ZIARA YA MAFUNZO YA UJUMBE WA SERIKALI YA ZIMBABWE NCHINI
Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma Jaji Mstaafu Dkt. Steven James Bwana akiukaribisha ujumbe wa Serikali ya Zimbabwe katika Ofisi ya Tume ya Utumishi wa Umma Tanzania ilipofanya ziara ya Mafunzo...
View ArticleTANZANIA NA KENYA YATILIANA SAINI MAKUBALIANO YA KUKOMESHA BIASHARA HARAMU YA...
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki nchini Tanzania GladnessMkamba Akifafanua jambo baada ya kutia saini makubaliano kati yaTanzania na Kenya kupiga vita biashara haramu ya mbao pamoja na...
View ArticleRAIS KIKWETE AKAGUA WAATHIRIKA WA MAFURIKO BUGURUNI
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua kazi ya kuondoa maji ya mafuriko kutoka katika nyumba za watu katika eneo la Buruguruni Mnyamani wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam jana wakati Rais na Mkewe...
View ArticleMATUKIO BUNGENI MJINI -DODOMA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama akisoma Muswada wa Sheria ya Udhibiti na Umamizi wa Dawa za Kulevya wa mwaka 2014 , Bungeni mjini DOdoma Machi 24, 2015Waziri Mkuu, Mizengo Pinda...
View ArticleBULEMBO AGEUKWA NA WAJUMBE WAKE SAKATA LA KWENDA KWA LOWASSA
Mjumbe wa Baraza la Wazazi, Taifa na Mbunge wa Korogwe, Steven Ngonyani ‘Prof .Maji Marefu’ akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma hii jana juu ya tuhuma za yeye kutajwa na mmoja wa wajumbe wa...
View ArticleBALOZI LU YOUQING NA MHE .MASELE WAZUNGUMZA JUU YA MKUTANO WA JUKWAA LA...
Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Dr.Lu Youqing (kushoto) akizungumza na Naibu waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. Stephen Masele walipokutana kwenye ukumbi wa ubalozi huo...
View ArticleKINANA, CYRIL CHAMI, LEONIDAS GAMA WAVUNA MPUNGA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kazi ya kuvuna Mpunga na Mbunge wa jimbo la Moshi Vijijini Dr. Cyril Chami na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mh. Leonidas Gama wakati katibu mkuu...
View ArticleMEYA MANISPAA KINONDONI ATEMBELEA MABONDENI, AWATAKA WATU KUHAMA KUOKOA...
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (kulia) akijadiliana jambo na Naibu Meya, Songoro Mnyonge wakati wa ziara aliyoifanya katika Mtaa wa Kimamba, Kata ya Makurumla kukagua athari za mafuriko...
View ArticleWADAU WAJADILI MUSWADA WA SHERIA YA BARAZA LA VIJANA TANZANIA
Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii, Said Mtanda (kushoto) akitoa mwongozo wa uchangiaji wakati wa Semina iliyowakutanisha Wadau wa Maendeleo ya Vijana, Kamati ya Maendeleo ya Jamii na Wizara...
View ArticleMWENDESHA MASHTAKA MKUU WA DARFUR,SUDAN ATEMBELEA MAHAMAKA YA AFRIKA YA HAKI...
   Msajili wa Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu,AfCHPR)Dk Robert Enno(kushoto)akimsikiliza Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Jimbo la Darfur,Sudan,Yassir Ahmed Mohammed.Msajili wa Mahakama ya...
View ArticleWAZIRI PROF. MAGHEMBE AKEMEA MIRADI YA MAJI KUGEUZWA BIASHARA
Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe, akizungumza na wananchi wa Nyarwana (hawapo pichani) baada ya kuzindua na kuweka jiwe la msingi kwenye mradi wa maji wa kijiji hicho.   Waziri Prof. Maghembe...
View ArticleBASATA YAMKABIDHI BENDERA MSHINDI WA AIRTEL TRACE MUSIC
Mkurugenzi wa Ukuzaji Sanaa na Masoko wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Nsao Shalua (kushoto), akikabidhi bendera ya taifa kwa mshindi wa Airtel Trace Music Stars, Mayunga Nalimi kwa ajili ya...
View ArticleMEGATRADE INVESTIMENT LTD YAVIPIGA JEKI VILABU VYA DARAJA LA NNE WILAYA YA HAI.
Wafanyakazi wa kampuni ya Megatrade Investment Ltd ya jijini Arusha wakiwa na viongozi wa Chama cha soka wilaya ya Hai kwa ajili ya kukabidhi msaada wa vifaa vya michezo vilivyotolewa kwa vilabu 10...
View ArticleKINANA:VUNJO ACHENI KUJARIBU VYAMA KILA MSIMU WA UCHAGUZI, ITAKULA KWENU
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua matofali wakati alipotembelea kikundi cha Kahe Magharibi mara baada ya kupokelewa katika kijiji hicho akiwa katika ziara ya kikazi ya...
View ArticlePRESIDENT KIKWETE OPENS CENTRAL CORRIDOR SUMMIT IN DAR ES SALAM
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete delivers his keynote address during the opening session of the Central Corridor Presidential Round Table and High Level Industry and investor Forum held at Julius...
View ArticleBUNGE LA SOMA MUSWADA WA UDHIBITI MADAWA YA KULEVYA
Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Uratibu na Bunge) Mhe.Jenista Mhagama akisoma Muswada wa Sheria ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya wa Mwaka 2014,Mjini Dodoma tarehe 24/03/2015Mheshimiwa Neema Hamid Mbunge wa...
View ArticleWAZIRI WA ARDHI MHE. WILLIAM LUKUVI AWASILI MKOANI RUKWA LEO, AAHIDI SULUHU...
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiwasili katika uwanja wa ndege wa Mjini Sumbawanga leo tarehe 25/03/2013 kwa ajili ya ziara ya siku mbili Mkoani Rukwa moja ikiwa...
View ArticleUN YAADHIMISHA KUMBUKUMBU YA WAATHIRIKA WA BIASHARA YA UTUMWA
Ofisa Habari wa UNIC, Stella Vuzo akisoma hotuba ya ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-moon kwenye maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake...
View ArticleJEMBE FM YA MWANZA YAPEWA LESENI
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akizungumza kwenye hafla fupi ya kukabidhi leseni kwa redio ya Jembe FM ya jijini Mwanza kwenye ofisi za makao makuu ya...
View ArticleWAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AKUTANA NA UONGOZI WA KAMPUNI YA CHINA MERCHANT GROUP
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimwonyesha Mwenyekiti wa Kampuni ya China Merchants, Group, Bw. Li Xiaopeng jarida linaloonyesha fursa za uwekezaji nchi lililotolewa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania katika...
View Article