Mamia ya wananchi wa mji wa Iringa Wajitokeza Kwenye Mkutano wa Chadema
Sehemu ya mamia ya wananchi wa mji wa Iringa wakishangilia kwa nguvu wakati Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Mbunge wa Singida Mashariki ,...
View ArticleBONDIA WA MAREKANI PHIL WILLIAMS ATUA NCHINI KUMKABILI CHEKA IJUMAA HII
Bondia Phil Williams wa marekani akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa mchezo huo kushoto ni promota Jay Msangi kulia ni Kocha wa kimataifa wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D wengine ni...
View ArticleASKOFU MOSES KULOLA AFARIKI DUNIA
Taarifa ambazo zimetufikia hivi punde zinasema kuwa Askofu Mkuu wa Evangelistic Assemblies God Tanzania, Moses Kulola amefariki dunia takriban dakika 25 zilizopita. Kwa mujibu wa taarifa za kuaminika...
View ArticleEDWARD LOWASSA ASHEHEREKEA MIAKA YAKE 60 YA KUZALIWA
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli mkoani Arusha, Edward Lowassa akilishwa kipande cha keki na mkewe wakati wa maadhimisho ya siku yake ya Kuzaliwa ambapo kiongozi huyo alitimiza miaka 60 Agosti...
View ArticleWadau walivyomuaga Redd's Miss Tanzania 2012/13, akabidhiwa Bendera ya Taifa
Redd's Miss Tanzania 2012/13,Brigitte Alfred Redd's Miss Tanzania 2012/13,Brigitte Alfred akikumbatiana na Mama yake Mzazi wakati wa Kumuaga. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Lino International Agency...
View ArticleJopo la Madaktari Bingwa Saba wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH)...
Daktari Bingwa wa Watoto katika Hospitali ya Muhimbili, Profesa Karim Manji (wa pili kushoto) akifurahia na wenzake baada ya kufanikiwa kwa operesheni ya kuwatenganisha watoto walioungana, kazi...
View ArticleTAARIFA RASMI YA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ) KUHUSU TUKIO LA...
JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIASimu ya Upepo : “N G O M E” Makao Makuu ya Jeshi,Simu ya Mdomo : DSM 22150463...
View ArticleMWANAMUZIKI DIAMOND AMKABIDHI GARI MWANAMUZIKI MKONGWE(MSTAAFU)MZEE MUHIDIN...
Mwanamuziki Diamond Platnum akimkabidhi funguo ya gari aina ya Toyota Funcargo mwanamuziki mkongwe nchini mzee Muhidin Gurumo kama zawadi yake kwa mkongwe huyo wa muziki baada ya kustaafu rasmi kuimba...
View ArticleRAISI JAKAYA MRISHO KIKWETE ATEUA MKUU MPYA WA UHAMIAJI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Sylvester Ambokile Mwakinyule kuwa Kamishna Mkuu, Idara ya Uhamiaji. Taarifa iliyotolewa leo, Alhamisi, 29...
View ArticleNBC yazindua Kitengo cha Huduma Binafsi za Kibenki kwa Wateja Wakubwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Mizinga Melu akizungumza katika hafla ya uzinduzi waKitengo cha Huduma Binafsi za Kibenki kwa Wateja Wakubwa cha NBC jijini Dar es Salaam leo.Mkurugenzi...
View ArticleAIRTEL YATOSHA ; NYUMBA YA PILI ZIMEBAKI SIKU 5 TU!!!
Nyumba ya kisasa ya Airtel Yatosha inayoshindaniwa.Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando akiongea na wanahabari.…Nyumba ya kisasa ya Airtel Yatosha inayoshindaniwa.Meneja Uhusiano wa Airtel,...
View ArticleWakazi wa Mtwara katika semina ya fursa kwa vijana
Meneja Kiongozi,Uhusiano NSSF Makao makuu jijini Dar,Eunice Chiume akizungumza kwenye semina ya FURSA iliyofanyika kwenye ukumbi wa Pentecoste Ligula B, uliopo mkabala na Kituo cha Vijana Mtwara,...
View ArticleKigoma Yaitikia Wito wa ‘Kikwetu Kwetu’ OR Kigoma Answer The Calling ‘Kikwetu...
Msanii wa muziki nchini Lady Jaydee ‘Jide’ akitumbuiza kwenye tamasha la Kili Music Tour lililofanyika kwenye Uwanja wLake Tanganyika mjini Kigoma. Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Izzo Bizness...
View ArticleWAJUMBE BARAZA KUU UVCCM KUTOKA TANZANIA BARA WAWASILI ZANZIBAR KUSHIRIKI KIKAO
Bandari ya Zanzibar Baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu ya UVCCM ambao wamechanganyika na abiria wengine, wakiwa kwenye gati baada ya kushuka katika boti juzi jion Baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM...
View ArticlePresident Jakaya Kikwete Winds UP Austria Tour
President Jakaya Mrisho Kikwete, the Federal President of Austria H.E. Heinz Fischer and the President of the European Commission H.E. Jose Manuel Barroso chat with students who have benefited from the...
View ArticleMakamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ajumuika na Wananchi katika...
Marehemu Meja Hatibu Shaban Mshindo, aliyefarika Nchini Congo, akiwa katika Jeshi la Kulinda Amani. Ndege iliobeba Mwili wa Marehemu Meja Hatibu Shaban Mshindo ikiwasili katika uwanja wa Ndege wa...
View ArticleMISS TANZANIA 2012 BRIGITTE ALFRED AONDOKA KWENDA KAMBI YA MISS WORLD INDONESIA
Mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Urembo ya Dunia, Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred Lymo, ameondoka nchini jana kwenda nchini Indosia katika kambi ya Miss World 2013. Pichani juu ni...
View ArticleRAIS KIKWETE AMTEUA PROFESA MLAMA KUWA MWENYEKITI WA BASATA
Mwenyekiti wa Baraza la Sanaa la Taifa(BASATA), Profesa Penina MlamaVeronica Kazimoto – MAELEZO, Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa...
View ArticleMinister for Foreign Affairs and International Co-operation Bernard Membe...
President Robert Mugabe of the Republic of Zimbabwe awaits to receive Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation. Minister Membe paid a courtesy visit...
View Article