Quantcast
Browsing all 6854 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Polisi wamkamata aliyemuua Msuya

Polisi wamefanikiwa kumtia mbaroni mfanyabiashara tajiri wa madini ya Tanzanite huko Mirerani anayetajwa kuwa ndiye aliyepanga na kukodi watu waliomuua bilionea Erasto Msuya.Habari za uhakika kutoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWINGINE ANASWA NA DAWA ZA KULEVYA UWANJA WA NDEGE DAR‏

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe akionesha picha ya kijana Leonard Jeremiah Monyo (Edwin Jeremiah Monyo) ambaye amekamatwa na kete 86 za madawa ya kulevya kwa wanahabari.…Waziri wa Uchukuzi,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: MRISHO NGASSA AIDHINISHWA KUICHEZEA YANGA - KWA SHARTI LA...

  Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imepitia usajili wa wachezaji wa klabu za Ligi Kuu ya Vodacom na kumuidhinisha Mrisho Ngasa kuchezea timu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOTO KUWAKA REDD'S MISS ILALA LEO

Mratibu wa Shindano la Redds Miss Tanzania Kanda ya Ilala 2013, Juma Mabakila (katikati waliokaa), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akitangaza zawadi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Jakaya Kikwete Ampongeza Dk Stergomena Tax Kwa Kuchaguliwa Kuwa Katibu...

 Katibu Mtendaji mpya wa SADC Dr.Stergomena Tax akila kiapo mbele ya jaji mkuu wa Malawi Anastazia Msoza wakati wa mkutano wa 33 wa wakuu wa nchi za SADC uliofanyika jijini Lilongwe Malawi  jana  Rais...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANAPA YAFUNGA RASMI MAFUNZO YA AWAMU YA PILI YA KUKABILIANA NA MATUKIO YA...

Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi akikagua gwaride la Kikundi cha Kukabiliana na Uhalifu kwa Haraka (Rapid Response Team) kilichohitimu mafunzo yao katika Hifadhi ya Taifa ya Ruahamwishoni mwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YAKABIDHI FUNGUO YA NYUMBA YA KWANZA IRINGA

Meneja  wa Airtel mikoa ya  kusini Beda Kinunda (kulia) akimkabidhi funguo ya nyumba mshindi wa  nyumba ya kwanza  ya Airtel Yatosha mkazi wa Frelimo mjini Iringa, Sylivanus Wanga  wanaoshuhudia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAKATA LA KUKAMATWA KWA WATU WANAODAIWA MAJAMBAZI TAZARA

Majambazi wakamatwa hii leo mchana Tazara wakikimbia baada ya kupora fedha Milioni kadhaa katika kituo cha mafuta cha Lake Oil ambazo zilikuwa katika moja ya magari yaliyoingia kujaza mafuta kituoni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHC yakabidhi kwa wakandarasi miradi mitatu mikubwa ya ujenzi

Naibu Waziri wa Adhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole Medeye akibadilishana mawazo na viongozi wa NHC.Naibu Waziri wa Adhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole Medeye akibadilishana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIOPANDA MBEGU DECI SASA KURUDISHIWA

Viongozi wa DECI Arbogast Kipilimba, Jackson Mtares, Samwel Mtares, Dominick Kigedi na Timotheo Saiguran ole Loiting’ye, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALHAJ MWINYI NA MZEE MKAPA WAWASILI ZIMBABWE KUHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA...

Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Benjamin William Mkapa pamoja na wake zao, Mama Sitti Mwinyi na Mama Anna Mkapa, wakiwasili katika Uwanja wa  Ndege wa Kimataifa wa Harare, Zimbabwe,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Jakaya Kikwete Afanya Mabadiliko ya Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu...

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Sefue Ombeni akitangaza uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu katika wizara mbalimbali jijini Dar es Salaam jana. Picha na Venance Nestory ----Imeandikwa na Na Magreth...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira yatembelea Shirika la Nyumba...

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akisalimiana na wafanyakazi kwa salamu maarufu 'solidarity' leo hii, muda mfupi baada ya Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GURUMO ASEMA KUIMBA SASA BASI

Na Jennifer Chamila, Maelezo.MWANAMUZIKI mkongwe wa bendi ya Msondo Ngoma Mzee Muhidin Gurumo amestaafu rasimi kazi ya muziki alioifanya kwa muda wa miaka 53.Akizungumza na waandishi wa habari jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DADA WA MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA AJIUNGA NA CCM MKOANI ARUDISHA

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Hassan Mtenga kushoto akimkabidhi yadi ya CCM, Grace Mbowe, baada ya kutoka CHADEMA kwa kile alichodai hakuna jamboDADA wa Mwenyekiti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJINA YA MAKATIBU WA CCM WA WILAYA WALIOTEULIWA NA KAMATI KUU YA HALMASHAURI...

Katibu wa Itikadi na Uenezi -CCM Nape Nnauye---  UTEUZIKikao cha Halmashauri Kuu pia kimeridhia, uteuzi wa Makatibu wateule wapya wa Jumuiya za CCM, za Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Jumuia ya Wazazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA CHLORIDE EXIDE YASAIDIA KITENGO CHA EMERGENCY CHA HOSPITALI YA...

  Mkuu wa Madereva wa Kitengo cha Emergency Medicine Bw. Kafuru Rashidi akikagua betri hizo baada ya kukabidhiwaMeneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa kampuni ya Chloride Exide Bw,Gabriel Ondoyo kulia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwakilishi wa Jimbo la Kiembe Samaki-CCM, Mkoa wa Mjini Magharibi, Mansour...

Aliyekua Mwakilishi wa Jimbo la Kiembe Samaki, Mkoa wa Mjini Magharibi, Mansour Yussuf Himid  ---  Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (Nec), jana iliridhia kumvua uanachama, Mwakilishi wa Jimbo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Radio Imaan na Kwa Neema FM Radio zaruhusiwa kurusha matangazo kuanzia leo

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAMAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIKUREJESHWA KWA URUSHAJI MATANGAZO RADIO IMAAN FM NA KWA NEEMA FM RADIO1.0 Utangulizi:Mnamo tarehe 26/02/2013...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mapokezi ya Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu Wapya Wizara ya Habari, Vijana,...

Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiwasili mbele ya jengo la PPF huku akipokelewa kwa shangwe na wafanyakazi wa Wizara hiyo jana jijini Dar es...

View Article
Browsing all 6854 articles
Browse latest View live