DKT. MAGUFULI AMWAGIZA MTENDAJI MKUU TANROADS KUKABIDHI BARABARA YA “DART”
Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.WAZIRI wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli amemwagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Eng. Patrick Mfugale, kukabidhi barabara ya magari yaendayo...
View ArticleCLOUDS FM YASHINDA TENA TUZO YA UBORA YA SUPERBRAND KWA MARA YA TATU AFRIKA...
Picha ya pamoja ya baadhi ya makapuni binafsi waliopewa tuzo bora za viwango,kutoka shoto ni Bi.Dorothy Mashamsham kutoka kampuni ya Mafuta ya PetrolFuel,Mkurugenzi Mtendaji wa ITV/Radio One Bi Joyce...
View ArticleTIMU YA NYOTA FC YAIBUKA KINARA KOMBE LA NDONDO CUP
Wachezaji wa timu ya Umbrella Garden wakielekea katika lango kupiga mikwaju ya Penalti mara baada ya kutoka sare ya goli 1-1mchezaji wa Nyota Fc akipiga Penelti katika lango la Umbrela GardenNaibu Meya...
View ArticleShirika la Nyumba la Taifa lang'aa maonyesho ya Mei Mosi Mwanza
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo akisikiliza maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Julius Ntoga kwenye maonyesho yanayoshirikisha taasisi, asasi na vitengo mbalimbali vya...
View ArticleHAFLA YA ZARI YAFANA MLIMANI CITY , ALIA JUKWAANI, MASHABIKI WAMWITA WIIFI,...
Kijana Nassib Abdul maarufu kama Diamond Plutnumz akiwasili na mpenzi wake Zari katika Hafla iliyopewa jina “Zari All White Party” iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam...
View ArticleDR. SHEIN AZINDUA MFUKO WA UCHAGUZI MKOA MAGHARIBI KICHAMA.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda jana wakati wa Uzinduzi wa mfuko...
View ArticleRAIS KIKWETE ATUNUKIWA TUZO NA TUCTA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo maalumu toka kwa Gratian Mukoba, Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) wakati wa kilele cha Mei Mosi Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza...
View ArticleBONDIAI FLOYD MAYWEATHER AMPIGA MFILIPINO MANNY PACQUIAO KWA POINTI
Mwanamasumbwi Floyd Mayweather Jr. amemshinda kwa pointi mpinzani wake Mfilipino Manny Pacquiao katika pambano la ngumi la kimataifa na kuchukua mkanda wa dunia wa WBC kwenye pambano uliofanyika...
View ArticleADAM NA LILIAN WAMEREMETA JIJINI DAR ES SALAAM
Bwana Harusi Adam Mzee na mkewe Lilian wakiwa wamepozi mara baada ya kufunga ndoa na kufanya sherehe nyao kubwa kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam jana Hongereni sana Bwana Adam Mzee kwa...
View ArticleKasi ya Utekelezaji miradi ya NHC Mtwara yamhamasisha Mkurugenzi wa Bodi ya NHC
Mkurugenzi wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Mchumo akielekeza jambo wakati wa ziara yake aliyoifanya kwenye mradi wa nyumba za gharama nafuu Masasi, mkoani Mtwara ambapo pamoja na mambo...
View ArticleUMOJA WA ULAYA, UN; TUTAPIGANIA UHURU WA HABARI SIKU ZOTE
Na Joachim Mushi, Morogoro UMOJA wa Nchi za Ulaya nchini Tanzania (EU) umepinga vikali vitendo vya kikatili na unyanyasaji wameokuwa wakifanyiwa na vyombo vya dola vya Serikali wanapokuwa wakitekeleza...
View ArticleMOTO WATEKETEZA JENGO MOJA MTAA WA LIVINGSTONE NA NARUNG'OMBE, KARIAKOO JIONI...
Moto mkubwa ukiendelea kuteketeza moja ya jengo lililopo kwenye makutano ya Mtaa wa LivingStone na Narung'ombe, Kariakoo jijini Dar es salaam muda huu. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika mpaka...
View ArticleKATIBU MKUU WA UVCCM SIXTUS MAPUNDA AHARIBU MIPANGO YA WAPINZANI MKOANI IRINGA
Katibu Mkuu wa UVCCM taifa Sixtus Mapunda akiwapa maneno ya kishujaa wakazi wa mkoa wa iringa juliana shonza akiwahutubia wananchi wa mkoa wa iringa viongozi chama cha mapinduzi wakiwa katika meza...
View ArticleMGOMO WA MADEREVA WASABABISHA ADHA KUBWA KWA ABIRIA NCHINI.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Madereva nchini, Rashid Saleh akizungumza na baadhi ya Madereva wenzake walioingia kwenye mgomo leo, kuishinikiza Serikali kuwatimizia matakwa yao waliyoyaomba kwa kipindi...
View ArticleMAMA SALMA KIKWETE AHUDHURIA TAMASHA LA ELIMU YA AFYA YA UZAZI KWA VIJANA...
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Injinia Evarist Ndikilo akimpokea Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete wakati alipowasili kwenye uwanja wa mpira wa Shule ya...
View ArticlePRESIDENT KIKWETE CHAIRS THE HIGH LEVEL PANEL ON THE GLOBAL RESPONSE TO...
The UN Secretary General Ban Ki Moon welcomes President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete to his New York Office where the President chaired The High Level Panel on Global Response to Health Crisis.(photos by...
View ArticlePRESIDENT KIKWETE MEETS PRESIDENT MUSEVENI IN NEW YORK
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete and the UN Secretary General Ban ki Moon during the first meeting of the High Level Panel on The Global Response to Health Crisis held at the UN Headquarters in New...
View ArticleZiara ya Mkurugenzi wa Bodi NHC mkoani Lindi yashuhudia maendeleo makubwa ya...
Meneja wa Shirika la Nyumba Mkoa wa Lindi, Mussa Patrick Kamendu akitoa maelezo ya namna mradi wa nyumba za gharama nafuu Mtanda Mkoani Lindi unavyoendelea wakati wa ziara ya Mkurugenzi wa Bodi, Subira...
View ArticleMGOMO WA MADEREVA HATIMAYE UMEPATA MUAFAKA
Baadhi ya Madereva na Makondakta wa Mabasi wanaondelea na Mgomo, wakiwa wamekaa juu ya Kontena zilizopo kwenye Kituo kikuu cha Mabasi, Ubungo jijini Dar es salaam kusubiria mustakabali wao, huku...
View ArticleRITA YAENDELEA KUTOA VYETI VYA KUZALIWA KWA WANAFUNZI WILAYA YA KINONDONI
Meneja Masoko na Mawasiliano kutoka Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) Bw. Josephat Kimaro akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani} jana Jijini Dar es Salaam kuhusu maendeleo ya...
View Article