa pili kulia) akisaidiana na Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (wa pili kushoto), kufunua...
View ArticleTIGO NA HUAWEI ZATOA MSAADA WA KOMPYUTA 10 NA HUDUMA YA INTANETI KWA SHULE YA...
Meneja Mahusiano kwa Umma wa kampuni ya Huawei Jin Liguo akiongea na waandishi , Walimu na Wanafunzi wa Shule ya msingi Chuda wakati wa sherehe za kukabidhi kompyuta 10 zenye inteneti ya bure ya Tigo...
View ArticleMWENGE WA UHURU WAZINDUA MAGARI YA UKUSANYAJI TAKA YA KAMPUNI YA GREEN WASTE...
Kiongozi wa Wakimbiza Mwenge Kitaifa, Bw. Juma Khatibu Chum akiwa ameshika mwenge baada ya kufika mtaa wa Kisutu jijini Dar kwenye uzinduzi wa magari mapya ya kuzoa taka katika manispaa ya Ilala...
View ArticleATCL YAONGEZA SAFARI ZAKE VISIWA VYA COMORO.
Na Mwandishi wetu………………………………………Dar es Salaam: May 29, 2015: SHIRIKA la ndege la taifa (ATCL) limetangaza uamuzi wake wa kuongeza idadi ya safari zake kuelekea visiwa vya Comoro hatua inayolenga...
View ArticleSKYLIGHT BAND KUTUMBUIZA LEO KATIKA LUKAS PUB
Waimbaji wa Skylight Band wakiendelea kutoa burudani ya kukata na shoka kwenye stageni na moja ya nyimbo zaoJoniko Flower naye katika muziki wa live hashikiki kwa sauti,viuno mpaka pumzi ni...
View ArticleTANZANIA YAADHIMISHA SIKU YA HEDHI DUNIANI
Afisa Elimu Mkuu kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Bi Madina Juma, akihutubia wakati wa maadhimisho ya siku ya hedhi duniani yaliyofanyika kwa mara ya kwanza Tanzania jana jijini Dar es...
View ArticleWIZARA ITAPUNGUZA KWA ZAIDI YA NUSU GHARAMA ZA UPIMAJI ARDHI ILI KILA...
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh William Lukuvi akisisitiza jambo wakati alipozungumza na Wakuu wa sekta mbalimbali mkoani Tabora leo kuhusiana na masuala yanayohusu sekta ya ardhi...
View ArticleASILIMIA 42% YA WATOTO WAMEDUMAA TANZANIA
Na Gladness Mushi ,ArushaAsilimia 42 ya watoto wamedumaa nchini Tanzania hali inayosababishwana kukosekana kwa lishe bora yenye virutubisho hivyo hivyo kusababishaudumavu na kuathiri afya ya...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA KUAPISHWA RAIS WA NIGERIA LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Mkewe Mama Asha Bilal, wakiteremka kwenye Ndege walipowasili Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Nnamdi Azikiwe Abuja...
View ArticlePINDA AHUTUBIA SHEREHE ZA MIAKA 25 WA TAWLA
Baadhi ya wananchama wa Chama cha Wanasheria Wananwake (TAWLA) wakipita kwa maandamano mbele ya mgeni rasmi Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika sherehe za miaka 25 ya TAWLA zilizofanyika kwenye viwanja...
View ArticleMBUNGE LUCY OWENYA AKABIDHI JEZI KWA TIMU ZILIZOFUZU ROBO FAINALI YA LUCY...
Dkt Fidelis Owenya akikabidhi jezi kwa vilabu nane vilivyo fuzu kucheza hatua ya robo fainali katika mashindano ya kombe la Mbunge lijulikanalo kama Lucy Owenya Cup 2015 yanayofanyika katika jimbo la...
View ArticleMAFUNZO MAALUM YA SHERIA MPYA YA MANUNUZI YA UMMA YAFANYIKA JIJINI DAR
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania(TIA) Dkt.Joseph .M.Kihanda mwenye suti nyeusi(waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki wa Mafunzo maalum kuhusu sheria mpya ya manunuzi ya...
View ArticleCCM WASHINDA NAFASI YA UENYEKITI MJI MDOGO WA HIMO.
Msimamizi wa Uchaguzi na mkurugenzi wahalmashauri ya wilaya ya Moshi,Fulgence Mponji akizungumza wakati wakutangaza matokeo katika uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa mji mdogowa Himo.Baadhi ya wajumbe...
View ArticleMH. LOWASSA KUANZA “SAFARI YA MATUMAINI” MCHANA WA LEO
Gari iliyombeba Mtangaza nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa ikipita nje ya uwanja wa Sheih Amri Abeid, jijini...
View ArticleMWANDISHI WA HABARI MWANDAMIZI ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UDIWANI KWA TIKETI...
Mwandishi wa Habari mwandamizi Bi. Celesencia Kapinga akisisitiza jambo mbele ya waandishi wa habari ambao hawapo pichani wakata alipotangaza nia ya kugombea udiwani kata ya NDILIMALITEMBO Wilaya ya...
View ArticleUJUMBE WA MAOFISA WA UMOJA WA BENKI ZA AKIBA DUNIANI KANDA YA AFRIKA...
Meneja wa Tawi la Benki ya Posta Zanzibar Ndg Justin S.Nandonde akisalimiana na kumkaribisha wageni wake walipotembelea Tawi hilo Zanzibar kujionea utendaji wa Benki ya Posta Tawi la Zanzibar wakiwa...
View ArticleEDWARD LOWASSA ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS WA TANZANIA, JIJINI ARUSHA
Mtangaza nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wananchi waliofurika kwa wingi kwenye...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA MAALIM SEIF IKULU DAR ES SALAAM
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad ikulu jijini Dar es Salaam(picha na Freddy Maro)Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye...
View Article