BOHARI YA DAWA (MSD) YAELEZEA MIPANGO YAKE YA KAZI
Kaimu Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja na Shughuli za Kanda wa Bohari ya Dawa (MSD), Edward Terry (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ukumbi wa Idara Habari Maelezo jijini Dar...
View ArticleMADAKTARI BINGWA KUTOKA INDIA WATOA HUDUMA YA MATIBABU JIJINI ARUSHA
Austin Makani Mratibu wa Kambi ya matibabu Arusha katika kituo cha kutoa huduma kwawanawake (MMC)kilichopo mkabala na Hoteli ya Impala, akizungumza na waandishi wa habari juu ya ujio wa madaktari...
View ArticleWAFANYABIASHARA WA SOKO LA MABIBO WAMLILIA MKUU WA WILAYA YA KINONDONI
Mkuu wa Wialaya ya Kinondoni Mh Paul Makonda akikagua Mazingira ya Soko la ndizi Lililopo Mabibo akiwa ameambatana na Viongozi wa wafanyabiashara wa soko hilo leo alipofika kusikiliza kilio chao.Mkuu...
View ArticlePHILIP MANGULA AONGOZA MKUTANO WA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM WILAYA YA ILALA...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Philip Mangula (kushoto), akihutubia katika mkutano wa wajumbe wa Halmshauri kuu ya CCM, matawi, wenyeviti wa serikali za mitaa na...
View ArticleHUAWEI KUSHIRIKIANA NA MATAIFA YA AFRIKA KUBORESHA MAWASILIANO
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa masuala ya Ugunduzi wa Digitali Afrika wa mwaka 2015 'Innovation Africa Digital (IAD) uliyofanyika nchini Zimbabwe ambapo Huawei ikiwa mshiriki iliahidi kushirikiana...
View ArticleBAADA YA ‘DELETE MREMA VUNJO’ SASA ‘TOKOMEZA MBATIA’
Aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Kata ya Makuyuni, Badi Mandali akizungumza mara baada ya kukabidhiwa kadi ya uanachama wa Tanzania Labour Party (TLP) katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika...
View ArticleMAELFU YA RAIA WAPYA WA TANZANIA WAKIPEWA VYETI VYAO KATIKA MAKAZI YA...
Mkuu wa Makazi ya Mishamo, Fredrick Nisajile akizungumza na maofisa wake (kushoto) kabla ya kuanza kugawa vyeti vya uraia kwa raia wapya wa Tanzania kijijini Ilangu katika Makazi ya Mishamo, yaliyopo...
View ArticleMKUTANO WA KWANZA WA WADAU WA ZSSF WAFUNGULIWA NA RAIS DR.SHEIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika viwanja vya Salama Bwawani Mjini Unguja kuufungua Mkutano wa...
View ArticleRAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MKUU WA WILAYA YA KYERWA...
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrishi Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (Mstaafu) aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ambaye...
View ArticleShirika la Nyumba la Taifa na Soko la Hisa la Dar es Salaam watiliana saini...
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu (kushoto), akibadilishana hati za mkataba na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa wakitiliana saini...
View ArticleBALOZI MPYA WA ANGOLA ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC.
Mhe, balozi wa Angola Agostinho Tavares akipokelewa na afisa wa ubalozi Swahiba Mndeme alipotembelea ubalozi . Mhe, balozi Liberata Mulamula akiwa na furaha baada ya mgeni wake kufika ofisini . Mhe...
View ArticleRAIS MSTAAFU MHESHIMIWA ALI HASSAN MWINYI AWASILI JIJINI WASHINGTON DC.
Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Ali Hassan Mwinyi akiambata na mama Sitti Mwinyi wawasili jijini Washington DC tayari kwa tamasha maalum la Chama cha Ukuzaji wa Kiswahili Duniani. Rais mstaafu wa...
View ArticleBALOZI WA RWANDA NCHINI MAREKANI MHE. MATHILDA MUKANTABANA ATEMBELEA AFISI ZA...
Mhe Balozi wa Rwanda Profesa Mathilda Mukantabana akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa AU Mhe. Amina Salum Ali alipotembelea ofisi za Umoja wa Afrika uliopo Washington, DC nchini Marekani .Balozi...
View ArticleMAJONZI YATAWALA WAKATI WA KUMUAGA BIBI MAGDALENA PETRO MAGIGE
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Magdalena Petro Magige likiteremshwa kutoka kwenye gari tayari kwa kutoa heshima ya mwisho kabla ya safari ya kwenda kuupumzisha kijiji cha Kamange,Tarime mkani...
View ArticleMchechu azindua kitabu cha "The 7 Habits of highly effective people" yaani...
Pichani juu na chini ni mgeni rasmi katika hafla hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu (kushoto) na Ofisa Mtendaji mkuu wa kampuni ya NFT Consult, Badru Ntege...
View ArticleUCHAGUZI UJAO MABADILIKO MAKUBWA, SURA ZA VIJANA KUTAWALA HASA KATIKA UBUNGE
Mjumbe wa mkutano mkuu Taifa (CCM) kupitia mkoa mpya wa Njombe ,Hassan Mkwawa akizungumza na mwandishi wa habari David John.…………………………………………………………………………………..MJUMBE wa mkutano mkuu Taifa (CCM)...
View ArticleUJUMBE WA METOSHA UKIWA METRO FM 99.4 MWANZA!
Kutoka kushoto ni Juma Herman(meneja wa Green Palm Hotel, Issaya Mwakilasa aka Wakuvwanga, Jhikolabwino Manyika, Kelvina John, Mwenyekiti Masoud Kipanya na Tonny Alphonce(Mtangazaji Metro fm 99.4Siku...
View ArticleESAURP, FSDT WAZINDUA MRADI WA KUJENGEA UWEZO WAJASIRIAMALI WADOGO NA WAKATI...
Mkurugenzi Mtendaji wa na taasisi ya utafiti wa vyuo vikuu kusini mwa Afrika (ESAURP), Profesa Ted Maliyamkono akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa kuwajengea uwezo wajasiriamali wadogo na...
View ArticleVIJANA WAMESHAURIWA KUJALI AFYA ZAO KWA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA WA JAMII (CHF)
Mhamasishaji kutoka Wizara ya habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Ester Riwa akifungua semina ya vijana wa Kata ya Lepurko na Sepeko kuhusu Ujasiriamali, Ujuzi, Stadi za Maisha na Mfuko wa...
View ArticleBILLIONAIRE MO TO GIVE AWAY $100M THROUGH MODEWJI FOUNDATION
Mohammed Dewji, head of the $1.25bn MeTL Group and an MP in Tanzania, is set to launch a foundation in May to give away $100m of his fortune.Dewji – ranked 31st richest person in Africa last year by...
View Article