Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VITA YA UJANGILI YAUNGWA MKONO,KIKOSI CHA KUPAMBANA NA UJANGILI CHAPATA ZANA...

Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akikagua magari matano yaliyotolewa kwaajili ya kupambana na ujangili katika kanda ya Kaskazini  kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro(KIA) yakiwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU JAJI AGUSTINO RAMADHANI...

Raisi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za binadamu Jaji Agustino Ramadhani Akihutubia  mkutano wa Haki za binadamu uliofanyika juzi  jijini Arusha lengo la kuimarisha haki za binadamu na kushirikisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA ENEO LA BUGURUNI KWA MNYAMANI...

Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsikiliza mkandalasi wa ujenzi wa mtaro wa kupitishia maji machafu wakati alipotembelea eneo la Buguruni kwa Mnyamani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA WILAYA YA KALAMBO AMUWAKIILISHA MKUU WA MKOA WA RUKWA KATIKA KILELE...

Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Mhe. Willman Kapenjama akikagua chanzo cha Maji katika Kijiji cha Kinambo Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Maji Mkoani Rukwa tarehe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WILAYA YA MLELE YATUMIA KIASI CHA SHILINGI 2.138 BILIONI KWA AJILI YA...

Na Kibada Ernest-KataviHalmashauri ya Wilaya ya Mlele imetumia kiasi cha shilingi 2.138 bilioni kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maji katika  kata tano zilizoko kwenye Halamshauri hiyo ambazo ni fedha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PRESIDENT KIKWETE MEETS MS. BARONESE LINDSAY NORTHOVER, UK’S PARLIAMENTARY...

President Jakaya Mrisho Kikwete escorts Ms. Baronese Lindsay Northover, UK’s Parliamentary Under-Secretary of State for International Development after holding talks with her at the State HouseMonday...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA: TUTAHAKIKISHA TUNAIRUDISHA CCM YA WAKULIMA NA WAFANYAKAZI YENYE...

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Ndugu Anthony Mtaka mara baada ya kupokelewa katika eneo la  Njiapanda ya Jiweni atayri kwa kuanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI WA CHAMA CHA MPIRA WA MIGUU MANISPAA YA LINDI MJINI WAPEWA ELIMU YA CHF

MENEJA WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA MKOA WA LINDI FORTUNATA RAYMOND AKITOA ELIMU YA UMUHIMU NA FAIDA YA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII (CHF),KWA VIONGOZI WA CHAMA CHA MPIRA WA MIGUU NA VILABU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAHABARI MBEYA WASHIRIKI SHINDANO LA KUONJA BIA TBL

Meneja wa kiwanda cha Bia cha TBL Mbeya, Waziri Jemedari akizungumza na waandishi wa habari wa Mkoa wa Mbeya(hawapo pichani) walipofanya ziara na kushiriki shindano la kuonja bia hivi karibuni.Meneja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KUHUSU MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA JIJINI DAR ES SALAAM

Kamishina wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova akitoa taarifa ya hali ya ulinzi na usalama katika jiji la Dar es salaam na vifo vya watu  7 waliopoteza maisha  kutokana na mafuriko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA WAWEKEZAJI WA NCHI 5 ZA AFRIKA MASHARIKI.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akitoa taarifa ya mkutano wa wawekezaji (Round Table Investment Forum) na wakuu wa nchi 5 za ukanda wa Afrika Mashariki utakaofanyika jijini Dar es salaam kuanzia  Machi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BONDIA WANG XIN HUA KUTOKA CHINA AWASILI KUMKABILI MUDY MATUMLA IJUMAA

Rais wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO Yassini Abdalla kushoto akisalimiana na bondia Wang Xin Hua kutoka China mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WENGI WAFURIKA KATIKA BANDA LA NSSF LILILOPO KATIKA VIWANJA VYA TCC...

Meneja Kiongozi wa Idara ya Uhusiano na Huduma Kwa wateja Bi. Eunice Chiume akitoa maeleo kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na Shirika katika viwanja vya TCC Club Changombe. Kulia ni Afisa Mwandamizi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASK INDUS GLOBAL WAZINDUWA OFISI TANZANIA

Balozi wa India nchini Tanzania, Debnath Shaw akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Ofisi za Ask Indus nchini Tanzania, kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Ask Indus Global, Abhilash Puljal pamoja na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHOW YA MBAR2015 ELEGANZA YAFANA DAR ES SALAAM SERENA

Meneja Masoko wa CFAO Motors ltd. Sheikha Said (wa pili kulia) akitoa maelezo ya vijarida vya matoleo mapya ya magari aina ya Mercedes Benz kwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND MOTORS WAZINDUA GARI JIPYA LA MITSUBISHI 2015 ASX JIJINI DAR ES SALAAM

Wema Sepetu akiwasha gari Jipya la ASX Mitsubishi katika uzinduzi wa gari hilo jijini Dar es Salaam.  Hili ndilo gari la ASX Mitsubish jipya lililozinduliwa wiki iliyopita katika hoteli ya serena...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAFARA WA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA WAPOKELEWA KWA FARASI MIKOCHENI...

 Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana ukipokelewa kwa farasi wakati wakiwasili katika kata ya TPC kijiji cha Mikocheni wilaya ya Moshi Vijijni mapema leo asubuhi,tayari kwa kuanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWONGOZO WA MHESHIMIWA AL SHAIMAA BUNGENI DHIDI YA ALBINO

MBUNGE wa Viti Maalum (CCM), Al Shaimaa Kweigyir, ameitaka serikali kuhakikisha kwamba hukumu za watu wanaokutwa na hatia dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), zinafanyika kwa uwazi, sambamba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBL YATOA MSAADA WA MABATI, SARUJI KWA WAATHIRIKA WA JANGA LA MVUA KAHAMA

 Mwenyekiti wa kamati ya maafa ya watu waliopatwa na janga la  mvua ya mawe  katika  kata ya Mwakata  ambae ni mkuu wa wilaya ya Kahama,  Benson Mpesya  wa katikati akipokea msaada wa vifaa vya ujenzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA NISHATI NA MADINI YATANGAZA UFADHILI WA MASOMO NCHINI CHINA KWA...

 Msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini, Badra Masoud akizungumza na wanahabari.  Msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini, Badra Masoud akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live