WAZIRI MKUU MHE:PINDA ASISITIZA UWAZI KATIKA MATUMIZI YA TAKWIMU SAHIHI
Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akionyesha kitabu kinachoeleza Maendeleo na historia ya Takwimu katika Bara la Afrika alichokizindua leo jijini Dar es salaam. Kushoto ni Rais wa Taasisi ya Kimataifa ya...
View ArticleUWAWATA WAMKABIDHI WAZIRI CHIKAWE RIPOTI INAYOPINGA UPIGAJI WA RAMLI NA...
Mratibu Mkuu wa Umoja wa Waganga na Wakunga wa Tiba Asili Tanzania (Uwawata), Julius Juju (wapili kulia) akimkabidhi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, ripoti inayopinga upigaji wa...
View ArticleMKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, SAID SADIKI AIPONGEZA BOHARI YA DAWA (MSD) KWA...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki akisaini kwenye kitabu cha wageni katika banda la Bohari ya Dawa (MSD), katika maonyesho ya kuadhimisha siku ya malaria yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja...
View ArticleSERIKALI KUIIMARISHA OFISI YA TAKWIMU – WAZIRI MKUU
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali imedhamiria kuiimarisha Ofisi ya Takwimu ya Taifa ili iweze kutoa huduma bora siyo tu kwa Serikali bali hata kwa wananchi kwa sababu wana haki ya kupatiwa...
View ArticleRAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU BRIGEDIA JENERALI MSTAAFU HASHIM...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kuifariji familia ya Marehemu Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita Temeke Chang’ombe jijini Dar es salaam jioni ya...
View ArticleDK.SHEIN AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MKOA WA RUVUMA APRIL 29, 2015.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwasha mwenge wa Uhuru Kitaifa katika uwanja wa Majimaji Songea Mkoa wa Ruvuma leo(kushoto) Waziri wa Vijana Waziri wa...
View ArticleRAIS KIKWETE ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA BRIGEDIA JENERALI HASHIM MBITA
Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Mkuu mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya Umoja wa Afrika(OAU) marehemu...
View ArticleFANYENI REDIO ZENU ZITAMANIKE, WAMILIKI REDIO JAMII WAAMBIWA
Mwezeshaji wa warsha ya Viongozi wa vituo vya redio jamii ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya kuwawezesha wajasiriamali wadogo na wakati (ASMET), Bw. Ramadhan Ahungu akiendesha mafunzo ya...
View ArticleWAZIRI WA MEMBE AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA MAREKANI BILL CLINTON JIJINI DAR...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe Membe akimkaribisha Rais Mstaafu wa Marekani Mhe Bill Clinton Ikulu jijini Dar es salaam Aprili 28, 2015. Rais huyo wa 42 wa Marekani...
View ArticleAMIRI JESHI MKUU NA RAIS WA TANZANIA DKT. JAKAYA KIKWETE AZINDUA MELI VITA ZA...
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa amri kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA MAREKANI BILL CLINTON JIJINI DAR ES...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Mstaafu wa Marekani Mhe Bill Clinton Ikulu jijini Dar es salaam jana April 28, 2015.na kisha kufanya mazungumzo na rais huyo wa 42 wa Marekani yuko nchini...
View ArticleNHIF YAENDELEA NA KAMPENI YA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIUNGA NA CHF KATIKA...
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti Mfuko wa Bima ya Afya wa Taifa (NHIF) Bw, Rehani Athumani akikabidhi mashuka kumi kwa Khatib Said mwenyekiti wa kijiji cha Chumo Wilayani Kilwa mkoani Lindi...
View ArticlePINDI CHANA ATEMBELEA KITUO CHA KULELEA WATOTO.
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mheshimiwa Dkt. Pindi Chana akisisitiza jambo wakati akiongea na watoto pamoja na walezi wa kituo cha Malezi na Makuzi ya Watoto cha Mtambani,...
View ArticleBALOZI WA UMOJA WA AFRIKA AMINA SALUM ALI- ATOA RAMBI RAMBI KWA KIFO CHA...
Balozi Amina Salum Ali …………………………………………Na mwandishi wetu Washington, DCBalozi wa kudumu wa Umoja wa Afrika, Mhe. Amina Salum Ali leo ametoa salamu za rambi rambi kwa Brigedia Jenerali mstaafu Hashim...
View ArticleTANZANITE YAKOSA SOKO HAPA NCHINI KUTOKANA NA WATANZANIA KUTOKUVAA MADINI HAYO
Kulia Mkurugenzi wa kampuni ya madini ya Moreshine Gibson A.Kilala akitoa maelezo kwa Waziri wa nishati na madini George Simbachawene hivikaribuni jijini Arusha mara baada ya Waziri huyo kutembelea...
View ArticleBENKI YA POSTA YAJIVUNIA UTENDAJI BORA KWA MWAKA 2014 ULIYOIPA FAIDA NONO
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Sabasaba Kitewita Moshingi, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam juzi wakati wa kutangaza utendaji wa benki hiyo kwa...
View ArticleTASWIRA ZA SUNDAY CELEBRATION SEASON 6 YA GWT
Waimbaji wa Glorious Worship Team (GWT) wakilishambulia jukwaa katika Sunday Celebration Season 6.Kiongozi wa Bendi ya The Jordan, Daniel Mbepera, akiimba kwa hisia sambamba na bendi yake.Wageni...
View ArticleMKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA, APOKEA VIFAA VYA MICHEZO VYENYE...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo, wakati akipokea msaada...
View ArticleSHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA LAZINDULIWA RASMI NA MKUU WA WILAYA YA...
Mgeni Rasmi katika Sherehe za uzinduzi Rasmi wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mh. Subira Mgalu akizindua Rasmi Mashindano hayo katika kijiji cha Kisanga Mashindano...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA DHARURA WA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Hoteli ya Rainbow, jijini Harare, Zimbabwe kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa dharura wa Viongozi wa Nchi...
View Article