MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UONGOZI WA KAMPUNI YA NARI YA CHINA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Meneja Mkuu wa Kampuni ya NARI ya China, Bw. Bao Tianhua, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UONGOZI WA KAMPUNI YA MWANANCHI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communication, Francis Nanai, wakati alipofika Ofisini kwake...
View ArticleWaziri Membe apokea Hati za Utambulisho za Mabalozi wapya wa...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (Mb) akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi mpya wa Kuwait hapa nchini, Mhe.Jasem Ibrahim Al-Najem leo ofisini kwake...
View ArticleKamati ya Bunge ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi yafanya ziara ya kikazi...
Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira na Mbunge wa Kahama, James Lembeli akiwa na Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai, Omari Mjenga katika picha ya pamoja Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi,...
View ArticleMatokeo ya kidato cha nne yatangazwa leo
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani nchini,Dk. Charles Msonde akizungumza na wanahabari jijini Dar leo.Shule za sekondari za binafsi zaongoza 10 bora matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika...
View ArticleDIONIZ MALINZI ASIMIKWA UKAMANDA WA VIJANA MKOA WA KAGERA
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akimvisha joho Kamanda wa vijana mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi . Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akimkabidhi mkuki...
View ArticleMAANDALIZI SENSA YA VIWANDA YAKAMILIKA, SERIKALI YAWATAKA WADAU KUTOA...
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa akifunga rasmi mafunzo ya siku 14 ya wasimamizi na wadadisi wa Sensa ya viwanda 2013 itakayofanyika nchini nzima kuanzia Februari...
View ArticleZOEZI LA UANDIKISHAJI VIJANA KUINGIA NSSF REAL MADRID SPORTS ACADEMY LAPAMBA...
Baadhi ya wazazi waliowaleta watoto wao kwa ajili ya zoezi la uandikishaji Vijana Kuingia NSSF- Real Madrid Sports Academy wakijaza na kuwasilisha fomu kwa wasimamizi wa zoezi hilo leo jijini Dar es...
View ArticleMKURUGENZI MKUU MSTAAFU WA NHIF BW. EMMANUEL HUMBA AAGWA RASMI
Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF Mzee Emannuel Humba akionyesha tuzo yake aliyopewa na mfuko huo kwa kutambua mchango wake akiwa mwanzilishi wa mfuko huo wakati wa hafla...
View ArticleRAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA CHIFU MKWAWA IRINGA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Chifu mpya waWahehe, Chifu Adam Abdu Mkwawa, Mtwa Adam wa Pili (14), wakati wamazishi ya baba yake aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu AbduMfwimi Adam...
View ArticleKONGAMANO LA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI KUFANYIKA FEBRUARI...
Kaimu Kamishna Msaidizi Kitengo cha huduma kwa familia, watoto, malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Philbert Kawemama (kulia), akizungumza na waandishi...
View ArticlePINDA AKAGUA DAWATI LA BEI NAFUU NA IMARA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua dawati lenye ubora uliothibitishwa na Shirika la Viwango Tanzania lililouiniwa na kutengenezwa na Kampuni ya EDOSAMA HARDWARE ya jijini Dar es salaam, ofisini kwake...
View ArticleShirika la Nyumba la Taifa wapata mafunzo kuhusu kupambana na moto
Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria wa NHC, Martin Mdoe akijaribu kuuzima moto wakati wa mafunzo kwa wafanyakazi ya kuzimamoto yakiendelea kwenye ofisi za Makao Makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa...
View ArticleKAMPUNI YA TIGO YATOA MSAADA HOSPITALI YA TENGERU MKOANI ARUSHA
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini Bw. David Charles (mwenye miwani kichwani) akiongoza wafanyakazi wenzake wa Kampuni ya Tigo kutoa msaada kwa wagonjwa wa Hospitali ya Tengeru kwenye siku ya...
View ArticleKASESERA AFUNGUA MAFUNZO YA UKIMWI NA AFYA MAHALA PA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa Kampuni Kubwa na Ndogo zinazopambana na UKIMWI Mahala pa kazi (ABCT) Tanzania, Richard Kasesera (kushoto) akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya waratibu wa...
View ArticleWaziri wa Uchukuzi Samuel Sitta Amsimamisha Kazi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa...
Picha Juu ni Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akizungumza na wanahabari leo bandarini) amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari nchini (TPA), Eng Madeni Shamte Kipande kwa...
View ArticleMhe. Janeth Mbene atembelea Ubalozi Mdogo wa Tanzania Dubai
Pichani juu na chini ni , ni Mhe. Mjenga akimkaribisha Mhe. Janeth Mbene ofisini kwake kwa mazungumzoNaibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Janeth Mbene yupo ziarani Dubai. Katika ziara hiyo, Mhe....
View ArticleWENGI WASHIRIKI KWENYE MAZISHI YA MKE WA JOHN KITIME KWENYE MAKABURI YA...
Umati wa waombolezaji ulioshiriki kwenye mazishi ya Mke wa Mwanamuziki Mkongwe hapa nchini,Bw. John Kitime,Marehemu Janeth Joan Chidosa Kitime alizikwa kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar es...
View ArticleWatanzania waendelea kunufaika na gharama nafuu za mawasiliano
Mkurugenzi Mtendaji waVodacom Tanzania Rene Meza, akiongea na waandishi wa habari juu ya mwenendo wa kibiashara wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam leo.Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia kwa...
View ArticleBANGO SANGHO YAWEZESHA WANAFUNZI 150 SHULE YA MSINGI KIBUGUMO KUKETI
Balozi wa India nchini, Mh. Debnath Shaw akisalimiana na Daktari bingwa wa Afya ya jamii na familia, Dkt. Ali Mzige kwenye hafla fupi ya kukabidhi madawati 50 pamoja majengo mawili ya shule ya msingi...
View Article