Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZITTO KABWE ANG’ATUKA UBUNGE

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe Zitto Zuberi Kabwe (pichani) ametangaza rasmi Bungeni Dodoma kuachia kiti hicho alichokipata kupitia CHADEMA.Barua yake ya kung’atuka ubunge kupitia chama cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA CBA YATOA MSAADA WA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 3 KWA SHULE YA SINGISI...

Meneja Masoko wa bank ya CBA  Bw. Sollomon Kawiche akisoma hutuba wakati walipokuja kutoa msaada hundi ya fedha Shiling Million Tatu na laki Nane katika Shule ya msingi na Ufundi Singisi kwa ajiliya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI ELIMU YA JUU KUTOKA VYUO MBALIMBALI KANDA YA KASKAZINI WAMUOMBA...

UMOJA wa Vyama vya wanafunzi Elimu ya juu kutoka vyuo mbalimbali kanda ya kaskazini Kilimanjarona ,Arusha ,wajitokeza kumshawishi Prof. Sos peter Muhongo Kugombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPE AHOJIWA LIVE NA KITUO CHA REDIO 5 JIJINI ARUSHA

Katibu wa Itikadi na Uenezi (CCM) Nape Nnauye akiwa katika studio za Redio 5 zilizopo njiro jijini Arusha akihojiwa live na kituo hicho juu ya utekelezaji wa ilani ya CCM pamoja na ziara ya katibu Mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA TANZANIA DISTILLERIES LTD (TDL),YACHANGIA KIASI CHA SH.MILIONI 10...

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries LTD , David Mgwassa (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza kuchangia kiasi cha shilingi milioni 10...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI ARUSHA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kazi ya kugonga kokoto pamoja na akina mama wajasiriamali katika kata ya Elerai mjini Arusha  wakati alipowatembelea  na kukagua shughuli zao,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA NA VIDEO MBALIMBALI ZA MASWALI NA MAJIBU KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

  Naibu Waziri wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe. Juma Nkamia akijibu swali la Mhe.Haroub Shamis Mbunge wa jimbo la Chonga kuhusu jinsi gani serikali inawasaidia waadishi kuandika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA WAZIRI WA ARDHI MH. WILLIAM LUKUVI BABATI MKOANI MANYARA

Mkuu wa mkoa wa Manyara ,Mhe.Joel Nkaya Bendera akizungumza katika kikao cha viongozi wa wilaya zote za mkoa huo kilichofanyika ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini Babati,kushoto ni Waziri wa Ardhi,Nyumba na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJASIRIAMALI WA SOKO LILILOUNGUA ARUSHA WAMSHUKURU NYALANDU!!

Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akiongea na waandishi wa habari na Wajasiriamali wa soko la vinyago lililoungua moto Mkoani Arusha, mara baada ya kutoa kiasi cha shilingi milioni 100...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI MATEMBEZI YA HISANI YA KUCHANGIA UJENZI WA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki na kuongoza matembezi ya Hisani kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la Kigango cha Mt. Dominic Savio,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PINDA AKIWA BUSEGA NA BUNDA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bw. Sanya William ambaye ni mlemavu  na wanawe Mussa, Nasma na Dickson baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Bunda alikonda kuweka jiwe la msingi la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA KUHITIMISHA ZIARA YAKE JIJINI ARUSHA LEO

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa barabara ya Mwanama- Olorien ambayo itajengwa kwa kiwango cha lami, Ndugu Kinana pia aliitembelea na kuikagua barabara hiyo. Ujenzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PRESIDENT KIKWETE ARRIVES IN NAMIBIA FOR PRESIDENTIAL INAUGURATION

President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete and his wife Mama Salma Kikwete receive bouquet of flowers shortl after they arrived at Hosea Kutako International airport in Windhoek Namibia to attend the 25th...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT

Mh. Zitto Kabwe akilipa kwa ajili ya usajili wa kadi ya uanachama wa ACT...- Kumwaga ‘mboga’ mbele ya wandishi wa Habari Jumapili hii Machi 22.Hayawi hayawi… Sasa yamekuwa! Licha ya kusemwa sana kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI LUKUVI AFUNGUA NYUMBA ZA NHC MRARA BABATI

Sehemu ya nyumba 40 za gharama nafuu zilizojengwa na NHC eneo la Mrara Babati mkoani Manyara ambazo zilifumguliwa rasmi na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Vangimembe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGARI YA KITALII YA TANZANIA RUKSA KUINGIA UWANJA WA JOMO KENYATTA, NA...

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu makubaliano ya pamoja yaliyofikiwa kati ya  Serikali za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AANZA ZIARA MKOA WA KILIMANJARO

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikatisha kwenye migomba alipokuwa akikagua mifereji ya inayotiririsha maji kuelekea kwenye mashamba ya ndizi akiongozana na Mh. Agrey Mwanri.Katibu Mkuu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA MKURUGENZI MKUU WA NHC KATIKA MIKOA YA SINGIDA, TABORA NA SHINYANGA

Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu ukitembelea jengo la NHC lililoungua mwaka jana mjini Singida ambapo Shirika linajenga upya jengo jingine katika kiwanja hicho kilichoko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHIF YATOA ELIMU KWA UMOJA WA MADEREVA TAXI WILAYA YA ILALA (UMATAWI)

  Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa bima ya afya (NHIF) ,Eugen Mikongoti, akizungumza na umoja wa madereva taxi wilaya ya Ilala (Umatawi), wapatao 380 jijini Dar es Salaam wakati wakitoa elimu kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. BILAL AFUNGA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI KITAIFA MJINI MUSOMA.

Makamu wa Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal akishuka kwenye ndege baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Musoma Makamu wa Rais wa Serikali ya Jamhuri...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live