$ 0 0 Bwana Harusi Adam Mzee na mkewe Lilian wakiwa wamepozi mara baada ya kufunga ndoa na kufanya sherehe nyao kubwa kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam jana Hongereni sana Bwana Adam Mzee kwa kuachana na ukapera.Bi Lilian Akipozi kwa picha.Maharusi wakiingia ukumbini Maharusi wakipiga picha na Marafiki.Adam Mzee na mkewe akipiga picha na mabosi wake wapili kutoka kulia ni Ndugu Abdulrahman Kinana Katibu Mkuu wa CCM na wa tatu kutoka kushoto ni Nape nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Adam Mzee ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi CCM.